inahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

    Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu. Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato. Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
  2. Store inahitajika sm 18 to 25

    Wakuu habari. Store ndogo sqm 18 hadi sqm 25 inahitajika iwepo maeneo ya kariakoo, Magomeni au Keko kwa mwenye kuweza kufahamu au kuniconnect tafadhali nicheck inbox.
  3. K

    Tractor ford 6000 four wheel drive inahitajika

    Marry Christmas to you all!!! Ni ndugu yangu anahitaji ford tractor kuanzia namba 6000 na kuendelea iwe na four wheel drive. mahali alipo ni mafinga,iringa lakini popote litakapopatikana atakuja. Mawasiliano:0786595669/0759096558
  4. Mbegu ya dragon na kiwi inahitajika

    Anyaehitaji yupo Mwanza. Anahitaji kidogo ya kwenda kujaribisha kwenye shamba lake. Kama unafahamu inakopatikana naomba taarifa tafadhali. Muhusika si member humu, kwa hiyo ni muhimu kuweka bei na mawasiliano, hasa y simu. Natarajia kumpa mrejesho Usiku wa Jumatatu, 13/11/2023. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
  5. R

    Asali inahitajika

    Habari wapendwa, inahitajika asali kwa wingi. Mwenye connection aliye serious tuwasiliane PM.
  6. R

    Nahitaji asali kwa wingi, anayeuza tuwasiliane

    Habari za leo, Inahitajika asali; mwenye kufahamu wapi inapatikana kwa wingi hapa Tanzania, na bei tuwasiliane PM.
  7. K

    17 MLN Subaru Forester XT Namba E inahitajika

    Habari, Tafadhali husika na kichwa cha habari. Kwa mawasialiano zaidi njoo WhatsApp 0742666736
  8. Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

    Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi. Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba...
  9. Typing tutor inahitajika

    Tafadhali, kwa mwenye typing tutor iliyo bora kama Mavic Becon au nyingine yeyote naomba tuwasiliane. inahitajika haraka sana. thanks.
  10. Usharuri inahitajika: Kati ya MD na Dental surgery kozi ipi asome

    Hello Wana JF, Mshikaji wangu anapitia wakati mgumu akiwaza kozi ipi asome. Amehitimu kidato cha sita mwaka huu PCB na ana division one ya pointi 6 yaani BBB. Ipo wazi Muhimbili MD hapati lakini huko ameomba Dental Surgery. Zaidi ameomba Medical Doctor (MD) UDSM. Na vipi pote akubaliwe kozi...
  11. Pikipiki ya Boxer au TvS inahitajika

    Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri Location: Mwanza NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
  12. W

    Gari kama hii au kama hii inahitajika

    Gari inayofanana na hiyo picture au Kama hiyo inahitajika. Phone 0717371028. Karibuni Sana.
  13. Gari aina ya Nissan Dualis inahitajika number E

    Mwenye gari dualis number E anichek PM. Pesa ipo mfuko wa shati NB: Madalali wenye tamaa hapana
  14. Mashine ya juice ya miwa inahitajika

    Wassalaam! Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yΓ  miwa inahitajika Location: Dar es salaam Condition: used Offer: 500k Karibuni tufanye kazi
  15. Inahitajika Toyota corolla

    Wakuu nimeambatanisha na picha hapa chini, mwenye nayo naomba tuwasiliane. Njoo na offer yako
  16. Camera ya mbele samsung A7-2017 inahitajika

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwenye camera ya mbele samsung A7-2017 pesa mfuko wa shati
  17. Apple Mac mini m1 inahitajika haraka

    Hello bosses and roses.... Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe. Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED Ahsante
  18. Gari inahitajika Land Cruiser Gx 105 mwaka 2002 mpaka 2007

    Iwe ya diesel. Manual gear. Engine 1hz. Rangi nyeupe. Iwe katika hali nzuri both Engine na transmission bila kusahau body. Budget Mil 20
  19. J

    Laptop aina ya dell inahitajika yenye sifa zifuatazo

    Iwe Core i7 8 Generation Ram 8 Hdd 500 Display 15.6 Graphics 2Gb au zaidi battery 4hrs above, Warranty 6month above 0764125128
  20. Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

    Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…