ifm

IFM Investors is an Australian investment management company specialises in Debt Investments, Infrastructure, Listed Equities and Private Equity. The Company is owned by 27 major not-for-profit Australian pension funds. IFM Investors’ focus is on improving the retirement outcomes of more than 15 million workers globally represented by their investors. Headquartered in Melbourne, Australia, IFM Investors also has offices in a number of other countries. The company is chaired by former minister of the Australian Labor Party and ACTU secretary Greg Combet.

View More On Wikipedia.org
  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Utata juu ya uamuzi wa Rais Samia kuhusu fedha za mkopo wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) wa shilingi Trilioni 1.3

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 3, 2021 jijini Dodoma, Job Ndugai amesema katika hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni hakukuwa na jambo la kukashifu wala kudharau juhudi za Serikali ila alikuwa anasisitiza ulipaji wa kodi na tozo mbalimbali. Bwana Ndugai amesema mwishoni...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

    Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM. Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
  3. toplemon

    JamiiForums Tanzania IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

    Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani? Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi? Tena kinachosikitisha ni wanaume watupu yaani sijui ndo mashoga wale jamaa watatu Hicho chuo kina matatizo...
  4. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Chuo cha IFM kimezingirwa na biashara ya mitumba, chips na mama lishe

    Hakika jiji la Dar es Salaam limevamia na wafanyabiashara wajasiamali maarufu machinga, mama lishe, wauza chips wauza mitumba kila kona. Wametanda pembezoni mwa barabara mbalimbali za jiji wakifanya biashara. Posta ndio usiseme kila sehemu ni vibanda vya mitumba, mama lishe wakipika vyakula...
  5. M

    JamiiForums Tanzania IFM mnalazimisha kila course mfundishe hesabu!

    Chuo cha Usimamizi wa Fedha kinatoa Course nzuri sana, inaitwa Social Protection. Taaluma hii ni muhimu kwa Dunia ya sasa, na hapa Tanzania kuna gap sana. Sasa cha ajabu ndani ya hiyo Course kumewekwa Hesabu, tena ngumu ngumu. Lengo lenu nini? Mnatukwaza Manguin'
  6. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Dar es Salaam, mnafahamu vipi Samora fundi viatu pale IFM?

    Kuna jamaa nimekuta wanahoji mahali juu ya huyu Jamaa anaitwa Samora ambaye ni fundi viatu wa muda mrefu pale IFM na sasa amehamia Dodoma, wanasema jamaa ndie aliyekua anatoa connection za kazi kwa wanafunzi wengi sana kwa Maboss wa BoT na Watu mabalimbali. Je, Samora ni nani?
  7. emanuel joseph

    JamiiForums Tanzania Naomba kupewa uzoefu wa maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM

    Habari wakuu, naomba kupewa ushauri na uzoefu wenu juu ya maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM katika suala zima za mazingira ya kuishi na gharama za maisha
  8. Y

    JamiiForums Tanzania IFM hawajapeleka maijina NACTE

    IFM mpaka leo bado hawajapeleka majibu ya Diploma kwa waliopata sap na matokeo yametoka toka tarehe 3 mwezi huu wa kumi sijajua sababu nini lakini ukiwauliza wanasema watapeleka wakat dirisha la awamu ya Pili inakalibia kufungwa kwahiyo hawatawez kuanza chuo kwa mwaka huu kitu ambacho si kizuri...
Back
Top Bottom