IBARA YA 149 (1) c YA KATIBA YA TANZANIA;
Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na katiba hii.
" ... Ataweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiliwa sahihi kwa mkono wake, kwa kufuata masharti yafuatayo:-
C) Iwapo mtu huyo Ni SPIKA au NAIBU SPIKA wa Bunge, basi...
Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?
Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA
Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini, ina kila aina ya...