Wakuu! Hii ni asili, Wanaume wengi tunakosa ujanja pale tunapokutana na Wanawake wenye nidhamu na utii, hata kama wameolewa.
Ni noma sana!
Nimekutana na wakati mgumu kidogo, nimewaza sana!
Nilipewa jukumu moja la kuwa team leader. (Sio mara yangu ya kwanza kuwa kiongozi) but this time...
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu, inahitajika gari aina tajwa apo juu kwa mmiliki halali wa gari iyo na anataka kuiuza basi anitumie picha na price yake inbox mim sio mfanya biashara ila nahitaji kununua second hand so kwa namna flani kwa njia hii naamini ntapata gari nzuri bila kupitia...
Habarini na poleni na majukumu wanajamvi.
Inahitajika HP LaserJet printer P1102 iwe used one hand (imported) au new kwa matumizi ya kiofisi.
Iliopo imechoka na imefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo.
Kwa atakayekuwa nayo katika duka lake ani-PM tufanye biashara kwa mkoa wa Mbeya...
Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
Kukata chain ya umasikini kwenye familia za kiafrica inahitajika nguvu ya Ziada.
#first born hakikisheni mnajitahidi kukata chain ya umasikini kwa namna yoyote ile.
Location: Kuanzia Mbezi Mwisho, Kibamba hadi Kiluvya
Budget: Isizidi Tsh Milioni 50
Mahitaji ya nyumba:
• Vyumba 3 (kimoja kiwe Master Bedroom)
• Sitting Room & Dining Room
• Jiko kizuri
• Public Toilet
• Nyumba iwe imekamilika full tayari kwa kuhamia
• Iwe na Tiles, Gypsum na Madirisha ya...
Kwani hii kada imelaaniwa?
Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A.
Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
Habarini za wakati huu ndugu,jamaa na marafiki[ japo sina rafiki humu ndani,kama upo Mbeya unaweza nicheki tuka bang].
Moja kwa moja kama maada inavyosoma hapo juu,kuna pacha yangu ambaye hayupo humu ameamua kuanzisha biashara ambayo anaona yeye itamfaa pande za kaskazini Arusha. Sisi nyumbani...
Kijana wangu anahitaji pikipiki used (iliyoko kwenye hali nzuri) cc150 ili iweze kupanda milima ya Rombo ikiwa imepakia mzigo (Isiwe Boxer)
IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash japo anakaribisha maongezi kulingana na ubora wa Chombo
Habari wadau.
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni.
Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea.
Nyumba iwe na Chumba master, sebule na...
Habari wana JF, naamini mpo salama na mna Afya njema. Nakuja kwenu tena nikihitaji hiyo spare part (enjoctor pump) ya mashine yangu Air compressor Jenbacher JW223.
Matatizo: inachelewa sana kuwaka, ni mpka ubust na moto mkubwa. Yaani uwe na battery 3 au 4 za kuanzia N70. Wakati stater yake ni...
Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa?
Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!"
Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani.
Pengine idea...
Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda.
Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha.
Tena wanasema na kuongea hadharani.............
habari zenu wakuu
nahitaji gari aina ya ist bajeti yangu 6.5
nikipata direct kutoka kwa muuzaji itapendeza zaidi maana najua mambo ya ma dalali 0745906009
Ndugu wana wanajukwaa habari yenu.
mimi mjasliliamali nahitaji CAUSTIC SODA kwa bei ya jumla, ya utengenezaji wa sabuni.
Wauzaji wa jumla anichek 0758327174 chap ziite.