leo katika hotuba ya Ijumaa pande za Al masjid Manyema tarehe 27.09.2024 sawa na Rabil 24 1446 hijri Sheikh Jongo ametoa nasaha mubashara kabisa.
akigusia na kuwausia waumin wa Dini ya Kislamu kushikamana na Tunu ya Taifa nayo ni AMANI AMANI AMANI.
Sheikh Jongo amesema watanzania tuitunze...