igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    Bila Suzan S. Kaganda kuwa IGP, tugomee maridhiano Samia Suluhu na Watanganyika. Wambura ni Pandikizi

    Jana nimekutana na balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Suzan S. Kaganda hazina ya Taifa. Baada ya kumsikiliza vizuri, nimeamini kumbe Nchi yetu bado ina Wazalendo. Tatizo Wazalendo CCM hawataki wakae karibu na Wananchi. Mfano Balozi Polepole alipelekwa Cuba, Balozi Suzan kapelekwa and Zimbabwe...
  2. Waufukweni

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amburuza DPP na IGP Mahakamani kupinga kushikiliwa Mahabusu kwa Siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
  3. R

    IGP Camillus Wambura: Udhibiti na usiamaizi wa silaha ni jukumu la kila mtanzania, sote tunawajibika kuilinda nchi yetu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka Watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa silaha, ili kulinda nchi yetu ikiwa ni utekelezaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. IGP Wambura ameyasema hayo Februari 3, 2026 jijini Dar es Salaam...
  4. R

    It is a pity BIG SHOTS in the government mnaona Tanganyika inateketea mnafurahi na your inner circles kwa vile mnàpata kilicho chema mifukoni?

    Ujumbe wangu ni huo! Unaeleweka na wala hauhitaji maelezo SAVE TANZANIA/TANGANYIKA
  5. Huihui2

    CDF, IGP na DG TISS wanastahili nishani ya Mlima Kilimanjaro

    Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10. Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
  6. Q

    PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  7. Mhaini

    Kuhusu Maridhiano: Kwanza Balozi (CP) Suzan Kaganda awe IGP ndo tukae mezani

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini. Hatuwezi fanya reconciliation...
  8. kyagata

    Hivi IGP wambura na Generali Mkunda wana elimu gani?

    Naomba wenye cv za hao watu wawili waziweke hapa tuzichambue.
  9. C

    PostGE2025 Jeshi la Polisi lilipofikia Polisi akimtaka mke wako na ukimuuliza anakumiminia risasi na IGP anasimama na kusema polisi wangu alikuwa anajihami

    Kuna visa ukivisikia unadhani ni story lakini jeshi hili la Polisi Tanzania ni jeshi la ovyo na hasa kwa unyanyasaji na ubabe usio na kichwa wala miguu. Asakari polisi anaweza kukufanyia lolote atakalo na kama huna pesa na huna watu basi haki ndio inapotea. Nadhani nchi nyingi za Afrika zina...
  10. L

    Mataifa ya Nje na Jumuiya za Kimataifa ili zituelewe ni lazima IGP apelekwe ICC kushitakiwa

    Ili Jumuiya za Kimataifa na Mataifa ya Nje ziweze kutuelewa ni vyema IGP aweze kupelekwa The Hague - ICC kufunguliwa mashitaka ya mauaji yaliyofanyika. Hii itasaidia Sana IGP wajao wasiweze kutoa AMRI kama hizi katili za kuua watanganyika na kutoa AMRI za Curfew za kibabe. Chao
  11. Heparin

    PostGE2025 TLS yawashtaki IGP, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kufuatia amri ya kutotoka nje Oktoba 29, 2025

    Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo baadaye ilifutwa na Rais tarehe 3 Novemba 2025. TLS wanaiomba Mahakama itamke kwamba amri hiyo...
  12. Sifi Leo

    Rais, tume yako haiwezi tufikia sisi walengwa,nani mwenye UWEZO wa kumsogelea IGP mstaafu, sjui brugedia na yule wa usalama hata hao majaji?

    MH RAIS NATUMAH u salama salimini na UNAENDELEA SALAMA salimini heko kwako. Mh Rais Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao kuwa mkweli siku ya uchaguzi sikutoka kuandamana Wala KUPIGA kura, lakini ningeulizwa nilikuwa nachagua njia ipi hakika ningechagua ya kuamdamana kuliko KUPIGA...
  13. Carlos The Jackal

    IGP Wambura usijitoe Ufaham, Yaan RASIMALI zibagazwe, Vyama Siasa (CHADEMA) Muwaumize Kila siku, alafu ulopoke "Watanzania msikubali kugawanyika"

    Huyu huenda ndio akawa IGP mpuuzi kushinda Upuuzi wenyewe, na Haya yote ni matokéo ya kua na Elimu za Hapa na Pale, Elimu za Kuhonga honga wahadhiri mpaka unapata Degree. Huyu Jamaa Leo ananukuliwa anawaambia Wananchi, eti msikubali Kugawanyika Kwa Sababu za Kisiasa , Wala za Rasimali... LISSU...
  14. Lord Denning

    Tucheke pamoja (UTANI): Utetezi wa Samia, DGIS, CDF na IGP mbele ya Majaji Mahakama ya ICC

    Samia- Waheshimiwa Majaji, mimi sikutoa maelekezo yeyote kipindi cha Uchaguzi. Nchi ilikuwa chini ya mwanangu Abdul na Msaidizi wangu Kheri. Hawa ndo walikuwa wanawasiliana na DGIS, IGP na CDF DGIS- Waheshimiwa Majaji. Mimi sijui lolote. Hata kwenye Taasisi yangu hakukuwa na chain of comand...
  15. Lord Denning

    PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

    Heko CNN Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa. Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu. Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Yafuatayo; 1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu...
  16. Sifi Leo

    Kama kauli hizi ni za kweli, usalama wa taifa,uhamiaji na Jeshi wakurugenzi watumbuliwe aachwe IGP, walitaka kumwalibia KAZI

    KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe. Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani? Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa...
  17. S

    Licha ya Tume kutoaminika, unawezaje kufanya uchunguzii wakati CDF, IGP na DGIS wakiwa bado wako ofisini?

    Ukiacha madai kuwa Rais mwenyewe anayeunda Tume ni mtuhumiwa, unawezaje kuunda Tume ya uchunguzi wakati wakuu wa vyombo vya ulinzi na uslama kwa maana ya Mkuu wa Majeshi ( CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) wakiwa bado ofisini? Na hawa viongozi wenye...
  18. Tajiri wa kinyankole

    PostGE2025 Yale matamko ya IGP Wambura naona sasa hivi kapoa kama uji uliochemshwa kuelekea tarehe 09.12.2025

    Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake wakisulubiwa ipasavyo waliokuwa wakidai haki neno ( shoot to kill) lilikuwa nineno rahisi dhidi ya watawala...
  19. Just Pray

    Clemence Mwandambo: IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
  20. PureView zeiss

    IGP aitwa mahakamani shauri la HECHE

    Mahakama Kuu Dar es Salaam imetoa hati ya wito kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na wenzake watano kufika mahakamani kufuatia ombi la mawakili wa CHADEMA wanaotaka Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, afikishwe mahakamani au aachiwe kwa dhamana. Wengine ni Afisa Upelelezi Kanda Maalum...
Back
Top Bottom