ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. Nahitaji Msaada please, nimebahatika kupata huyu Jidada ila kitendea kazi

    Kuna dawa gani zitaongeza urefu na unene wa mashine? Jana nmebahatika kupata jidada lenye kinu kipana sana na mchi wangu umekuwa mwembamba na mfupi. Je kuna dawa za kuongeza size ambazi hazina madhara? Maana nmelijaribu aaaaargh wapi hatusikizani kabisa. Mimi sisikiii na lenyewe halisikiii...
  2. Yanga wametoka bwanaaa! Inauma ila itabidi mzoee

    Vyura wamerudi matopeni. Red black Vincenzo Jr Mbaga Jr, what's up!
  3. M

    Kwa hizi hesabu za bolt bodaboda nawahurumia, pesa wanaingiza hadi laki kwa siku ila kinachobaki kidogo

    Mfano Hesabu 100,000 TOA Kamishen ya bolt 24% - 24,000 Mafuta - 20,000 Chakula - 10,000 Ofa za bolt kwa wateja - 10.000 kifurushi - 2,000
  4. Wachambuzi: Rais Samia kuitwa Daktari wa Tanzania tunajifurahisha tu, ila hana sifa za kuwa DAKTARI Kitaaluma

    "You deserve to be in the market but don't call yourself I am a certified professional. No, huna cheti, usiseme unacheti. Kama mimi ‘trainers’ wangu wamesafiri hadi Uturuki nagharamika ili niwasomeshe. Kwanini? Kwasababu mimi I am responsible for afya ya watu, tayari nimeshaingia kwenye kile...
  5. Starehe gani ujawai kufanya ila unatamani kuifanya lakini unaigopa?

    Tuambiane starehe gani ujawai kuifanyaga ila unatamanigi kuifanya ila unaogopa.
  6. O

    Siri inayofichwa kwenye "Yoni Detox" na miungu ya Kike

    CC: Mshana Jr TUFUNDISHE ZAIDI Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia. 1. Mtego wa Kiroho...
  7. E

    Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  8. M

    Matokeo ya form 4 yanaonesha wazi mikoa ya kaskazini iko juu sana kielimu, tofauti yao hawapendi kujisifu na kujigamba kama mikoa mingine inayofuata

    Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3. 1. Division 1 hadi 3 Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele. 2. Division 1 hadi 4...
  9. Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  10. Ila ngumi za Tanzania zina uhuni sana

    Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala. Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la leo ni aibu
  11. Ila hii bongo🤔, kila uchao unakutana na influencer anasema watu hawajui kuajiriwa ni utumwa, sasa unajiuliza kuna mahala pa kuokota pesa ukawekeze?

    Tusipende kuchukulia poa maisha tena maisha haya yakibongo kisa tu mshangazi wako au sponsor wako umekula hela zake wee sasa umejipatia platform na mic ya kuzungumza ndio uanze kuropoka ropoka. Tusipende kuona kwamba kujiajiri ni kitu ambacho sio process, sio gharama na sio kigumu.
  12. Nina hakika Rais Samia ana nia njema nasi ila hili la 29.10.2025 limechafua mno mnonga!

    Nina uhakika Samia hakuingia Ikulu kutuibia, lengo lake alete Maendeleo kwetu ila ili la 29.10.2025 limechafua sana anga hata afanye nini sisi tumechagukwa mno mnonga
  13. Ila Arsenal dah!

    Naona kabisa hawataki kuchukua kombe.
  14. Ukiangalia stori za dini zote hapa dunia zilifikishwa kwa watu kwa hiari ila kuna hio moja ilibidi watu wafanyiwe fujo ndio wengine wapokee kwa lazima

    Tena kwa mauaji na unyang'anyi. Nisengependa kuwataja ila mnawajua na watakuja kwenye comment kutisha watu maana wanajijua🤐
  15. Ukiachana na madhaifu yake yote ila Ndugu Jakaya Kikwete alikuwa rais wa tofauti sana na je logic ya kuondoa bendera ya Chadema kwa Mtei ni ipi?

    Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama mwanzo, mwisho. Hata Kikwete akiwa Rais alitoa heshima za mwisho jeneza likiwa limefunikwa bendera ya...
  16. M

    Fundi Garage STD 7 anaingiza 50-200K daily. Wahitimu wengi bila ajira hawamudu bando. Elimu ni muhimu, ila ujuzi ni muhimu zaidi

    Lengo si kuwahamasisha watoto waishie darasa la saba, la hasha kabisa. Lengo ni kuwaonesha wazazi uhalisia wa mambo; kwamba ajira wanazozitamani kwa watoto wao ni chache sana na si kila mtu atapata nafasi hizo. Hivyo ni muhimu kumuandaa mtoto katika mazingira yatakayompa ujuzi mbalimbali ili...
  17. Hitler aliwekeza katika kutafuta nguvu za miujiza na uchawi kwa kuwatuma watu wake duniani kote wakazisake ila hawakuambalia chochote.

    Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
  18. Kuna wakati nilijiuliza kwanini nchi zetu za afrika kuna vichaa wengi wanaolanda landa mjini, wengi watasema ni uchawi, ila naamini jibu ni hili hapa

    Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii. Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
  19. Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

    Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…