inauzwa

  1. don g dou

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki Sanlg Inauzwa

    Inauzwa PIKiPIKI Aina Ya Sanlg Sl125-5 Haimjui Fundi Bei Ni 1.8m Ipo Kahama Piga 0622556749 Karibuni
  2. TULIMAJE

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Nyumba yenye vyumba 5 ikiwa kwenye hali nzuri. Ina uwanja mbele na nyuma Mita za mraba 1500 Inauzwa mil 90 maongezi yapo Karibuni simu 0768412181 Mbezi Kimara
  3. Ally_34

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Laptop Dell inauzwa

    Bei Tsh 530,000 Inapatikana Morogoro Ina 500 gb Mawasiliano piga 0746897449
  4. G

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP Laptop inauzwa laki moja na nusu

    HP Laptop min 1104 inauzwa dual core hardisk 160 inch 10 RAM 2GB ipo na charger yake ni laki 150 tu mtu anashida tatizo la pc ni keyboard tu na keyboard ni elfu 30 wanauza karibuni sana nipo Dar Mbezi ya Kimara 0656804462
  5. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tshirt printer inauzwa - Heat press machine heavy duty

    Heshima kwenu wadau.. Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc Mpya kabisa haijawai tumika Bei ni laki 9 ,,manufacture anaitwa Adkins, size ni kubwa kabisa A-3 Manufacture...
  6. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaji mpya iliyosajiliwa inauzwa million 6

    Ilianza kazi tarehe moja mwezi wa tatu, ikafanya kazi miezi 2 dereva akazingua, so imepaki toka mwezi wa 5 , mwenyewe hataki tena biashara ya bajaji 📞 0758851175, 0713220021
  7. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya ya kisasa inauzwa DSM Madale Mwisho 21,000 (48,000,000)

    NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000) Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea MBOPO (Njia panda ya Msumi-Mbezi). Bei ni dola $21,000 au Milioni 48 za kitanzania )..(Maongezi kidogo...
  8. kilimomaarifa.tajiri

    JamiiForums Tanzania Nyumba (Boma) inauzwa Ituha-Mbeya Mjini kwa Shilingi 10.5 Milioni

    -Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka (boma limeshafika kwenye lenta), ina vyumba viwili (kimoja ni master), pamoja na sebule, -Nyumba (Boma) Ipo barabarani kabisa, ni umbali wa kilomita 1 kutoka Ituha mwisho wa lami. -Saizi ya kiwanja ni 20m kwa 20m, nyumba iko ituha-mbeya, karibu kabisa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaji inauzwa Tsh 3,500,000

    Bajaji inauzwa Tsh 3,500,000 TVS Location: ARUSHA Contact: 0745483004 Maelewano yapo
  10. Kim12

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Stabilizer inauzwa 25,000/=

    Inauwezo wa kutumika kwenye friji ya hadi lita 300 Ipo Mbezi Mwisho. Haina tatizo lolote Bei ni Tsh: 25,000/=
  11. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Rumion Inauzwa

    Price: 16.5 Ml. Engine Code :ZN Mileage 100,265km Engine Size 1,500cc Registration Year * 2009 Manufacture Year ** 2009/ 10 Ext. Color Black Wheel Drive :2wheel drive Transmission: Automatic Location: kinondoni,mwanamboka Steering :Right Fuel: Petrol Seats :5 Doors :5 Dimension: 4.21x1.76x1.63m...
  12. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Picha zake tangu ujenzi hadi kukamilika Bei chee!

    Folks hapa bei utajipangia mwenyewe karibu sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Raum New Model inauzwa, Mabibo- Dar es Salaam

    Sifa 1. Rangi ni gold 2. Namba za usajili ni T244 DPS 3. Ukubwa wa injini ni 1490cc 4. Idadi ya km ilizotembea ni 77,000 kms mpaka Sasa 5. Inamwaka mmoja tokea imenunuliwa 6. Inabima kubwa iliyokatiwa mwaka huu 7. Hutumika kwenda kazini na kurudi tokea imenunuliwa 8. Haijafunguliwa popote tokea...
  14. H

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Visiontek projector VS314 inauzwa tsh 220,000 ipo Dar

    Imetumika miezi 5 Lumens 1800 Contrast 2000 Native resolution 480 p Display screen inch 40" Hadi inchi 170" Ina zaidi yA masaa 20,000 ( Kama utaitumia masaa 10 kila cku utakaa nayo miaka 12 Bila kubadili bulbu) nzuri Sana kwa movie
  15. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kirikuu (Suzuki carry) DLK inauzwa Tsh 3,900,000/=

    Habari wana JF Ninauza Gari langu aina ya Suzuki Carry/ kirikuu , Gari ni nzuri sana haina shida yoyote , inaendeshwa na kufika mkoa wowote , haijawai kufunguliwa engine wala gear box. Ina mwonekano mzuri sana (mint condition), ina AC na tyre zote ni mpya zina miezi 2 tangu ziwekwe. Kwa...
  16. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Canon 5D Mark II Body Only Inauzwa

    Condition: Used for about 4 months Price:400k TZS (price is negotiable) Problem: Focus Screen (costs 150 - 200k TZS to fix) Pick Up: Sinza A Currently market price: $1000 USD - $1500 USD Any serious buyer, contact me: +255676095799 (WhatsApp) +255683018095 (Calls/SMS)
  17. L

    JamiiForums Tanzania HP Laptop 1Tb inauzwa 350000/=

    Habari wadau, nauza laptop Aina ya HP Specifications Hard disc 1TB Ram 8gb Processor 2.0ghz Core i 3 DVD /CD rwr BEI Tsh 350000/= Mawasiliano 0783696253 Haina tatizo lolote
  18. Fadhil Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Nauza simu

    I phone 5s inauzwa...bei ni 170 ipo in a good condition GB 32 haina shida yoyote ilee LOCATION ni GOBA CENTER cont 0786774828
  19. ndogondogo

    JamiiForums Tanzania website inauzwa

    #
  20. ndogondogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Website inauzwa

    #
Back
Top Bottom