inauzwa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop hpfolio 9480 inauzwa

    Ram: 8gb Hdd: 500gb Processor : Coi5 Battery mbovu (haina tatizo jingine) Bei: Tsh. 550, 000/= Phone : 0764232348 Location : Dar es Salaam Exchange allowed with any dell laptop
  2. Tujisahihishe Tz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza ya chakula viti sita inauzwa

    Imebaki hii meza ya chakula ni nzuri sana, ina viti sita, meza bado ni mpya kabisa, katikati ina kioo. Bei ni laki sita. Ipo Nyakato Mecco Mawasiliano 0622723082.
  3. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung S8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy S8 Edge Ina 4GB Ram 64GB Storage Battery health 100% Inakuja na Original Fast Charger na Kava lake. Haina crack wala mchubuko wowote. Imetumika miezi 2. Bei 390,000 maelewano yapo. Contact 0623464795
  4. Filaria

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastic ngum inauzwa

    Habari za muda wana jamii. Mifuko mbalimbali yakufungashia bidhaa mbalimbali inapatikana, pia mifuko inayotumika kwenye vituo vya afya (Disposing bags) pia inapatikana. Kama utahitaji nijulishe nitakutafuta
  5. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Feni inauzwa shilingi 45,000/=

    Ni Kampuni ya AILYONS, imetumika miezi mitatu tu. Feni ni nzuri na yenye nguvu. Bei ni 45000/= Njoo Kimara Mwisho uchukue. 0687603307
  6. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Pugu Station

    Nyumba inauzwa ina vyumba vitano,gharama ni Tsh.19,000,000/= , ipo Pugu Kigogo Fresh/Pugu Station . Ina Sebule ,master moja, choo cha ndani ,vyumba vitatu vya kawaida.Karibuni maongezi ya bei yapo. Eneo ni 215 sq m. Mawasiliano 0744992266 au 0789581889
  7. astalavista

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji ndogo inauzwa 150,000

    SOLD SOLD SOLD Ni kampuni ya GEC Imetumika miaka mitatu Gas ipo Taa ya ndani inawaka. Location Mbezi mwisho barabara ya Kinyerezi. BEI ni 150,000/= NJOO UIKAGUE THEN TUFANYE BIASHARA. 0687603307
  8. ElietSe

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sofa inauzwa

    Sofa set inauzwa ipo kwenye hali nzuri. Ipo Arusha. Bei 350,000 tshs.
  9. Chimulenge

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sonny Hometheate 1000w inauzwa

    Redio inauzwa ni sony hometheater 1000w dz950 Bei laki 7 redio ipo Mbeya Mawasiliano 0652 064 936
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania City Lodge Hotel iko sokoni; je, hii ni dalili gani kwa soko la Utalii?

    Hoteli mpya kabisa mkabala na Mahakama ya Kisutu iko sokoni baada ya biashara kudorora kwa 73%. Pamoja na sababu zingine COVID 19 yawezekana ni moja ya sababu. ======== City Lodge sells 148-room hotel in Tanzania for R1m, Kenyan hotels also sold The City Lodge Hotel Dar es Salaam in Tanzania...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa bei ya kutupa

    Wakuu mdogo wenu nina used laptop hp hapa in clean condition naiuza yenye sepecifaication zifuatazo Intel R 1 . 4 .6 ghz 4gb , 64 bit porcessor,na inapatikana kwa 350 k ila kua maelewano picha yake hiyo hapo nashukuru mnakaribishwa. Namba kwa ajili ya mawasiliao ni 0783672221
  12. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone X ina wiki 2 tu inauzwa bei ya haraka nina shida na pesa

    Nina shida ya pesa Iphone X Ina wiki 2 tu. Gb 64. B.Health 100%. Face id. Truetone. Nina shida na pesa. Box lipo. Charger na earphones zipo. Kiufupi mzigo ni mpya. Bei maelewano. Number. 0683011003
  13. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania Passo inauzwa

    Passo 2005 YOM 3 piston Engine problems 3.6 millions TSH Makumbusho Dar es salaam +255714908121
  14. D

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa

    Lenovo ideapad 110-15IBR RAM 4GB HDD. 500GB PROCESSOR. duo 1.6Ghz Battery >3 hrs Bei 380,000 📞 0767353674 Dodoma.
  15. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4L Namba A inauzwa: Dar es salaam

    Haina tatizo lolote bei: 4.5 mil nipigie/sms 0625750755
  16. Boyla

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Noah inauzwa

    Toyota Noah Category: Station Wagons Transmission: Automatic Colour: Gold Engine 1998cc Fuel: Petrol Mileage: 200000km Year of manufacture 2001 Condition: Used for 4year Price: Tshs.Mil.11,500,000/= Haina tatizo,njoo na fundi wako akague. Maongezi yapo Call#0652563680
  17. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Excavator inauzwa

    CAT 318 B EXCAVATOR 3556 MASAA 2001 YOM TABATA DAR ES SALAAM +255714908121 100 millions TSH
  18. King Elly

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Transcend external hard disk inauzwa

    Mzigo ni 160,000 njoo nikuuzie kwa 140,000 SPECIFICATIONS UKUBWA NI TERABYTE 1, PERFORMANCE & HEALTH NI 100% SPEED 3.1 Nipo Dodoma piga simu 0625796805
  19. v0il0r

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Asali ya jumla inauzwa

    .
  20. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
Back
Top Bottom