Soma hata picha tu utajua kuwa kuna makaburi mtajua kuanzia mapinduzi na utawala wa marehemu mkapa.
Ile siku anashika embe dodo nilishangaa kwenda omani kuona wajomba alafu leo mnashangaa kuona maovu ambayo mlisahau historia ndefu sana ambayo ni ngumu kwa watanganyika.
mlipo mnakazi kazi ngumi...
Kama mtu ajiandikisha Instagram kwa account fake au twitter kwa account fake na hajaweka details zake zozote je inawezekana kumpata ikiwa serikali inamtafuta?
Inampataje kwa njia gani? Na kama alipost kitu akiwa anatumia VPN je inawezekana pia kumpata?
Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri.
Hawawezi kusema wote lakini inawezekana kabisa kwa mazingira ya sasa mabunge wengine wakaomba wasichaguliwe kuwa mawaziri.
Hivyo wanaosema wameachwa tujiulize hu ni wakati mgumu
Ni dharau
Kiburi
Ulimbukeni
Kukosa maarifa?
Au uhuni?
Mama Rais mtoto waziri
Hii sikumbuki ilitokea nchi gani duniani yenye democrasia
Toka nimezaliwa sijawai kusikia Wala kuona.
Wakuu,
Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia?
Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi kukekule?
Hii inaweza kuwa danganya toto, watu wasihadaike maana hawa ccm wanajulikana kwa kuhadaa...
Habari wadau,
Kuna lipa no ya biashara yangu nlisajili kwenye mtandao wa Airtel, sasa nimefikia uamuzi wa kubadili jina la biashara, nataka no za LIPA no ziwe zile zile, nibadili jina tuu, inawezakana?
Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua. Mnakumbuka mauaji ya Kibiti?yalikuwa organized na watu wa juu sana ndani na nje ya Serikali.
Polisi walishindwa kuyathibiti sababu taarifa zilikuwa zinavuja kila...
Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu.
Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu...
Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa;
1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema...
Hapa JF kuna mashambulizi ambayo wana propaganda wapo ambao wanalipwa pesa kueneza ajenda zao.
Kiufupi sasa hata mnacholeta hapa JF kunawapa kazi ngumu CCM.
Mlipo sasa mtatema bungo
Inafahamika kuwa kupitia TCU unaweza kusoma kozi mbili kwa intake moja.
Mathalan uchukue bachelor of arts with education na wakati huo huo uchukue bachelor of law.
Ila je kwa mujibu wa NACTE unaweza kusoma kozi mbili za diploma kwa intake moja!?
Mathalan usome diploma in primary teaching na...
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za...
Unapokuwa unataka kutimiza Malengo fulani.
Mfano, kitaaluma , kibiashara , uwekezaji , kikazi, Ndoa .
Hakikisha kwanza hauweki deadline au ukomo wa lini , mwezi gani au mwaka gani.
Kwakuwa in this life so many things are uncertainties .
Mambo mengi hayatabiriki kimaisha .
Ili kuondoa stress...
Habari wanajf
Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"
Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa...
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
UK wamefanya hivyo bila kuigunga X, sasa ingawa sio sababu halisi ya kufungiwa kwa X, kwanini Jerry silaa wasiwasiliane na uongozi wa X wakazuia haya maudhui wanayosema hayafai kwa mlaji kuliko kuofungia kabisa?
Wataalamu habari???
Nimekaa nikawaza kutokana na ugumu wa pesa na uhitaji nilionao... nataka kujenga ukuta/ uzio wa eneo langu sasa nafikiria badala ya kufyetua tofali ya inchi 5' au 6, basi nifyetua tofali za inchi 4' je? Inawezekana?? Na kitaalamu imekaaje??, kumbuka ni kwa ajili ya uzio tuu...
Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama.
Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari.
Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa...