inauzwa

  1. L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Kigambino Mwembe Mtengu

    Nyumba ipo kigamboni Mwembe mtengu inauzwa na mwenye nyumba. Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei 38Mil MTEJA ANARUHUSIWA KULIPA KWA AWAMU MAWASILIANO +255784379396
  2. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pallet kwa ajili ya kubebea mizigo inauzwa. Zipo Moshi Mjini

    Habari , ninauza pallet mahususi kwa ajili ya kubebea mizigo ni imara na zinadumj maana zimetengenezwa na ni mpya Zipo hapa. Moshi mjini Mawasiliano ni. 0672701329 Bei 25,000 kwa kila pallet.... Na pia zinafaa hata kutumika madukani kuwekea mizigo , friji na kazalika... Karibuni wandugu.....
  3. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Dell vostro 3400 inauzwa

    Dell vostro i3 3400 kwa 1.2M Lipia kwa Installment, 25% kwa mara ya kwanza kiasi kinacho baki utalipia ndani ya miezi 3 Maelezo zaidi, picha manunuzi click link hapa...
  4. GIUSEPE

    JamiiForums Tanzania External hard disk inauzwa

    Inauzwa external hard disk GB 500. Ina series za kizungu na movie za kizungu kiasi( ambazo hazijatafsiriwa) ipo Mbeya mjini. Bei sh.35,000.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Kibada Kigamboni

    Nyumba ipo KIGAMBONI Mwembe mtengu inauzwa. Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei 50Mil Maongezi yapo. Mawasiliano: sms,calls,watsaap 0784379396 Email: leonapolinary@gmail.com
  6. financial services

    JamiiForums Tanzania Microwave (Nikai Brand) inauzwa

    Habari ya weekend! Nauza microwave ni kama mpya kabisa sababu haijatumika sana bei ni 120,000/= sababu ya kuiuza ni ninazo 2 so hii siitumii, pia ukilipia 140,000 nakupa na viti 2 vya kuzunguka(office chairs). Karibu inbox kama hela iliyopo imepungua kidogo, naimani hatutashindwana. Location...
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Nissan fuga inauzwa very cheap. Low mileage

    NISSAN FUGA 🚘 ✔️PRICE 7 MIL ✔️YEAR 2004 ✔️CC 2490 ✔️COLOUR PEARLY WHITE ✔️LOW MILAGE ✔️FULL AC ✔️FULL DOCUMENT ✔️GARI MKWAJU SANA HAINA TATIZO LOLOTE ✔️LOCATION DSM, BUNJU CALL +255 734 766 126
  8. L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ghorofa moja inauzwa (Goba kwa Ulomi)

    NYUMBA INAUZWA Location: Goba kwa Uromi Ownership: Full documents Plot capacity: 950 sq/m No. of Room: 5 self contained rooms ---Store ---Jiko --- Parking --- Two seating room --- 1 office NYUMBA NI NZURI, HAINA KASORO Bei ya makadirio ni 470m kwa mazungumzo na kukagua tafadhali wasiliana nasi...
  9. The bump

    JamiiForums Tanzania All in one HP Envy 20TB plus 2TB SSD inauzwa

    Computer ya HP all in one inauzwa ina internal Storage ya SSD 2TB na EXTERNAL STORAGE ya 18TB. Computer iko very perfect nzuri inavutia Mayai classic. Screen Touch yenye ukubwa wa inch 27 RAM 16gb Storage 20tb Core i7 (8th Gen) instaled window 11pro Kasoro zake Wireless keyboard yake na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa 10.5m na benki kwa njia ya mnada

    Habari JamiiForums members. Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa --Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master, seating na dyning room -- Nyumba ina hati ya ardhi-- BEI NI (10m + 5% commission ya brokers)...
  11. The bump

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofisi ya movie, computer 21 telabytes inauzwa

    OFISI YA MOVIE inauzwa ni Computer Desktop Core i5 (4th Gen) Brand HP STORAGE 20TB RAM 12GB MONITOR 17INCH (DELL) KEYBOARD MOUSE ina Movie zote za kutafsiriwa hii ilikua ni ofisi ya kumpa mtu kipato cha siku si chini ya 20,000. ina season Zote za kiswahili pendwa za Kutafsiriwa na Ma Dj wa...
  12. Issuna

    JamiiForums Tanzania INAUZWA PikiPiki Boxer 125cc inauzwa 1.8m, ina Mwaka full document

    Pikipiki imenyooka kama rula, mkoa wowote ulipo inakufikia kwa kuendeshwa sio kusafirishwa. Cc 125 powerfull boxer haijawahi fanya boda boda hata siku 1, ina mwaka katika matumizi na Km 10,000 imemwagwa oil mara 10 tu tangu inunuliwe. Bei iko fixed, mahali ilipo GOBA CONTACT : 0695697796...
  13. Dharafu

    JamiiForums Tanzania Babershop inauzwa

    Barbershop inauzwa Habarini ndugu wanaJamvi! Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada, barbershop iliyopo Goba inauzwa ikiwa na vitu vyake vyote ambavyo vinatumika barbershop ikiwemo viti maalumu vya barbershop, na vifaa vyote vya barbershop vipo Masofa, rotating taa za nje, bango kubwa...
  14. halley from city

    JamiiForums Tanzania Kwa walio serious tu. Ps4 fat inauzwa kwa offer

    KAMA UKO SERIOUS; Sidhani kama uko serious na hii biashara utashindwa kuchukua hii ps4. Chukua ps4 fat, ina game la GTA Imechipiwa, Bado mali ni mpya tuu. Pad hizo apo ni mpya. Kwasababu halina game la mpira naliuza kwa 450k top. Ila, kama uko dar nakupa connection pa kwenda kuweka games bure...
  15. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Mitungi Empty ya GAS 200 inauzwa Kampuni Zote.

    Kwa wafanyabiashara wakubwa wa gas wa jumla na reja reja kuna mitungi ya Gas inauzwa. Mitungi hii ni Empty haina Gas, kampuni za Gas zilizopo ni zote kasoro ORYX tu. CAM GAS MIHAN/TAIFA GAS OGAS LAKE GAS PUMA GAS MANJIS GAS Ukija utachagua unataka mitungi ipi uchanganyiwe vipi. Mnunuzi ni...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Website inauzwa

    Habari Wana jamii. Habari ndugu jamaa na marafiki Kwa wale wanaopenda sana mambo ya blog au website basi leo nawaletea website ya habari(newsportal) iliyokamili kabisa inauzwa Kwa matumizi binafsi, kampuni na kadhalika Kwa Bei ya 330k. Ipo video preview inayoonyesha all capable feature...
  17. Jozedan56009

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nyumba Inauzwa Kibaha Muheza

    Kibaha Muheza 48 ml ( Maongezi Yapo ) 3 kilometers kutoka Mailoja. Eneo 18*25 Vyumba vitatu vya kulala 1 master bedroom Sebule na dinning room Public toilet Jiko na stoo yake Fremu ya duka mbele Piga : 0678650509
  18. R

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu inauzwa samsung A13 Dar. Haina mushkeli

    Samsung A13 dark blue color Ni 64 GB, ram 4 gb. Simu haina tatizo lolote, screen ipo safi. Simu ipo Dar Imetumika miezi 11. Unapewa charger, box, risiti. Muuzaji ana shida ya haraka kugharamia matibabu ya mzazi wake. Ameshindwa kuipiga picha kwa kukosa simu ya kutumia kuipiga picha. Picha za box...
  19. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tabata-Dsm: Mini Projector Inauzwa

    Bei; 165,000 tu. 0683011003 Inafaa kwa kazi zote zinazofanywa na Projector Kuonesha mpira Kutazamia movie Kusomea Location: Ipo Tabata kisukuru Dar e salaam
  20. E

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa

    Gari inauzwa bei TSH.21,000,000/-TU ipo kwenye hali nzuri sana ilikua inasafirishiwa mikate tu ,mwenyewe kapatwa na shida ya ghafla anauguliwa ,ukihitaji kuiona ipo maeneo ya kigamboni maelezo zaidi mawasiliano,0768496151/0777496161.
Back
Top Bottom