#Shany ni mtanzania anayeishi nigeria kwa miaka mingi kidogo,anatunyetisha hali ilivyo na uhalisia wake!,
#Wale wa upande wapi wajionee na wajiulize,jinsi serekali yetu tukufu inavyo wapenda watanzania kwa kila sekta,japo kwa umahamuma wao hupuuza na kujiona wao ndiyo wana akili nzuri na wapo...