inauzwa

  1. IamMrLiverpool

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Desktop Inauzwa.

    Desktop inauzwa Moshi mjini. Imetumika mwaka mmoja tu Cpu yake (Type) ni Packard Bell Ram 4GB HDD Ni 500 GB Processor Type ni AMD 1.4GHZ Bei 300K Full set. Haina tatizo haijawahi kufunguliwa naiuza kwa sababu ninataka kununua laptop. Karibu inbox for more information. Namba yangu 0779756097
  2. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kigamboni

    Nyumba inauzwa Ipo kibada kigamboni 135 milion.. Negotiable to serious buyers Call 0744033555 Nyumba ina vyumba vitatu Master bedroom Choo public Maji + umeme guaranteed miaka mia Full fence ulinzi uhakika hakuna uswahili Parking space ya kutosha range rover 3 zina fit Hati za umiliki...
  3. schizoid-man

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ps4 inauzwa

    SOLD
  4. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania INAUZWA 5D Mark III (full package) inauzwa

    Imetumika miezi miwili tu, na iko complete (body, lens ya 24-105mm, speedlight, slots cards 4, charger pamoja na battery kama inavyoonekana kwenye picha Bei 3.7m (lakini kuna mazungumzo) Kama uko interesting, nicheki fasta kwa +255676095799
  5. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale BMW 1 Series namba D inauzwa

    BMW 1 Series, inauzwa, Tsh 15 milion. Namba T.... DTM Ina miezi saba tu toka inunuliwe Kilometre 95,856 Engine capacity: 1590 CC Engine type: Petrol Colour: black Seat capacity: 5 people, Milango mitano. Kadi ya gari ipo Bima ipo Location: Temeke Mikoroshini Tuwasiliane kwa 0744033555...
  6. KGARE

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Gari Toyota RAUM , ya 1999 inauzwa. Rangi: Zambarau, Milango: 5, Mileage: Km 128,000, Engine size : 1490cc, Airbag: 2 , Automatic transmission, Fuel: Petrol, BEI: 6,000,000- Milioni 6 tu Imetunzwa na iko vizuri sana. PIGA: 0713962628/ 0718481042 MAHALI: MWANZA
  7. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tegeta wazo hill eneo la uwanja wa panga (ulipo mnada mpya wa Tegeta Nyuki)

    NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA... TSh25,000,000 Dar es Salaam Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA... Zipo nyumba mbili katika eneo moja... Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule, Ndogo ni vyumba viwili. Eneo ni takriban 20 kwa 20. Eneo kama linavyoonekana kwenye picha halipo...
  8. Retailer

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba Satellite C650 inauzwa 290,000 tu

    Laptop inauzwa. Toshiba Satellite C650 Ram : 3gb Processor: Intel (R) core i3 , 2.27 gHz Window 10 Bei: Laki mbili na elfu ishirini (250,000) Mahali : Kigamboni Sababu ya kuuzwa: Matatizo ya kifedha Uimara wa laptop: Laptop iko imara sana, battery tu ndio inahitaji kubadilishwa lakini si...
  9. pakapori

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Habari ya muda huu wakuu.., Poleni na majukumu ya Kila siku, bila kuwachosha nimekuja Kuna canter tan 3 inauzwa Bei ni sh. 16,500,000/- iko katika hali nzuri kabisa na sio ya udalali ipo nyumbani kimara mwisho mtaa wa matosa. Contact: 0786412030
  10. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale IST inauzwa bei 6.5M

    Silver Cc 1290 Km 175,000 Mwaka 2005 Posta/kigamboni Haina DOSARI YEYOTE Mazungumzo yapo 0745321705
  11. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa bei nafuu HP probook 350,000/

    Wapendwa Wana jamvi, Nimeamka na dharura ya kumsafrisha mgonjwa na Mambo yangu siyo mazuri. Nalazimika kuuza laptop yangu( Kama unaweza nisaidia kupata mtu wa haraka wa kuniokoa) Walau kufikia jioni niwe nimepata mteja. Specifications za laptop" 👉HP probook 👉Hard disck 400GB 👉Processor...
  12. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya Popcorn inauzwa

    Mashine ya popcorn inauzwa imetumika miexi mi3 tuu bei 250k (fixed) 0652989359. imetumika miezi mi3 tuu bei 250k (fixed) 0652989359
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Deki aina ya Zec inauzwa

    Habari za humu Watanzania Wenzangu? Yamkini wote wazima. Deki Aina ya Zec inauzwa ipo vizuri haijawahi kuharibika ina miaka miwili sasa toka 2018 August mpaka 2020 leo pia ina remote control yake, Bei ni 36,000 location nipo Musoma Town, nicheki kwa Mawasiliano au WhatsApp messenger no...
  14. excel

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki Swift Bx inauzwa bei nafuu

    Habari jf Suzuki swift bx iko sokoni, magomeni Dar Transmission: Automatic Engine; Petrol, cc 1300 Milleage: 110,000kms Year made: 2000 Bei 4 million Piga simu 0744033555
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tandika Kaburi Moja

    Habari wana jf Nyumba inauzwa ipo tandika kaburi moja sifa za nyumba: ina vyumba vitatu vya ndani vyote master ina vyumba viwili na sitting room zake kwa nje ila bado vipo ndani ya fensi ina fremu ya duka ina sehemu ya jiko ina choo cha nje inafikika kwa gari mpaka mlangoni ina tiles kot...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tandika

    Habari wana jf Nyumba inauzwa ipo tandika kaburi moja sifa za nyumba: ina vyumba vitatu vya ndani vyote master ina vyumba viwili na sitting room zake kwa nje ila bado vipo ndani ya fensi ina fremu ya duka ina sehemu ya jiko ina choo cha nje inafikika kwa gari mpaka mlangoni ina tiles kot...
  17. rilprogrammer

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana

    Habari. Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana, imetumika ila ipo katika hali nzuri sana. BEI:500,000/=. Mahali:Dar es salaam. Utatumiwa kama upo mkoani. Aina: Core i 5 4gb Ram hdd 500GB Hp probook 450 g2 battery. 3 hours 0753651541
  18. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fremu ya biashara inauzwa Arusha

    Fremu ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kama inavyoonekana pichani inauzwa. Ipo Morombo sokoni, Arusha. Ukubwa mita kumi kwa tano (10x5). Bei shilingi milioni mbili na laki tatu (2,300,000). Ni eneo soko na ina hati miliki. Mawasiliano 0768734611 au WhatsApp 0786817145
  19. Mgalula MzTz

    JamiiForums Tanzania Samsung s6 ya kubadili kioo- nipe offer yako

    Nauza samsung s6 - kioo cha kubadilisha. Piga 0712 668190 unipe offer yako Mbezi kimara-Dar
  20. Eng Kahigwa

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell-Laptop inauzwa

    Specification: Manufacturer: Dell Latitude E5430 RAM: 4GB HDD: 320GB Battery autonomy: 4-6hrs CPU: Core i3 Speed: 2.5GHz Other features: USB ports [USB 2.0, USB 3.0], Wi-Fi, Memory card slot, CD-Drive, HDMI & VGA port. Bei: 400,000/= Laptop haina tatizo la aina yoyote ile. Simu namba: +255 656...
Back
Top Bottom