inahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ramani simple inahitajika

    Nataka upcoming architect anichoree ramani simple ya nyumba ya mkoani huko. Vyumba viwili kimoja master sebule, jiko choo cha master na public. Sina budget kubwa. Njoo dm na proposal yako tusaidiane.
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba inahitajika barabara ya Goba hadi Mbezi Magufuli

    Habari zenu Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba. Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi magufuli kuelekea Goba hadi Goba penyewe. Pesa iliyopo 250000 kwa mwezi. Malipo hata yakiwa ya miezi...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Insta Account Inahitajika

    Habari, Account ya instagram yenye followers kwanzia 10k inahitajika... Ahsante.
  4. JamiiForums Tanzania Lebo ya bidhaa inahitajika

    Ambaye anaweza kudesign lebel tuwasiliane, ningependa kufahamu gharama pia.. Tuwasiliane Hata PM
  5. JamiiForums Tanzania Jitihada Kubwa Bado Inahitajika Kuziba Pengo la Kijinsia katika Ajira

    Licha ya kuongezeka kwa mijadala inayohusu ukosefu wa usawa ambao wanawake wanakumbana nao katika maeneo ya kazi, bado kuna jitihada kubwa inayohitajika ili kuziba pengo la kijinsia katika ajira. Ikilinganishwa na wanaume, wanawake wana uwezekano mdogo wa kuajiriwa katika kazi zenye malipo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Iphone 8 plus inahitajika

    Habari wapendwa, nahitaji Iphone 8 plus.. kubwa iwe kuanzia gb128
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga (vyumba vinne self contained) inahitajika jijini Mwanza

    Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka. Sifa: 1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana) 2. Hali nzuri 3. Usalama/fence 4. Inafikika bila changamoto 5. Parking ya gari 2 na kuendelea Mawasiliano piga 0769746211 Isiwe na dalali
  8. JamiiForums Tanzania Inahitajika TV 25 inch Dar es Salaam

    Inahitajika tv 25 inch in good condition naifuata popote pale hapa Dar kama bei itakua nzuri zaid hata mbili nitachukua 0692402211 Karibuni
  9. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya kubeba container 20ft inahitajika Musoma

    GARI YA KUBEBA CONTAINER 20FT INAHITAJIKA MUSOMA Pana container linahitajika kusafirishwa ndani ya 50 km toka musoma mjini Kwa yeyote wa kupata gari hilo tuwasiliane hapa
  10. JamiiForums Tanzania Youtube Adsense inahitajika

    Habari wakuu, ninatafuta Youtube adsense,mwenye nayo tuwasiliane PM
  11. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kila Mmoja Bado Inahitajika ili Kufikia Lengo la Ustawi Usiobagua Jinsia Katika Kila Nyanja

    Mazungumzo yanayohusu ukosefu wa usawa wa kijinsia katika sehemu kubwa ya dunia ni ngumu kuepukika. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuwa wakipambana zaidi kuliko hapo awali ili haki yao ya kuonekana na kutendewa kwa usawa izingatiwe na kutekelezwa. Ukosefu wa usawa wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester xt bomba mbili inahitajika, bajeti 22m

    Wakuu habari Subaru Forester xt bomba mbili inahitajika, ambayo haijasajiliwa, ya showroom nyeusi isiyo na turbo Bajeti 22m
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kufutiwa mashtaka yote na Serikali, Katiba Mpya inahitajika

    Habari wanabodi, Nimekuwa nikifatilia siasa za ndani na nje ya Tanzania yetu hii.kiukweli juzi kitedo cha Mama kufuta mashtaka yote ya TAL ni ishara kwmba tuna katiba mbaya kuwahi kutokea ,amemruhusu aje Tz kama kaweza kufuta mashtaka thats means anaweza mpa yoyote yule mashtaka. Tubadili...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga

    Salaam wana Jamii Forums Nina uhitaji sana wa nyumba ya kupanga Eneo la Uzunguni, Kisiwani, Vjibweni Vyumba viwili na sitting room kimoja au vyote viwe Master iwe ndani ya uzio Kuwepo na Maji na umeme Umbali kutka barabarani usizidi 1 kilometer Bajeti yangu ni laki 2 kwa mwezi fungu...
  15. JamiiForums Tanzania Laptop Used Inahitajika Haraka

    Nahitaji kompyuta mpakato yenye sifa zifuatazo: Brands: Dell au Hp Processor: Core i3 2.2Ghz au zaidi Ram: 4gb au zaidi Hard drive disc: angalau 500gb Screen size: 15" au zaidi Ukiwa kanda ya ziwa kwa maana ya Mwanza, Shinyanga, Geita itakuwa poa zaidi
  16. C

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Pickup ya Left Hand Drive

    Wanabodi Mwenye kumjua yeyote anayeuza pickup ya Left Hand Drive tafadhali tuwasiliane.
  17. JamiiForums Tanzania Samsung S9 inahitajika haraka sana

    Offer yangu ni 280,000/= Chapu kwa haraka njoo tufanye biashara
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nyama ya kondoo inahitajika

    Habari Wakuu. Kwa mwenye uwezo wa ku-supply nyama ya kondoo DUME kiIlo 5000 kwa wiki tafadhali tuwasiliane. Simu 0656388678, Whatsapp 0676434611
  19. JamiiForums Tanzania Car4Sale Harrier kwa 5000 USD Gari ipo bandarini sasa hivi

    kama kichwa cha uzi kinavyosema, Gari ipo bandarini mwenye nayo kashindwa lipia. wajapan wanataka 5000USD wakupe Harrier yako details zake kwa haraka ni ina mileage ya 241,499 km engine capacity 2360cc na ni ya mwaka 2004 kwa picha karibu inbox au whatsapp us kwa namba hii 0737 881 888 NOTE...
  20. JamiiForums Tanzania Inahitajika Toyota Noah new model

    Nahitaji Toyota Noah New Model ambayo haijawahi pata ajali, isiwe inadaiwa, isiwe imesha funguliwa gearbox. Namba iwe C a D Bajeti yangu mil6-6.9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…