ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Samia kutoswa na Kundi ambalo halikuhusika na Mauaji Wala Utekaji, ila Lina Mali na Fedha zake US na Ulaya .. Tayari Hawaruhusiwi Kuhamisha Fedha zao.

    Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli. Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA. Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
  2. JamiiForums Tanzania Japo kisheria hairuhusiwi ila naomba niulize, Kwanini sasa hivi hakuna video za ngono za kawaida za wabongo?

    Nilipita twitter nikakuta mtu ame tweet kwa ku list account zinazotuma mauthui ya ngono, nikasema ngoja niangalie kidogo. Sasa cha ajabu, account zaidi ya nne, video ni nyingi sana na ni za watanzania ila zote, wanacheza mapenzi kinyume na maumbile, yani zote. na sio kua ni madangulo, wengine...
  3. JamiiForums Tanzania Trump: Tuliwapa silaha Wakurdi wazigawe Kwa waandamanaji wa Irani ila hawakuzigawa

    Kwa Mujibu wa Taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya Al Jazeera Aprili 6, 2026, Rais Donald Trump alisema kuwa Marekani ilijaribu kuwapelekea silaha kwa siri waandamanaji wa Iran kupitia wasuluhishi wa Kikurdi, zikiwa zimesalia wiki chache kabla ya vita vya sasa kuanza, hata wakati huo ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Ila wanawake hela mlitengenezewa nyie

    Yaan tuna rasilimali za kila aina ccm wanajenga vibarabara kwa mikopo na misaada wanataka tupongeze hivi kwa rasilimali tulizonazo hii nchi inasababu ya kujenga vibarabara uchwara kwa mikopo, tz ni ya kupewa msaada wa madawati, vyoo kweli....😪 ccm walishagawana kila kitu wakishirikiana na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Kikwete ana changamoto zake ila ndiyo Rais bora kuwahi kutokea nchi hii

    NI JAKAYA KIKWETE; Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji. Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  8. JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  9. JamiiForums Tanzania Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

    Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu. Kama mwanachama na mdau wa mabadiliko ya dhati, naomba niwaambie hawa wanaorejea maneno...
  10. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

    Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death! Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu! Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani...
  11. JamiiForums Tanzania Sijui unachowaza na unavonifikiria.. Ila nishafanya maamuzi

    Nilichojua ni kwamba, hapo kabla ya wiki hii kuanza, ulikuwa hunipendi. Ila sasa ndani ya wiki hii umeamua kuniweka katika orodha ya vitu na watu ambao huwapendi milele(umenichukia). Sawa nimekubali. Nilikupenda sana.. Ila kwa sasa japo sikuchukii, lakini sikupendi. Yaani hata nikija kuwa na ID...
  12. JamiiForums Tanzania Mi Kataa Ndoa. Ila kama ikikulazimu Kuoa, Hakikisha shemeji Anajua Kupika. Vingine vinavumilika, ila sio msosi m’baya!

    Kichwa kimejieleza totally. Vingine vinasameheka, vinavumilika, vinasahaulika. Kasoro chakula.
  13. JamiiForums Tanzania Arusha imekuja kuwaje? Mkoa Mzuri Ila Jamii Inaangamia

    binafsi kadri ninavyozidi kuiona Arusha ya sasa ndiyo nazidi kuvunjika moyo. Mkoa una sifa kubwa, utalii, hali ya hewa nzuri, opportunities kibao… ila ustaarabu wa watu na mfumo wa maisha ndiyo vinaharibu kila kitu. Vijana wengi wa Arusha wanaishi maisha ya kujitoa ufahamu sana. Wengine...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mpigi Kata ya Maili moja tuna mabomba ila hatuna maji

    Mimi ni Mkazi wa Mpigi Muheza Kata ya Maili moja! Tunachangamoto ya maji, tuna mabomba huu Mwaka wa 3 lakini kama unavyoona kwenye hiyo picha ndani ya miaka mitatu yote nimetumia Unit 28. Tuna muda mrefu hatupati maji tangu mwaka umeanza nimetumia kama unit 3 ambazo nimeshazilipa kwa huu mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Hatari ya matumizi majina bandia,jf Rafiki yangu kafariki na alikuwa member hapa ILA sijui alikuwa anatumia jina Gani? JE sifi Leo nikifa mtajuaje?

    Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu. Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
  16. JamiiForums Tanzania Tunawaandama wakina ifropreneur, kiranga na eli cohen ila ni watu ambao wapo huru nafsini mwao tofauti na sisi tuliofungamana na dini za mchongo

    Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga. Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna mahali kwwnye quran na bible imeandikwa kuwa ukioa msichana mdogo hata wa miaka 10 ni kosa. Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Nakumbuka millenials kaburi letu lilikuwa madawa ya kulevya. Hawa Gen-Z kaburi lao ni mapenzi kinyume na maumbile

    Fasheni imegeukia makalioni kwa mabint, show off mitandaoni lazima ajibinue, mtaani lazima ayabane na kanga, zamani walikuwa wanaliazimishwa ila siku hizi anakuambia mwenyewe na usipomuomba anakuona mshamba. Video za wao kuliwa nje nje kila kona zimetapakaa, yaani ni trend. Vivulaana vimekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

    85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir Dini ni illusion. Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani...
  19. JamiiForums Tanzania WATANZANIA kwa hizi Tume mbili haifai tuamini hakutoa amry yamauaji ILA aliujumiwa na hasio wajua?

    Mpaka Leo Samia suluhu hajui aliyetoa amri ya mauaji ni nani, JE watanzania hatuamini yakuwa mama yetu kipenzi hakuusika katika ushenzini huu? Nakutabilia ushindi mama Samia jipange icc court
  20. JamiiForums Tanzania Japo kifo kipo ila kuna watu wakifariki labda muunde kamati ya kuwalilia ila sio watanzania na nzengo zao.

    Nimewaza tu jinsi matendo yao na maovu yao wanavojiona kuwa wapo duniani mpaka mwisho wa dunia. Nawaza jinsi nguvu kubwa itakayotumika watu waonekane na majonzi wakati ukatili waliofanya wakiwa madarakani na vyeo vyao. Tumeshuudia kwa aliyekuwa spika wa bunge. Hivi mfano Stephen Wasira.Hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…