inauzwa

  1. maurice99

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora *Room 4 (Kimoja master) *Sebule *Jiko *Public Toilet *Umeme✅ *Maji✅ Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
  2. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Mwanza: Oppo A93, ram 8Gb rom 128 Gb inauzwa

    Habari waungwana. Simu tajwa hapo juu inauzwa Ipo mabatinj Mwanza unapewa na risiti * box used for 36 weeks only 290,000 Tu 0744 033 555
  3. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Subaru Forester inauzwa

    Bei ni 10m. Maongezi yapo. Engine sio ya turbo. Kwa mawasiliano na kutest, 0689-601271 na 0685-493792
  4. B

    JamiiForums Tanzania Heka 1 inauzwa Kibaha kongowe

    Nauza Heka 1 Kibaha kongowe Mil.70 barabara ya zamani pana faa kwa Godown au Kiwanda, mita 100 hadi Morogoro road. WhatsApp kama ukiitaji picha 0674223223
  5. Rubo Motors Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors

    Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani. Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea. Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis inauzwa

    Gari ipo Arusha Haina tatizo lolote, kila kitu ni kizima Bei 15M Mawasiliano: 0621846107
  7. Mr_S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TV ya mtumba inchi 24 inauzwa

    TV ya mtumba inchi 24 inauzwa. *Button zake za kuwashia/kuongeza/kupunguza sauti ni za kugusa. *HAINA REMOTE *HAITUMII FLASH *Bei: 150,000/- (maongezi yapo) *Location: Kiwalani, Dar es salaam. *WhatsApp/simu: 0656 203 045
  8. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Alphard inauzwa Tanga mjini

  9. Elivate

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota IST inauzwa.

    Sold.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop nzuri yenye uwezo, inauzwa

    IMEUZWA
  11. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    *ENEO LINAUZWA* Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
  12. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Daf XF Euro 5 inauzwa, kibini ipo separates na chesesi

    Gari aina ya DAF XF EURO5 engine ya paccar inauzwa ipo separate kibini pamoja na chesesi, Engine inahitaji matengenezo. TAJIRI anahitaji milioni kumi na tano(15) kwa mawasiliano piga namba +255 763 363 536, +255 683 067 976 Gari inapatikana DAR ES SALAAM, TANZANIA Kibini ipo sawa kabisa ni...
  13. Mr_S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

    Nimepata dharura kwahiyo nimeamua kuuza ofisi yangu ya PlayStation (Gamecentre). Ina vitu vifuatavyo: (kila kitu kimetumika kwa mwezi mmoja) Bei hazina maongezi (prices are fixed) 1-Sony PlayStation 2 inatoka kwa TSh 100,000 pamoja na memory card, flash, padi mbili na nyaya zote. 2-Sony...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari zuri Toyota Crown namba D inauzwa

    Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  16. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Inauzwa : Kifaa cha guiter aka guiter tuner

    Nauza kifaa cha guitar kwa shilling elfu 30, kwa watumiaji wa guiter mtakuwa mnajua kinatumikaje. .
  17. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Inauzwa: Camera cover ndani ya maji

    Nauza camera cover kwa ajili ya kuzuia mvua au camera kuingia maji. unaweza shoot hata ukiwa ndani ya maji, mazingira ya maji au mvua ikiwa inanyesha. . Bei elfu 50 sawa na bure. .
  18. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa laki 2 na nusu tu..nina uhitaji wa pesa haraka

    Toshiba Hdd- 128ssd Ram 4 Touch screen Nina shida na uhitaji wa pesa haraka sana.wakuu nimebanwa na shidaaa nahitaji 250000 tu. Ipo dar piga simu 0627474141
  19. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell latitude laptop inauzwa

    DELL LATITUDE LAPTOP INAUZWA SPECIFICATIONS: Screen Size: 14 inch Processor: Intel Core i3 RAM: 4GB Hard Disk: 500GB Bei: 500,000 Mawasiliano: 0768444224
  20. E

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota hiace inauzwa

    Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana ndugu mteja. Mawasiliano 0718982463.
Back
Top Bottom