Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.
Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
James kujiunga Chauma ana baraka za Mbowe. ni dalili kuwa na Mbowe yuko njiani kwenda chauma..
Watoto wa watu wamekufa wakiamini kuwa wana Kiongozi wa upinzani kumbe sivyo! ULAANIWE MBOWE NA UZAO WAKO
https://youtu.be/IBiQWxmh8qQ
Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika.
Katika pitapita zangu za...
Wakuu kuna kitu kinanitafakarisha sana yaani kila nikikaa natafakari sana.
Yaani Mwanaume ni marufuku kumsikiliza mkeo hilo kosa adhabu yake ni ya milele na ilikua imeanzishwa na Muumba Mwenyewe lakini ukiangalia kwa undani utagundua Mwanaume Adamu alionewa tu hakua na kosa lolote.
Hivi ebu...
Chama cha CCM kabisaaa jueni hiloo hiki chama sina kadi ila nakipendaga tokea niwe mdogo japo baba yangu hakipendi na alikufa akisema hiki chama hakuna kitu . Sasa niliamua kukipenda pindi lowassa alipo shindwa kuwa raisi kupitia chadema nikaona niwe tu huko ila leo nimekwazwa why .
MNAMTESAJE...
Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania.
Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo...
Hivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini?
Inakosea sana kufanya mambo yake ya kisiasa kwa kufuata katiba yake na sheria za nchi, kwasababu ya viongozi wake waandamizi kukosa maono, hekima na busara za kiuongozi, jambo ambalo...
Hapumui vema, halali Usingizi ukaja, Kibubu kinapukutika kwa kasi sana, Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena.
Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni.
Kilemba chawasha kichwani...
Inasikitisha sana
Katika miaka ya 1990, kulikuwa na picha iliyosambaa sana ya tai aliyekuwa akisubiri msichana mdogo aliyekuwa na njaa kufa ili aweze kula maiti yake. Picha hiyo ilipigwa wakati wa njaa ya mwaka 1993/94 nchini Sudan, na mpiga picha kutoka Afrika Kusini aitwaye Kevin Carter...
Nitawapa mambo mawili muhimu
Afya: Pamopja na tatizo kubwa ya mfuko wa bima wa taifa sasa kuna watanzania zaidi ya 1.5M wenye virusi vya ukimwi ambao walikuwa wanategemea USAID. Raisi Trump wa USA kafuta hili shirika na kuzuia pesa. Sasa mpaka leo kama Raisi hajaongea lolote na hakuna mpango...
Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu.
Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake.
Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
Watu wanawaza kuwalamba miguu Viongozi na kuwa machawa wao ili waendelee kula. Hawawazi maslahi mapana na Tanzania na kesho njema ya Taifa letu.
Viongozi badala ya kuelekeza fedha zikawahudumie Wananchi ikiwemo kununua madawa, kuweka miondombinu bora ya elimu kwa watoto wetu inayohudumiwa na...
Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia.
Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi.
Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine.
Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi.
Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji...
https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ
Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23.
Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini.
Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza nlishtuka. Amevaa tshirt ya chama na kofia. Nikamuuliza xxxx ni wewe au naota. Akaniambia ni mimi xxxx...
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma...
Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli .
Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha .
Inasikitisha lakini ndiyo ulimwengu uliko akili mkichwa .
Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣
Anyway maisha yaendelee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.