inauzwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya kuchaji inauzwa

    Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mali
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526

    Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526 ipo kwenye malipo Ilikuwa inafanya kazi ya vipindi vya michezo Bei ni 600,000 Simu 0753-215812.
  3. JamiiForums Tanzania Photocopy canon ir 1435 image imagerunner inauzwa

    Photocopy canon ir 1435 image imagerunner inauzwa NI Black and White Inatumia Flash Double slide Inatoa copy,inascan maximum size A4,Inatumia wino wa powerd Ina bypass tray,ina network port na ethrnet Bei 1,000,000 Simu 0753 215812 Mazungumzo yapo!
  4. JamiiForums Tanzania Bajaji ya abiria inauzwa

    Bajaji inauzwa bei sawa na bure ni kampuni ya Sinoray. Capacity cc200 Seats 8 Usajiri ni DSG full document Ni kununua na kuingia barabarani haina changamoto yoyote Bei ni Milioni 3,200,000 haipungui Pia naitoa kwa mkataba kama wewe ni dereva una leseni na una mdhamini. Mawasiliano 0758161628...
  5. JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer mpya inauzwa njoo ibebe

    Habarini za Asubuhi wakuu. Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana. Model: TVS 125 Plate number: DQF Bei yake: 2,000,000 Fixed Nicheki WhatsApp: 0683535699 NB: Nimekosea kwenye headline siyo Boxer ni TVS
  6. JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  7. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki boxer BM 125 inauzwa

    kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea ianze kufanya kazi. nilikuwa naitumia kwendea kazini tu. na vijisafari vidogo vidogo. hivyo sijawahi...
  8. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Shule

    Nyumba ya kisasa inauzwa ipo MAPINGA SHULE nyumba ya kisasa YENYE idadi ya vyumba vitatu master ipo moja lakini pia kuna NYUMBA za wapangaji kwa Nyuma YANI boy kotta zenye chumba sebule x 2 pia kuna ya chumba Kimoja Chenye choo nyumba inatazama BARABARA ya mtaa Ina Uwanja wa sqmt 850 Ina hati...
  9. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Patrol inauzwa Milioni 45 tu. Ipo Dar

    1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol 2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam 3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45 5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
  10. L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kigamboni bei rafiki sana

    NYUMBA INAUZWAAA BEI CHEEEE NYUMBA IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU... Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei milion 29 MAWASILIANO +255784379396 +255789782415 Email: leonapolinary@gmail.com
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji TVS Apache 1604v 2020 Brown inauzwa 3.2million kazi kwenu.kwa mawasiliano piga 0695022051

    Habarini Wana JF kwa anaetaka kuanza biashara ya bajaji Karibu sana bajaji inauzwa na ipo vzr sana bei ni 3.2 million tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni clearing and forwarding inauzwa 26Million

    Habari!kuna dada yangu anauza kampun Haina deni Ina usajili na haijawah kufanya kazi milion 26M. ukihitaji nitakupa mawasiliano yake.Asante.
  14. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu

    Wakuu. OFFER: Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu Specification: Kwanza kabisa ina wireless charging system Yaani unaweza kuchaji kwa kuilaza juu ya simu nyingine. RAM 6 GB Storage 128 GB BATTERY Type Li-Ion 3100 mAh, non-removable Charging15W wired...
  15. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Inauzwa iphone 14 PRO MAX copy,na AQUOS 701 SH USED

    IPO IPHONE 14 PRO MAX COPY KWA 170,000 TU,RISITI YAKE IPO NA INA CRACK KWA NYUMA VINGINE VIPO FRESH SANA,INATUMIA ANDROID ,STORAGE 512GB IPO USED AQUAS 701SH KWA 50,000 TU,RISITI YAKE IPO HAINA TATIZO LOLOTE ,ANDROID 10,STORAGE 32 GB,RAM 3GB SERIOUS BUYERS CONTACT ME: 0768115667
  16. JamiiForums Tanzania Drama haziishi. Tujuzane huko ulipo sukari inauzwa bei gani?

    Tusikwepe ukweli kwamba kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadan, kimekuwa ni kipindi kinachokuja na neema ya unafuu wa maisha kwa jamii hususani hata wale wasiofunga yaani Wagalatia na wasio na dini. Unafuu wa maisha unatokana na kwamba, Wachuuzi wengi wanachuma rehma na fadhila zitokanazo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Inauzwa Mashine ya biashara kusaga na kuchuja juis ya miwa N mpya inatumia umeme Motor ya 3HP 📞📞0757687358

  18. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

    Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa Bei yake: 1.6 M. 📞📞 & Whasap 0757687358 Whasap & call 0757687358 Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric...
  19. JamiiForums Tanzania CCTV camera moja ya cable inauzwa shilingi ngapi

    Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika. Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
  20. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Raum old inauzwa 8ml

    Nauza Toyota Raum old kwa 8ml. Gari liko Tabata liko vizuri sana mkoa nia ujaza full tank zako nakutembea. Mawasiliano 0758 350 943
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…