inauzwa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Deki ya DVD Home Theatre (LG) inauzwa 130000/=

    NAUZA DEKI YA LG HOME THEATER DH4530T SPECIFICATIONS 330W (5.2ch) BASS BLAST 1080P FULL HD UP-SCALING USB CONTENTS PLAYBACK HDMI out & SIMOLINK PORTABLE IN NAMBA YA SIMU; 0783696253
  2. Lily Tony

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda. Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa. Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu...
  3. Lemaitre

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Eicher truck inauzwa

    Make: Eicher Mode: truck Model number: MC2B6 Year of manufacture: 2017 Engine Capacity: 3298 Fuel used: Diesel Seating capacity: 3 Mileage: 15868 Price 32 Millions Gari ipo kwenye hali nzuri kabisa, unaweza kuja kuiona, inapatikana Tabata Kinyerezi, Dar es Salaam. kwa mawasiliano zaidi 0713626992
  4. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Mitsubishi Fuso Bus inauzwa bei nzuri

    Mitsubishi Fuso Bus inauzwa shiling Milion 52. Specification: -Mitsubishi Fuso Bus - Engine type : D17 - Millage : 110,000KM - Capacity: 47 Seat -Interior Condition : Grade A -Exterior Condition: Grade A Gari imeshalipiwa ushuru wiki moja imepita. Kwa Maongezi zaidi ni DM au tuma message kwenye...
  5. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Subwoofer inauzwa bei nafuu

    Wakuu habari za saa hizi. Subwoofer hii inauzwa ipo katika hali nzuri tu imemaliza ni mwaka mmoja tu toka iliponunuliwa, ina Sound nzuri, Mdudo pia uko vizuri. Bei yake ni sh 160000 Tsh za kitanzania ila Maongezi yapo, nipo napatikana Mara wilaya ya Musoma mjini. Na Namba za simu ni No ya...
  6. V

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Boxer BM 150 inauzwa laki tano

    Habarin waheshimiwa, Nauza boxer bm 150 km inavyoonekana kwenye picha sababu aina matatzo sana labda indicator na saintmirror pia na ila ni kuwasha na kuondoka ina kadi yake original kabisa. Vilevile kwa matazo ya saint mirror na indicator tunakatiana hela umo umo na vimatatzo vingine...
  7. maurice99

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Tanga mjini

    Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara. Ina vyumba sita (6) Sebule Choo ndani Fremu moja ya biashara Maji + Umeme Total Square meter (660)..Bei ni milioni sabini na tano {75,000,000} pia mazungumzo yapo.Kwa mteja Serious nicheki kupitia namba 0763316426 pia...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale gaming laptop dell e6430 core i7 ram gb 8,, dedicated graphic inauzwa

    bei 350k imepungua to 300k location mwenge mpakani 0787202143 used Dell latitude e6430 nzuri for gaming and graphic processor :intel Core i7-3520qm clock speed 2.6 GHz and 3.6 GHz with turbo boost ram 8 gb hard disk 500gb 2 graphic card 1.intel hd 4000; 2.NVIDIA nvs5200m (1gb dedicated)...
  9. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( heat press machine heavy duty), msimu wa kampeni muhimu sana

    Habari wadau Nauza mashine ya kuprint tshirt heat press machine heavy duty Inatumika kuprint picha na maneno kwenye tshirt Inafaa sana kuchapa tshirt za kampeni za wagombea.. na tshirt za kumbu kumbu ya msiba Bei ya mashine ni shilingi milioni moja ( 1,000,000 ) Mashine ni heavy duty na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mitsubish Canter Truck inauzwa

    Mwaka wa kutengenezwa 2001 Aina ya Injini 4D33 Uwezo wa Injini 4,210cc Uwezo wa gari Tani 2 Mileage 222,000 km Accessories AC Power Window Power Steering Mahala ilipo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya vyumba 12 inauzwa Tabata; wahi tufanye biashara

    Nyumba ya kupanga inauzwa Tabata Reli karibu na ukumbi wa mikutano wa Blue Sky. Sifa; Ina vyumba 10 vya kupanga Ina parking ya Gari 1 ndani special kabisa Ina maji na umeme hati ya nyumba ipo na hakuna mgogoro wowote. BEI NI MILIONI 85. MAELEWANO YAPO. Picha nitatuma whatsapp maana hapa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kufumia masweta kofia nk. Inauzwa

    Haina shida yoyote inapiga kazi vizuri kabisa. Bei Tsh 500,000 (maelewano yapo) 0755868463 location: Kahama
  13. crusader_jr

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A50 inauzwa

    Wakuu nauza simu Aina ya samsung a50 kwa bei rafiki kabisa ya 550k Karibu PM au piga simu namba 0692377018 kwa biashara. Simu bado ni mpya imetumika ndani ya mwezi tu mmoja iko na kila kitu chake kama earphone,charger na risiti yake au kwa mwenye samsung s8 edge karibu kwa mabadilishano...
  14. Aerma

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 6 inauzwa 320000

    Habari! Simu aina ya Iphone 6 inauzwa sh 320,000/=.Simu ina crak kwenye kioo.Simu iko kwenye hali nzuri.Interest buyers nicheki Dm
  15. blakafro

    JamiiForums Tanzania Nissan Patrol Nyeupe ya Mwaka 2008 inauzwa, Ina Engine ya TD42

    TD42 ENGINE | MANUAL | 4WHEEL DRIVE | DIESEL WHITE COLOUR | AFTER MARKET RIMS |BRAND NEW TYRES. FULL AC | 93,000KM VERY CLEAN INTERIOR. UN-REGISTERED. Price : 50Million Negotible. 📞 0744183343
  16. Gabbimakini

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa

    Toyota harrier (tako la nyani) Gari imetunzwa Haijarudiwa rangi Full ac Full documents Bei ni 19M Tunakusaidia kuissue transfer of ownership Piga simu 0688351006
  17. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Harrier (Lexus) Yenye miezi 8 Tanzania Inauzwa

    Gari hii ni ya mwaka 2004, ina miezi 8 hapa Tanzania. Kila kitu kiko vizuri. Ina Kilomita 76,000 Gari inapatikana Mbeya na niko tayari kuisafirisha kwenda popote Tanzania. Bei yake ni 23,500,000 Kwa wenye uhitaji wasiliana nami kwa sim 0746 267 740
  18. F

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV 4 milango 5, Inauzwa 6.5 Milioni

    Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160926. Bei ni Shilingi Milioni sita na laki tano tu (6,500,000/=) . Ipo Dar-es-Salaam. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713 629 999
  19. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung 6s edge inauzwa

    Bei ya Tsh 260000/= Location buguruni shell Call 0746696878 No crack Ipo katika good condition
  20. J

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Kerege

    Hii ni nyumba ya kuishi na familia, inauzwa ipo Mapinga-Bagamoyo Road kwa bei ya Tsh. 18,000,000 (Milioni 18) lakini majadiliano yanaruhusiwa. Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo Masta, jiko, bafu, seble kubwa kwa ajili ya kulia na kupumzika, pia ina uwanja mkubwa kwa mbele. Masiliano...
Back
Top Bottom