ilala

Ilala is an ancient town in Irepodun LGA, Kwara State. It is situated in the northeastern region of Kwara State and ruled by a monarch usually referred to as Aala of Ilala. The present Aala of Ilala is Oba Abd'Wahab Osuolale Adeyemi, Oyebamire II.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu Watumishi wa Manispaa ya Ilala cha kuninyanyasa, kutumia nguvu na kumchukua mfanyakazi wangu

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU KITENDO CHA WATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA CHA KUNINYANYASA, KUTUMIA NGUVU NA KUMCHUKUA MFANYAKAZI WANGU Mimi mmiliki/mwajibikaji wa ofisi iliyopo Ilala, nawasilisha malalamiko rasmi kuhusu tukio lililotokea katika ofisi yangu, ambapo kundi la watu takribani kumi waliodai...
  2. JamiiForums Tanzania Jihan Malik miss Ilala 2014

    Watanzania tunapelekaga wazee timu za taifa stars alafu tunalalamika kupoteza huko mbele Sijaelewa hiyo kampeni ya jihan na mis grand hivi kweli kwa miaka zaidi ya 10 hakuna warembo hapo katikati?? au vigezo vya hiyo miss grand ni nini Zile ni picha tu zilizopigwa kwa camera bora na very...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO City Institute (Ilala Dar) wafanyakazi na walimu hatujalipwa stahiki zetu. Ukilalamika unafukuzwa kazi

    City institute ilala dsm wafanyakazi na walimu hatujalipwa stahiki zetu ukilalamika unafukuzwa kazi
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo, Wilaya ya Ilala kinachukua muda kushughulikia leseni

    Kero yangu ni Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo (SME), Wilaya ya Ilala. Kimekuwa kikichukua muda mrefu sana kushughulikia maombi ya leseni. Unaweza kukuta umeomba leseni kupitia mfumo wa TAUSI, halafu inapita hata miezi minne bila kupata leseni. Ukienda kufuatilia, watumishi wao...
  5. JamiiForums Tanzania Nawauliza tena watu wa Dar es salaam hivi kweli Sheta ni meya wa Jiji la Ilala aka Dar es salaam?

    Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wamachinga wanaopanga bidhaa zao ndani ya barabara ya kwenda Kariakoo eneo la Ilala Boma, kwanini hawaondolewi? Tunasubiri hadi maafa yatokee?

    Mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Chalamila, kuna kituo cha mwendokasi na ukivuka barabara kuna barabara inayoelekea Keko, Temeke na n.k. Barabara hiyo pia kuna mkunjo kwenye mataa unaoelekea Kariakoo. Hapo sasa kuna wamachinga wanapanga na kuuza viatu kwenye eneo la...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa Ghasia Za Uchaguzi Mkuu Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo, kuanzia Jumatatu August 31 hadi Septemba 4, 2026 katika viwanja vya Karimjee Posta. Soma pia: Tume...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Garage bubu zimekuwa kero Ilala, mamlaka zinatakiwa kushughulikia hili

    Nimezaliwa mwaka 1997, na Ilala ilikuwa sehemu nzuri sana kwa watoto kuishi na kukua kwa sababu ilikuwa karibu na maeneo mengi ya kucheza, huku miundombinu ikiwa tayari imefika maeneo hayo. Hata hivyo, baada ya zile kota za pale Karume kuvunjwa na kujengwa Uwanja wa Karume wa mpira, pamoja na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwalimu wa Sanaa, nafanya kazi Miaka 4 sasa Ilala bila Malipo

    Habari za muda huu wana JamiiForums! Kwanza kabisa naomba kuwasilisha kero iliyopo kwenye halmashauri yetu ya jiji la ilala. Mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa masomo ya sanaa Mwaka 2016 kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Baada ya kuhitimu chuo niliendelea na harakati zingine za...
  10. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Nimefanikiwa kupata huduma lakini NSSF Ilala Boma Watoa huduma waboreshe Customer Care

    Nilijisajili na NSSF Mwaka 2017 wakati naanza chuo, wasajili walikosea tarehe yangu ya kuzaliwa, nimekuja kugundua na kuanza utaratibu wa kuomba kubadilishiwa ni baada ya kupata ajira Mwaka huu 2026 Februari. Nilivyoanza mchakato katika Ofisi za NSSF jengo la Benjamin Mkapa lilipo Posta ILALA...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ilala Sokoni: Manispaa wanachukua Vizimba vya Wamachinga kisha wanawakodisha haohao Machinga

