inatisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Video: Kilichotokea Mwanyamala, pia kilitokea Mount Meru Hospitali. Waliouwawa ni wengi

    Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa X: "Hii ni Mortuary ya Mt, Meru hospital. Hii picha imepigwa Tarehe 30 Oktoba"
  2. A

    Iran Inatisha Mpeni Pole Israel

    Iran wamekuja na technology mpya ya Missiles hukioni kichwa we utaishia kudaka target sio orignal hio hio Missile moja inaonyesha kama ina vichwa vingi hivyo Air defense zitakuwa zinafata hizo fake target kumbe kichwa orignal kina kwenda kwenye target...
  3. fimboyaukwaju

    Azam inatisha

    Huu usajili wa azam msimu ujao unatisha.Wadau mnasemaje?
  4. S

    Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  5. Komeo Lachuma

    Jamii ya Druze inavyofutwa huko Syria. Hali inatisha sana

    Allah Akbar...! Alisikika mwanajeshi mmoja baada ya kumuua Mdruze huyu. Wadruze wamejikuta wakilengwa au kuingia kwenye migogoro nchini Syria kutokana na sababu za kisiasa, kijamii na kidini, lakini sio tu kwa sababu ya imani yao ya kipekee. Sababu kuu ni hizi: 1. Mgogoro wa Syria (2011 hadi...
  6. Mto wa mbu

    Hali inatisha notes za fedha zinapigwa chata ya No reform no election

    Hii ni Nini jamani, au ndo civil disobedience, na vijana Sahivi wameapa kuzipiga chata notes za TSH chapa ya no reform no election.
  7. S

    Ole ole ole anayedhulumu na kunywa damu, endelea kunywa na kusaza, ghadhabu ya aliye juu inatisha na kuogofya

    Hakika amejiangamiza kwa mikono yake, maana ghadhabu ya aliye juu, italamba ukoo na kizazi hadi kizazi, hawataona ile amani, zaidi ya hofu na maombolezo, asema BWANA, mwenye sikio asikiye, mwenye macho aone.
  8. Komeo Lachuma

    Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  9. Tajiri wa kinyankole

    Jimbo la mhambwe ni aibu kwa mbunge wa jimbo hilo barabara inayounganisha mkoa kutoka kibondo mjini ni chakavu na inatisha.

    Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali. Utakuwa ni aibu kubwa kama...
  10. M

    Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

    Yani wazungu bana hii chatGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chatgpt ni next level . 🤣🤣🤣.
  11. Mr Why

    Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  12. Waufukweni

    Idadi ya ndoa zinazovunjika kwa mwezi Dar es Salaam inatisha: Utafiti waonesha 300, Kila Siku 10

    Wakuu Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo, Mbezi Garden Hotel amesema utafiti wa mwaka juzi unaeleza kuwa Dar es Salaam kwa mwezi zilikuwa...
  13. M

    DOKEZO Responded Hali ya vyoo Hospitali ya Sokoine, Manispaa ya Singida inatisha, viboreshwe

    Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo ilitakiwa iwe na mazingira mazuri haswaa, kuzingatia afya na usalama wa wagonjwa /wauguzaji pamoja na...
  14. T

    Tetesi za uwepo wa Makanisa ya kitapeli na vile yanawatapeli Watanzania inatisha sana

    Ndugu zangu watanzania leo nakuja na habari yakutisha sana naandika hii habari kwa mwenye macho fungua macho ila upo trapped. Awali ya yote kabla yakuandika kile nataka kukiandika nataka kuseme Yupo Mungu wa kweli na Yesu anatawala sasa na hata milele. Amen Kile kinatokea ktk Tanzania kwa sasa...
  15. data

    Biden kasimama na Israel na kuipinga ICC.. Inatisha.

    https://www.axios.com/2024/05/20/biden-reaction-netanyahu-arrest-warrants-gaza
  16. Comrade Ally Maftah

    Paul Makonda ni kiungo wa kuaminiwa anaupiga namba yoyote atakayopangiwa

    USHUPAVU WA PAUL MAKONDA UNAMFANYA KUWA KIUNGO MUHIMU KATIKA CHAMA, KOCHA ANAMCHEZESHA POPOTE Na Comrade Ally Maftah Mimi ni shabiki mkubwa wa aina za siasa anazofanya Paul Makonda, naweza kusema ndio mwanasiasa kinara kati ya miongo miwili yenye mabadiliko makubwa ya mitindo ya siasa, ukuaji...
  17. Erythrocyte

    Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni...
  18. LIKUD

    Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba. Ukahaba ni roho moja chafu...
  19. Crocodiletooth

    Tanzania hakuna mgawo, South Africa inatisha, mgao ni wa kutisha!

    The blackouts, commonly referred to as load-shedding, are a critical measure aimed at preventing a complete collapse of the strained electricity grid. Eskom, the state-owned power utility, has announced the implementation of load-shedding from 5 am to 4 pm on Tuesday, exacerbating the...
  20. sinza pazuri

    Kasi ya D Voice inatisha sana. Anawakalisha wakongwe kwenye game

    Supastaa mpya mjini D Voice aka Jini ameianza safari yake ndani ya Wasafi kwa kasi ya kutishia sana. Ameweza kuingiza nyimbo zote kwenye trend za Tanzania uku nyimbo tano zikiwa kwenye top 10. Tafsiri yake ni kwamba kijana kakubalika mno na kila mtanzania kila mtu ana shauku ya kumskiza...
Back
Top Bottom