inauzwa

  1. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  2. Chiwaso

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Scania 113 inauzwa

    Habari wana bodi, Mninga unauzwa, uko kwenye hali nzuri. Vibali vyote (LATRA, BIMA,MAPATO) viko hai, Ina bima kubwa(Comprehesive) Ni gea 8 Inauzwa kwa bei ya kutupwa 4omil(Price is negotiable) Call 759 888 018 for more details
  3. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  4. EJOSMAT

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya electronics vinauzwa

    Printer hp 7500 a wide format------laki 3 Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu Sigma lense 170-500----------------laki 4 Studio light na background yake laki 4 Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267 664
  5. facepozz marketplace

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari IST inauzwa

    Gari aina ya TOYOTA IST Inauzwa Inapatikana Mwanza Bbei ni million 9. Maelewano yapo wasiliana 0755213580.
  6. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Morogoro Mjini- Mafiga

    Nyumba inauzwa kwa bei nafuu kabisa IPO Morogoro mjini- Mafiga yenye vyumba kumi na eneo la ziada Wasiliana nasi kwa namba: 0699366788
  7. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Inauzwa pick-up double cabin Toyota Hilux JTD5 2.4 Diesel

    Pick-up double cabin White Imported from: great britain Manufactured: 2004 Manual 2kd D4d Current location : moshi Whatsapp /call 0713683422 Owner is a doctor Reason for selling: requires automatic same vehicle due to left leg injury Price: 28 million
  8. Merci

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari mpya aina ya IST yenye cc 1490 ya mwaka 2004 inauzwa

    Nauza IST mpya kabisa haijasajiliwa na ina cc 1490 ya mwaka 2004 kwa bei ya TZS 12,000,000 ikiwa imejumuisha kodi na gharama za kutolea bandarini. Tuwasiliane kwa namba 0736770052.
  9. Merci

    JamiiForums Tanzania IST mpya ya 2004, CC 1490 inauzwa TZS 12,000,000.

    Nauza IST mpya kabisa haijasajiliwa na ina cc 1490 ya mwaka 2004 kwa bei ya TZS 12,000,000 ikiwa imejumuisha kodi na gharama za kutolea bandarini. Tuwasiliane kwa namba 0736770052.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Home theater inauzwa

    Wakuu nauza home theater yangu, Watts 800 Haina blootuth Inahitaji marekebisho kidogo upande wa cd Zaidi ya hapo kila kitu kinafanya kazi, bei 350,000 Picha na mawasiliano zaidi 0658644485
  11. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

    Habari, Nauza gari Aina ya Toyota Verossa number DAK haina tatizo lolote unawasha gari na kwenda safari kokote, gari ni yangu mwenyewe nauza ili nibadilishe au pia tunaweza kubadilisha na.ukaniongeza hela. Bei ni 6.8M hata ukiwa mkoani unafikishiwa kwa usalama na uaminifu. Kwa picha naomba...
  12. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Msaada: Domain ya website yangu inauzwa, nifanyeje

    Wakuu mwaka 2011-2013 nilikuwa na blog website kubwa sana,ambayo ilipata watembeleaji wengi sana kila siku Ilikuwa inahusu marafiki/wachumba Muziki,habari,udaku na vichekesho.. Kiukweli hata kwenye search ingine ikikuwa katika top results Sasa nikanunua domain.name kupitia maddogs domain kwa...
  13. Mr.panya

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Fujitsu Desktop inauzwa TZS 280,000/= tu!

    Habari wakuu, Nauza desktop aina ya FUJITSU ipo full set , haina tatizo lolote ila naiuza kwa sabbau nataka ninunue laptop mana nimekua mtu wa safari sana siku hizi: FUJITSU DESKTOP HDD : 300GB RAM : 4GB PROCESSOR : INTEL PENTIUM 3.2GHz OS : WINDOWS 10 PRICE : 280,000 CONTACT : LOCATION ...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Engine: 1NZ vvti Capacity: 1490cc . Location: Shekilango - Dsm . Call: 0719 143475
  15. crusader_jr

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale SamsungA30 inauzwa

    Wakuu habari poleni na majukumu Moja kwa moja kwenye uzi ama jukumu la hii post Ifuatayo ni samsungA30 inauzwa, iko clean na haina tatizo lolote Specs ni kama ifuatavo: 64 gb storage 4gb Ram Android 10 Os Chaja(fastcharge) pia nakupatia Price=280k Mobile number +255756364489 Location Kawe...
  16. edger jairos

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Raum CCR inauzwa

    Haina tatizo Piga 0748001009 Ununio Dar Ndani Ina good CONDITION Cc 1490 Bei 6.5milion 6.5mil
  17. Lemaitre

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari ya kazi inauzwa

    Wakuu Habari za jioni. Nauza gari ya kazi kwa bei ya nafuu kabisa. Make: Eicher Mode: truck Model number: MC2B6 Year of manufacture: 2017 Engine Capacity: 3298 Fuel used: Diesel Seating capacity: 3 Mileage: 15868 Price 32 Millions Gari ipo kwenye hali nzuri kabisa, unaweza kuja kuiona...
  18. Kakondele

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Sumbawanga

    Nyumba inauzwa ipo Sumbawanga Izia mita 80 kutoka soko la sabasaba Ina vyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo Bei ni Tzsh 35,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano...
  19. MagariTanzania

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Land Cruiser inauzwa

    Diesel Auto Ipo katika hali nzuri, inatembea. Ipo Dar es Salaam. Bei 17mil. Mawasiliano 0784225000.
  20. MagariTanzania

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya Ghorofani Inauzwa Upanga

    Nyumba ina muonekano wa kuvutia, Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitosheleza ( Masta bedroom), subule, jiko la kisasa na mahala pa kula. Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho yasiyo na ulazima wowote. Bei TZS -210milioni. Hii ni nyumba...
Back
Top Bottom