Ndugu zangu watanzania leo nakuja na habari yakutisha sana naandika hii habari kwa mwenye macho fungua macho ila upo trapped.
Awali ya yote kabla yakuandika kile nataka kukiandika nataka kuseme Yupo Mungu wa kweli na Yesu anatawala sasa na hata milele. Amen
Kile kinatokea ktk Tanzania kwa sasa ni hatari kwa imani za watu wengi na kitisho cha usalama ndugu zangu dini inataka kuwafanya watanzania kuwa mbumbumbu.
Nilazima idara zetu za usalama na jeshi la police hasa kile kitengo cha intelligence kuwa macho. Japo najuwa kupitia hizi drama za watumishi wanao jiita mitume na manabii sasa wanacheza na hisia za watanzania na mwisho hautokuwa mzuri.
Yapata miaka 20 ilio pita rafiki yangu akanitonya kunamahali wanatoa misukule miaka ile yule mtumishi alikuwa anatoa misukule watanzania hasa wa mama walifurika sana hivi umewahi jiuliza why wamama wanatekwa sana huku?
Wanawake wana mengi acha tu wana amini sana simalizii..
Nikiwa kijana mdogo nikavaa nguo zakawaida sana kama nisie na kitu nakwenda kwa kanisa wanafufua misukule.
Sitotaja hilo kanisa kwasababu zakousalama na pia hasa ukizingatia Mungu anataka fanya yake muda sio mrefu.
Nilichokiona kwakweli Hawa viongozi moto wao utakuwa mara trilion mara trilion Mungu atawapiga sana. Nilijifanya mgonjwa nanikaenda mbele kumbe hakuna chamsukule watu wanalipwa wanatola vijiji vya ndani sana ktk jiji moja wanakuja sema wametoka misukule na mwisho baada ya ibada wanalipwa... Yesu shuka uthibitishe maneno haya mioyoni mwa watanzania utuponye.
Nasema sikurudi tena nasikumwambia mtu hata leo hii na post siri hii.
Hapakuwa na watu kutoka wafu maana kama ingekuwa kweli basi maiti zingefufuka wakaona ile issue itabuma wakaja msukule nimtu yupo hai anakuwa hayupo duniani jamani Yesu usiache hawa watu bila waumbua na watanzania wakaona.
Watu wametapeliwa watu wameibiwa watu wameuza kila walicho nacho kwa utapeli ndani ya hizi church wanafanyeje ngoja nikwambie miaka ile ya nyuma walikuwa wanakuwekea watu wakikuona una pesa na maisha unakuwa na kakikundi kamaombi na kuambiana shida kumbe kati yenu kuna anaye enda mweleza nabii wa mchongo unashangaa mambo yako yanasemwa mbele as if mtu alikuwa anakurekord.
My friend watu wameuza mali zao kwa hizi nabii fake jamani Mungu usiache hawa manabii fake bila upanga wako mkali wamaliza.
Siku hizi wanatumia groups za siri zakuombeana nakwambia unajiachia humo hasa wa mama wanafunguka mambo ya siri ya ndani yanamfikia nabii wamchongo unapigwa za uso unachnganyikiwa unauza kila kitu au una mpa nabii kaurithi kawatoto wako.
Yesu watete watanzania nakwambia unakuta kuna matajiri fake wanawachanganya masikini hakuna kitu.
Unataka kuamini funga mdomo usiwe na watu wakuongea nao nakuapia hudumu wanakufukuza au wanakutenga why?
Utagunduwa siri zao.
Mafuta ya upako wapi yanatoka kapimeni hayo mafuta kama hamjakuta mambo yakutisha Yesu litetee kanisa lako tuna angamia.
Watanzania wanapenda ramli wanapenda uganga na some of churches wanafanya uwaguzi na ramli chonganishi usipo kuwa makini utagombana na watu wa muhimu mpaka ushangae.
Yesu anasema tusamehe wao wanatengeneza chuki hasa wakijuwa wale watakufumbua macho wanasagiwa kunguni wakutenge nao wakumalize.
Wametapakaa majiji makubwa nyuma wana agenda sio ya Mungu wa kweli.