inauzwa

  1. F

    INAUZWA Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( heat press machine heavy duty), msimu wa kampeni muhimu sana

    Habari wadau Nauza mashine ya kuprint tshirt heat press machine heavy duty Inatumika kuprint picha na maneno kwenye tshirt Inafaa sana kuchapa tshirt za kampeni za wagombea.. na tshirt za kumbu kumbu ya msiba Bei ya mashine ni shilingi milioni moja ( 1,000,000 ) Mashine ni heavy duty na...
  2. B

    Mitsubish Canter Truck inauzwa

    Mwaka wa kutengenezwa 2001 Aina ya Injini 4D33 Uwezo wa Injini 4,210cc Uwezo wa gari Tani 2 Mileage 222,000 km Accessories AC Power Window Power Steering Mahala ilipo...
  3. C

    Nyumba ya vyumba 12 inauzwa Tabata; wahi tufanye biashara

    Nyumba ya kupanga inauzwa Tabata Reli karibu na ukumbi wa mikutano wa Blue Sky. Sifa; Ina vyumba 10 vya kupanga Ina parking ya Gari 1 ndani special kabisa Ina maji na umeme hati ya nyumba ipo na hakuna mgogoro wowote. BEI NI MILIONI 85. MAELEWANO YAPO. Picha nitatuma whatsapp maana hapa...
  4. M

    INAUZWA Mashine ya kufumia masweta kofia nk. Inauzwa

    Haina shida yoyote inapiga kazi vizuri kabisa. Bei Tsh 500,000 (maelewano yapo) 0755868463 location: Kahama
  5. crusader_jr

    Phone4Sale Samsung A50 inauzwa

    Wakuu nauza simu Aina ya samsung a50 kwa bei rafiki kabisa ya 550k Karibu PM au piga simu namba 0692377018 kwa biashara. Simu bado ni mpya imetumika ndani ya mwezi tu mmoja iko na kila kitu chake kama earphone,charger na risiti yake au kwa mwenye samsung s8 edge karibu kwa mabadilishano...
  6. Aerma

    Phone4Sale Iphone 6 inauzwa 320000

    Habari! Simu aina ya Iphone 6 inauzwa sh 320,000/=.Simu ina crak kwenye kioo.Simu iko kwenye hali nzuri.Interest buyers nicheki Dm
  7. blakafro

    Nissan Patrol Nyeupe ya Mwaka 2008 inauzwa, Ina Engine ya TD42

    TD42 ENGINE | MANUAL | 4WHEEL DRIVE | DIESEL WHITE COLOUR | AFTER MARKET RIMS |BRAND NEW TYRES. FULL AC | 93,000KM VERY CLEAN INTERIOR. UN-REGISTERED. Price : 50Million Negotible. 📞 0744183343
  8. Gabbimakini

    Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa

    Toyota harrier (tako la nyani) Gari imetunzwa Haijarudiwa rangi Full ac Full documents Bei ni 19M Tunakusaidia kuissue transfer of ownership Piga simu 0688351006
  9. R

    Car4Sale Harrier (Lexus) Yenye miezi 8 Tanzania Inauzwa

    Gari hii ni ya mwaka 2004, ina miezi 8 hapa Tanzania. Kila kitu kiko vizuri. Ina Kilomita 76,000 Gari inapatikana Mbeya na niko tayari kuisafirisha kwenda popote Tanzania. Bei yake ni 23,500,000 Kwa wenye uhitaji wasiliana nami kwa sim 0746 267 740
  10. F

    Car4Sale RAV 4 milango 5, Inauzwa 6.5 Milioni

    Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160926. Bei ni Shilingi Milioni sita na laki tano tu (6,500,000/=) . Ipo Dar-es-Salaam. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713 629 999
  11. Rion Jr

    Phone4Sale Samsung 6s edge inauzwa

    Bei ya Tsh 260000/= Location buguruni shell Call 0746696878 No crack Ipo katika good condition
  12. J

    House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Kerege

    Hii ni nyumba ya kuishi na familia, inauzwa ipo Mapinga-Bagamoyo Road kwa bei ya Tsh. 18,000,000 (Milioni 18) lakini majadiliano yanaruhusiwa. Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo Masta, jiko, bafu, seble kubwa kwa ajili ya kulia na kupumzika, pia ina uwanja mkubwa kwa mbele. Masiliano...
  13. don g dou

    INAUZWA Pikipiki Sanlg Inauzwa

    Inauzwa PIKiPIKI Aina Ya Sanlg Sl125-5 Haimjui Fundi Bei Ni 1.8m Ipo Kahama Piga 0622556749 Karibuni
  14. TULIMAJE

    House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Nyumba yenye vyumba 5 ikiwa kwenye hali nzuri. Ina uwanja mbele na nyuma Mita za mraba 1500 Inauzwa mil 90 maongezi yapo Karibuni simu 0768412181 Mbezi Kimara
  15. Ally_34

    INAUZWA Laptop Dell inauzwa

    Bei Tsh 530,000 Inapatikana Morogoro Ina 500 gb Mawasiliano piga 0746897449
  16. G

    Computer4Sale HP Laptop inauzwa laki moja na nusu

    HP Laptop min 1104 inauzwa dual core hardisk 160 inch 10 RAM 2GB ipo na charger yake ni laki 150 tu mtu anashida tatizo la pc ni keyboard tu na keyboard ni elfu 30 wanauza karibuni sana nipo Dar Mbezi ya Kimara 0656804462
  17. F

    INAUZWA Tshirt printer inauzwa - Heat press machine heavy duty

    Heshima kwenu wadau.. Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc Mpya kabisa haijawai tumika Bei ni laki 9 ,,manufacture anaitwa Adkins, size ni kubwa kabisa A-3 Manufacture...
  18. MrsPablo1

    INAUZWA Bajaji mpya iliyosajiliwa inauzwa million 6

    Ilianza kazi tarehe moja mwezi wa tatu, ikafanya kazi miezi 2 dereva akazingua, so imepaki toka mwezi wa 5 , mwenyewe hataki tena biashara ya bajaji 📞 0758851175, 0713220021
  19. J Mbungi

    House4Sale Nyumba mpya ya kisasa inauzwa DSM Madale Mwisho 21,000 (48,000,000)

    NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000) Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea MBOPO (Njia panda ya Msumi-Mbezi). Bei ni dola $21,000 au Milioni 48 za kitanzania )..(Maongezi kidogo...
  20. kilimomaarifa.tajiri

    Nyumba (Boma) inauzwa Ituha-Mbeya Mjini kwa Shilingi 10.5 Milioni

    -Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka (boma limeshafika kwenye lenta), ina vyumba viwili (kimoja ni master), pamoja na sebule, -Nyumba (Boma) Ipo barabarani kabisa, ni umbali wa kilomita 1 kutoka Ituha mwisho wa lami. -Saizi ya kiwanja ni 20m kwa 20m, nyumba iko ituha-mbeya, karibu kabisa...
Back
Top Bottom