inauzwa

  1. Brightly

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa Mwanza

    Gari inauzwaa mwanza Million 24, ina kila document muhimu inayohitajika. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255 769 088 152
  2. Kelela

    JamiiForums Tanzania Desktop Computer Inauzwa Tsh 220,000 Tu

    IMEUZWA
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Apple Laptop Inauzwa

    Apple Laptop MacBook Pro Retina Display Inauzwa 13 inch Processor 2.7 GHZ Dual Core Intel Core i5 RAM 8GB 1867 MHZ DDR3 Graphics Intel Iris Graphics 6100 1536 MB. Mbezi, Dar es Salaam Bei 650,000/= Mawasiliano 0623745875
  4. Fundi Lyimo

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa East Africa Road Arusha (Muriet)

    Habari, kama kichwa cha habari kinavyojieleza... •Nyumba ipo Muriet Mashariki, mita 200 kutoka barabara ya East Africa • Nyumba ina vyumba kumi, (single room) na ukubwa wa eneo ya nyumba ni  mita 20×15. •Nyumba ina umeme na maji yapo karibu ni ya kufuatilia. Bei ni Tsh 35,000,000. Kwa...
  5. Sajo

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Goba kwa Mama Chacha. 1.2km kutoka Goba Centre

    Nyumba ya vyumba 3 vya kulala na sebule, ipo ndani ya fensi. Inahitaji marekebisho machache. Uwanja una ukubwa wa 20m x 18m, hauna hati ila kuna mkataba wa mauziano ya kiwanja. Maji ya DAWASA na umeme vipo nje ya nyumba, Huhitaji nguzo, kunafikika vizuri kabisa. Neighbourhood ni nzuri, usafiri...
  6. Cetshwayo Kampande

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

    Ipo kibaha visiga,nyumba ya kisasa, Vyumba viwili,kimoja master,sebule ,dinning,jiko, Uwanja mkubwa squire meter 800 Ina fensi ya kisasa. Umeme na maji vipo, Umbali km moja kutoka morogoro road, Bei milioni 35.negotiable
  7. F35-Bomber

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu aina ya Note 9 Samsung inauzwa

    Jipatie simu Samsung note 9 kwa bei ya kutupa laki 350,000 Storage GB 128 Ram gb 6 Haina cracks. Used but in good conditions Free charger Free cover Free protector
  8. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba maeneo mbalimbali Dar

    Chanika Magenge, mtaa Toroka Uje. Bei 16milioni. Serious buy nipigie tufanye biashara 0712347749, 0746474849. Nyumba ina vyumba 3. Master 1, viwili vya kawaida Choo cha public kipo ndani kingine nje. Sittingroom, deningroom Flem za biashara 2. Kozi 2 ya uzio Eneo la kujenga mabanda ya uani...
  9. T

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba inauzwa Tanga mjini, Kange 3 Masters Bedrooms na moja ipo ghorofani in sitting room. 3 Normal bedrooms. Car garage (parking) public toilet kitchen Siuting room & Dining room Mabanda 7 inje ( ya tofali kama vyumba) Frame ya Duka Gazebble Imezungushiwa ukuta na Gate Eneo size ni 2230 sqm...
  10. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

    Mbweni Stand alone House, 3 bedrooms, Toilets, Kitchen and Dining, Parkin space up to 5 cars, Dawasa Water supply, Garden space,sqm 460, hati miliki ipo. Price tshs.180million. Dalali pia unaruhusiwa kuleta mteja . 📞 +255 785 335 350. WhatsApp +255 621 142 409
  11. Gullah

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Nyangomango, Mwanza

    Nyumba inauzwa ina vyumba vinne, ina fensi, ina hati miliki, kiwanja ndani ya fensi ni kikubwa unapaki hata gari nne. Ipo Mwanza mtaaa wa Nyangomango Center, kutoka barabra kuu ni sekende arobaini kwa miguu, bei Milioni 33 na maongezi yapo kidogo. Mawasiliano: 0717254233 mwanz
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Original Gold Iphone 7Plus inauzwa

    Original Gold Iphone 7plus inauzwa Storage 128GB Bei 300,000
  13. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Apple MacBook Pro Laptop Inauzwa

    Apple MacBook Pro Laptop Inauzwa Bei 1M Mawasiliano 0623745875 Specifications Display Retina display 13.3-inch (diagonal) LED-backlit display with IPS technology; 2560-by-1600 native resolution at 227 pixels per inch with support for millions of colors Supported scaled resolutions: 1680 by...
  14. African Geek

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Gaming PC Inauzwa, Complete Setup kwa kazi za production

    Habari wana JF. Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D Animation, Rendering, etc. Iko very powerful. Specifications hizi hapa chini. Gaming Desktop Computer...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Jinsi Afrika inauzwa na vijana wakipata fursa: Balozi wa Zimbabwe anaswa katika genge la utoroshaji wa Dhahabu

    Ukiitazama hii video inauma na kufikirisha sana, inatia hasira.
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale MacBook Pro Retina Display 13 inch inauzwa

    Apple MacBook Pro, Retina Display 13inch, 16GB, HDD250GB, Processor core i5, Battery 8800 mAh, 9 hours 4K FaceTime camera, High Sound Quality speakers, Mazungumzo yapo Bei 1.3M Tsh
  17. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki Vitara (manual gear) inauzwa Arusha

    Habari, Maelezo ya gari yapo kwenye picha za gari na kadi yake. Bei ni 5.6 million. Gari ipo Arusha. Mawasiliano 0656388678
  18. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA TV aina ya Hisense led inauzwa 270,000

    Nauza TV aina ya Hisense LED Flameless kwa bei ya Tshs 270,000 TV hii imetumika miezi 4 tu ba bado ina boksi lake. Nicheki kwenye namba 0764368588 tufanye biashara Napatikana Mbezi jirani kabisa na Stand ya Mabasi ya mkoani ya Magufuli Terminal
  19. Brightly

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa million 25 misungwi mwanza

    Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
  20. Brightly

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi

    Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
Back
Top Bottom