    Pale Ilala Sokoni kuna utaratibu umeanzishwa na viongozi wa soko na kutoka juu, wanataka Wamachinga au Wafanyabiashara wadogo wadogo ambao wanamiliki vizimba au meza na baadhi ya maeneo, Eti wasiendelee kumiliki meza au vizimba badala yake manispaa ndo wamiliki meza za wamachinga. Wakisha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuki wanazotengeneza Mgambo wa Ilala ipo siku watayaona matunda yake

    Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta). Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja Mgambo wa Jiji wakaniambia ni wrong parking tukabishana pale, wakawa wanataka twende Lumumba au...
  13. JamiiForums Tanzania Wavulana wa Dar Es Salaam wanasikitisha sana. Hasa ambao wamekulia Kinondoni, Ilala na Magomeni

    Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili Sisi wanaume wa mikoani tunawadhatau sana watu wa Daa ambao wanajiita wanaume mfano huyu Tid nasikia bado anafugwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hivi Mgambo wa jiji hapa Dar ususani Ilala wana nguvu kuliko Waziri Mkuu?

    Wananchi tunahitaji ufafanuzi kuhusu nguvu na utendaji wa Mgambo wa Jiji, hususan katika eneo la Kariakoo, wakidai kuwa kumekuwa na ukamataji wa mali za wananchi unaosababisha kero kubwa. Baadhi ya waendesha pikipiki wanakamatwa bila kupewa nafasi ya kujieleza au kusikilizwa, huku pikipiki...
  15. JamiiForums Tanzania Nimepunguza bei kiwanja kutoka mil 60 hadi mil 45 heka 1 kipo kivule wilaya ya ilala Dsm

    Nimepunguza bei kiwanja kutoka mil 60 hadi mil 45 heka 1 kipo kivule heka 1 kina fensi pande 3 kimepakana na barabaran kubwa za mtaa pande 3 piga 0718 408 733 hati ya serikali za mtaa mauziano kwa mwanasheria na ngazi zozote utazotaka za kiserikari nyaraka zipo kiwanja sio cha urithi
  16. JamiiForums Tanzania Nanunua Laptop mbovu, bei maelewano

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA NIPO ILALA - DSM 0767953873
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Ilala DSM center kabisa mil 60

    Nauza kiwanja kivule center kabisa Heka 1 Mil 60. Maongezi kidogo yapo Mark ukifika Kivule Muungano pub eneo linaitwa mnarani ndio kiwanja kilipo ni eneo lililojengwa nyumba za kifahari ukipaona utapapenda. Pako tambarare, eneo limekamata barabara kuu. 0743 257 669
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Shule za Msingi Gmhasa Tumaini iliyopo Ilala wanalazimisha Watoto waende wikiendi wakiwa na hela za mitihani

    Wazazi na wanafunzi tunalalamikia tabia ya baadhi ya walimu wa Shule za Msingi Gmhasa iliyopo Ilala, Dar es Salaam kuwashinikiza watoto kuhudhuria shule siku za mwisho wa wiki (Jumamosi), pamoja na kuchangishwa fedha za mitihani. Inadaiwa kuwa baadhi ya mitihani hulipiwa, jambo ambalo linaibua...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Afisa Rasilimali Watu (HR) wa Ilala ana Huduma Mbovu kwa watumishi

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam(Ilala) kuna afisa Utumishi (Afisa Rasilimali Watu), afisa huyu ana huduma mbovu sana na manyanyaso kwa watumishi waotaka huduma za kiutumishi toka kwake. Imefikia hatua mtumishi kwenda kupata huduma kwa huyu dada kuwa kama adhabu kwani na hata hiyo huduma...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Jiji Dar ina mpango gani na Soko la Ilala Boma? Lina mazingira hatarishi kiafya

    Nimekuwa nikitembelea Soko la Ilala Boma kununua bidhaa za ndani kwa ajili biashara ya genge, sasa ni takribani miaka minne imepita. Kusema ukweli, soko hilo lipo katika hali mbaya licha ya kuchangia kwa kiwango kikubwa kwenye mapato ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Katika kipindi hiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…