inawezekana

  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  2. JamiiForums Tanzania Je hii inawezekana ina ukweli?

    Nimekutana na mdada mmoja Mbeya town anashawishi watu kujiunga na mfumo wa (FIC) Financial Intelligence Centre Hii unaweka hela inakuwa inaongezeka kila siku kwa kubet kinyume, nimeshituka kidogo nimewaza kina kynda na qnet walivyoliza watu Sasa sijui serikali inajua kinachoendelea maana...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana kwenda kuokota "mali" Marekani?

    Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya ni kwenda kunakotupwa vitu vilivyokwishatumika na kuvihamishia nyumbani kwake. Kwamba, ni kawaida...
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

    Kuna kijana mwenzetu anaish nyumba moja na mwanamke walietengana! Hv najiuliza inawezeka hulo kwel?
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

    Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana punyeto (kujichua) ndiyo imenithiri au mimi nina matatizo?

    Wakuu kwema aisee nina tatizo tatizo kubwa mimi nimeanza punyeto 2014 nilifundishwa na ndugu yangu aisee kuanzia pale nikawa nafurahia huu mchezo mpaka leo Sasa kuna tatizo limenikuta aisee nikifanyq mapenzi huwa natumia mda mrefu saana na sikojoi kabisa yaani mpaka mpenzi wangu anachoka ila...
  7. JamiiForums Tanzania Inawezekana kupika rosti/mchuzi mzito bila nyanya.

    Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito kabisa bila nyanya hata moja.
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana tumemezeshwa matangopori mengi sana kabla ya kuenea kwa teknolojia na kufurika kwa hizi smartphones. Christy Chung yupo hai bana!

    Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni yule mdada aliyekuwa akilindwa na Jet Li kwenye movie ya The Bodyguard From Beijing Kipindi hicho...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

    Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mimba imeingia?

    Habari za mida wana jf, Ipo hivi Kuna mwanamke nimekutana nae kwenye siku za hatari, alianza kuona siku zake jumatano tarehe kumi na moja, akamaliza jumanne tarehe kumi na Saba. Nikakutana nae kimwili ijumaa tarehe ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, inawezekana unahujumiwa kupitia ama Bank au watu wa Hazina

    Mpaka sasa watumishi wa umma wengi wao wanaochukulia mshahara NMB hawajapata mishahara wakati wanaochukulia mshahara Bank zingine walishapata tangu juzi Jumamosi. Kuna nini hapo?
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ili uwe muokota makopo lazima kichwani ziwe zimepungua?

    Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio kutingwa na maisha magumu nakaribisha maoni yenu waokota makopo na msio waokota makopo ila hii sio kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Hii controversial ya Mwanzo wa ulimwengu na Dunia, Je inawezekana ndio siri kuu iliyofichwa na Mungu, Ukitoa Kifo ?

    Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc. Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu. "IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE EARTH, THE EARTH WAS WITHOUT FORM, AND VOID, AND DARKNESS WAS ON THE FACE OF THE DEEP, AND THE SPIRIT OF...
  14. JamiiForums Tanzania Ngiri ni kiumbe mwenye matukio ya hovyo kushinda wanyama wote wa porini inawezekana akawa ndio comedian wa mstuni.

    Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
  15. JamiiForums Tanzania Je inawezekana ku upgrade Android 8 kwenda Android 11?

    Naomba wataalam mnijuze. Kwa simu ya Oppo R9 Plus
  16. JamiiForums Tanzania Ivi hili inawezekana kwel? Ebu ndugu zangu njooni mtusaidie.

    Kwanz kutanguliza salam kwa kila mwana JF mwenzetu alie humu. Sasa ndugu wana jukwaa kaka yenu, mdogo wenu au rafiki yenu nina jambo langu ambalo limenisukuma mimi kuja hapa kuomba msaada na ushauri wa kitaalam kuhusu mambo fulan fulan ya kiafya. Ndugu yenu nina mwaka mmoja katika ndoa, ila...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Je, nafasi ya Suzan Kaganda kuchukuliwa na Deborah Magiligimba? Inawezekana IGP ajaye akawa ni Dkt. Magiligimba

    Baada ya CP Suzan Kaganda kuteuliwa kuwa balozi Sasa naona nafasi yake Kama kamishna wa fedha na mipango inaenda kuchukuliwa na mjumbe wa kamati ya fedha ya shirikisho la Polisi wanawake duniani-IAWP SACP Dkt.Deborah Magiligimba. Baada ya CP , Je ndio atakuwa IGP ajaye?
  18. JamiiForums Tanzania Inawezekana vibwengo ni viumbe wageni kutoka sayari nyingine(aliens) wanaozuru duniani

    Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo. Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa viumbe wanaodaiwa kuonekana na uchawi, tatizo kubwa Waafrika mambo mengi yasiyoeleweka huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Madam Nderitu Mama Mkenya Ofisa wa UN Afukuzwa kazi kwa kulazimisha kusema Israel inafanya mauaji ya Kimbari - Inawezekana amekuwa kilaza

    Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama inawezekana Aziz ki na Dube wavunjiwe mikataba wakiwa hapohapo uwanjani

    Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote. Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii. Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…