Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwenye kuelekea kwenye haki, Muislamu.” Suratul Aal-Imran, 3:67
Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimekutimizieni neema Yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu. Suratul Al-Maa'idah, 5:3
Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi...