inasikitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

    "When Samia Suluhu became Tanzania’s first female president in 2021, after the sudden death in office of her predecessor, there were hopes that her presidency would mark a break from authoritarian rule. She lifted a ban on opposition rallies, allowed the media to operate more freely, and called...
  2. amarina

    Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

    Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia. Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana. Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa...
  3. ELI COHEN

    Inasikitisha kwamba bado kuna waafrika wanaamini kuwa kuna supernatural forces tofauti kati yetu zinazoongoza maisha, ni aibu, MAISHA NI MAISHA!

    "Ooh ilikuwa iwe hivi" "Ilipaswa ie hivi" "Ni mipango ya Mungu wafe kwenye ajali familia nzima" "sikuzaliwa na nyota kali ndio maana sifiki malengo" 🚮🚮🚮🚮🚮
  4. BIG BROTHER ALEX

    Hii stori imetaka kuniliza inasikitisha sana

    Kijana John Jay-Z, HUKO Instagram amesimulia, jambo zito, linalo ishi kwenye maisha yake Hadi Leo, baada ya kumaliza elimu yake kipindi hicho. Alijiingiza kwenye kazi ya saidia fundi, anasimulia ILIKUA tarehe 3/10/2021 asubuhi saa kumi na moja. Mama yake mzazi walie kuwa wanaishi NAE,j alikuja...
  5. K

    Inasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah

    Nasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah
  6. McLaren

    PostGE2025 Sheikh: Maaskofu kuwaaminisha watu yale yalikuwa ni maandamano inasikitisha. Au Baraza La Maaskofu linahusika?

    Wakuu, Nimepata kihali baada ya kuona kauli hii kutoka kwa huyu Shekhe. "Kuona viongozi wa dini tunaowategemea katika taifa kuwaaminisha watu kwamba yale ni maandamno imenisikitisha. CHADEMA walisema wanaenda kukinukisha, wanaenda kufanya uasi wanaenda kuvuruga Uchaguzi. Maandamano yanatoka...
  7. K

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha. Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani! Kesho nani atakuwa salama
  8. Surya

    Msikilize Mchungaji Mwanamapinduzi akiongea Katika Space ya MariaT huko mjini X INASIKITISHA.

    Masikilize
  9. M

    Hii video inayosambaa ya mkenya aitwaye Stanley inasikitisha sana

    Habarini wakuu, Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2...
  10. Chizi Maarifa

    Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

    Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu. Mwangalie hapa anatabasamu.
  11. Subira the princess

    Hivi ni kweli hakuna wa kumshauri Samia? Hii inasikitisha

    Wasalaam. Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake? Hebu sikiliza kwa makini.
  12. Just Pray

    Inasikitisha sana, ni kaka gani huyo anayemfuatilia Rose Ndauka wakimuhisi kuwa ni CHADEMA?

    Rose Ndauka mwenyewe anasema "Sina Chama chochote lakini nipo huru kutoa maoni yangu,Wewe kaka acha kunifatilia wewe kula hela za watu lakini achana na mtu Mimi,mbona ni mtu mdogo tu Mbaya zaidi siku nikifa utataka kuja mbele kuwa mstari wa mbele....Niache " Mfuatilie kwa uzuri hapa
  13. kekule benzene

    INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  14. Z

    Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka. Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
  15. R

    Nawalilia waliopoteza maisha yao kipindi cha Mbowe wakipigania mageuzi kumbe haikuwa hivyo! Inasikitisha sana!

    James kujiunga Chauma ana baraka za Mbowe. ni dalili kuwa na Mbowe yuko njiani kwenda chauma.. Watoto wa watu wamekufa wakiamini kuwa wana Kiongozi wa upinzani kumbe sivyo! ULAANIWE MBOWE NA UZAO WAKO https://youtu.be/IBiQWxmh8qQ
  16. tpaul

    Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

    Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika. Katika pitapita zangu za...
  17. Bueno

    Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

    Wakuu kuna kitu kinanitafakarisha sana yaani kila nikikaa natafakari sana. Yaani Mwanaume ni marufuku kumsikiliza mkeo hilo kosa adhabu yake ni ya milele na ilikua imeanzishwa na Muumba Mwenyewe lakini ukiangalia kwa undani utagundua Mwanaume Adamu alionewa tu hakua na kosa lolote. Hivi ebu...
  18. SweetyCandy

    Kwa Lissu hii inasikitisha sana aisee

    Chama cha CCM kabisaaa jueni hiloo hiki chama sina kadi ila nakipendaga tokea niwe mdogo japo baba yangu hakipendi na alikufa akisema hiki chama hakuna kitu . Sasa niliamua kukipenda pindi lowassa alipo shindwa kuwa raisi kupitia chadema nikaona niwe tu huko ila leo nimekwazwa why . MNAMTESAJE...
  19. kagoshima

    Ukimya wa Zito Zuberi Kabwe kwa ukandamizaji wa haki unaoendelea inasikitisha na kufikirisha

    Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania. Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo...
  20. Tlaatlaah

    Mienendo ya siasa za CHADEMA inasikitisha na kuchekesha Jamii

    Hivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini? Inakosea sana kufanya mambo yake ya kisiasa kwa kufuata katiba yake na sheria za nchi, kwasababu ya viongozi wake waandamizi kukosa maono, hekima na busara za kiuongozi, jambo ambalo...
Back
Top Bottom