inauzwa

  1. House4Sale City Center: 4th Floor 3 Bdrm Apartment Inauzwa - Dar

    • Direction: Kisutu • Document: hati • Price: TZS milioni 200 . ✓ ni ghorofa ya 4 ✓ ina lift ✓ inauzwa bila samani (unfurnished) ✓ vyumba master 1 & kawaida 2; public washroom; sebule; jiko lenye makabati; balkoni ✓ feni za juu; maji moto bafuni; madirisha vioo ✓ wafanya usafi nje na ngazi ✓...
  2. Mota ya kusaga mahindi inauzwa

    Habari Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
  3. Nyumba inauzwa kibaha mwenda pole

    Nyumba inauzwa ipo kibaha mwenda pole. Si mbali na barabara kuu iendayo dar es salaam. Ina vyumba 3 master 2 single Moja Ina sitting room dining room jiko store umeme maji mabanda ya kuku ya kisasa Ina tiles na madirisha ya aluminum. Ukubwa wa eneo ni hatua 20 Kwa 60. Bei ni sh milioni 80 Tu...
  4. W

    Car4Sale Howo tipper 371 used inauzwa

    Howo tipper 371 used inauzwa, ni used kutoka China ina Hali Nzuri Sana, Karibu ofisini kwetu Kurasini opposite na diplomatic college, Pia utapata offer ya kufanyiwa service ya truck Kwa mwaka mmoja Karibu sana. Price: million 127.5 ☎️0715 128 827
  5. Samsung Note 9 Inauzwa

    Habari wakuu. Samsung note 9 ipo sokoni ila ina shida ya kioo kinahitaji kubadilishwa. Storage 128GB Ram 6GB Bado ipo kwenye clean condition ukiacha kioo tu. Bei ya kubadilisha kioo ni 170k Bei 90,000 0757 444 844.
  6. I

    Vitz old model inauzwa bei mil 2

    Vitz old model inauzwa 1. Milango 5 2. Cc990 3. 1SZ FE engine 4. Haina deni, bima imelipwa 5. Engine ina kipengele, inarekebishika au inafaa kwa mswaki. Mimi nna gari nyingine 6. Bodi zima. Picha imewekwa apo, for serious business nicheki inbox
  7. GHOROFA INAUZWA BEI MIL 750

    IPO KINYEREZI KIBAGA KWA WASHUA GHOROFA NI YA VYUMBA V4 SEBULE JIKO DINNING PUBLIC TOILET, STOO NJE IPO BOY COTER VYUMBA V2 NA CHOO BEI MIL 750 TITTLE DEED MKONONI ENEO SQM 1200 KARIBU SANA MTEJA KARIBU KINYEREZI MKUU UISHI NA MABOSI 0625034172 0755518791
  8. House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Kange Mkurumuzi *Rooms 3 (Viwili master) *Sebule *Dinning *public toilet *Umeme *Maji Sqm 603 Price Milioni 39 (mazungumzo yapo) Call 0679991114 / whatsapp 0763316426
  9. KERO Wajawazito zahanati ya Mbinga wadaiwa kutozwa Tsh. 500 ya mlinzi

    Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa ajili ya kumlipa mlinzi. Kama hakitoshi Kadi ya mama mjamzito inauzwa Tsh elfu 2,000 na wakichelewa...
  10. W

    House4Sale Nyumba (lodge) inauzwa Kitunda Dar es salaam

    NYUMBA INAUZWA (LODGE) Loc: Kitunda Matembele ya Kwanza(DSM) Bei/Price: Millioni 95,000,000/=TZS (Maongezi Yapo) Nyumba Ina Vyumba vitano Vyote Master, na chumba cha nje cha mfanyakazi, public toilet, parking & fance. ✅Document: Hati Miliki Ipo Contact 📲 0748270719
  11. Plot4Sale Mikocheni: 5th Plot off Mwai Kibaki Road Inauzwa - Dar

    • Direction: Chama • Survey: skwata • Plot Area: Mita za mraba (sqm) 1,200 • Document: Leseni ya Makazi • Price: TZS milioni 350 . ✓ eneo linachipukia ujenzi wa majengo ya kisasa kama: kanisa apartments, hospitali, kituo cha mafuta, nyumba (standalone), n.k . Call/Watsap: 0767 15 77 88 . In real...
  12. Harrier inauzwa milioni 14

    Year :2004 Engine:2995 CC Fuel used:petrol Colour:Black Price:Milioni 14.
  13. Phone4Sale REDMI 13C inauzwa 200K

    redmi 13C inauzwa bado imenyooka, gb 128, ram 6, imetumika miezi miwili,njoo nikupe risit na box lake. Bei 200k 0746407747 dar.
  14. House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za ujenzi ana shida.
  15. B

    Hostel ya vyumba 12 inauzwa tanga mjini million 55

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936 Attachments
  16. Phone4Sale Samsung A90 inauzwa

    Nakaa Dar nauza simu Samsung A90 ina Ram 6gb,Rom 128gb,Battery 5000ma kwa Tsh 350,000/ Nicheck kwa 0693141058
  17. RECEPTION TABLE INAUZWA

    ipo tabata segelea 185k 0697224996
  18. INAUZWA Printer inauzwa

    HP Deskjet 2835 Inatumia Wino huu Cartridge 652 Haina wino Bei ni 190k tu Upanga Contact: 0697224996
  19. House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Michamvi, Zanzibar

    Location: Michamvi, Unguja, Zanzibar karibu na Karafuu Hotel Price: 33,000,000/= Tshs Contact: +255742004658 (WhatsApp only) •Ina vyumba viwili na vyote ni self-contained •Sebule •Dining room •Jiko •Kifusi ndani kishajazwa •Shimo la choo tayari limechimbwa
  20. Pocket projector inauzwa kwa bei ya kutupwa

    Product name: Pocket projector pro Price: 150,000 tsh Location: Dar Es Salaam Contact : 0719452361 Zimebaki piece 2 tu. Ni mpya kabisa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…