IFM hawajapeleka maijina NACTE

yify

Member
Oct 12, 2020
10
3
IFM mpaka leo bado hawajapeleka majibu ya Diploma kwa waliopata sap na matokeo yametoka toka tarehe 3 mwezi huu wa kumi sijajua sababu nini lakini ukiwauliza wanasema watapeleka wakat dirisha la awamu ya Pili inakalibia kufungwa kwahiyo hawatawez kuanza chuo kwa mwaka huu kitu ambacho si kizuri.

Wanazingua
 
Sio IFM pekee ambao hawajatuma matokeo NACTE vipo baadhi ya Vyuo ambavyo kwasababu wanazozijuwa wao pia na vyenyewe hawajatuma, ukweli kuna mgagaziko kwa wenye Diploma kuomba kujiunga na vyuo ikumbukwe tarehe 14 (Jumatano) nimeshindwa sikukuu wakati TCU imefunguwa dirisha toka 12 hadi 18 mwezi huu.

Ombi letu, Vyuo ambavyo hadi leo hawajatuma matokeo kwenda NACTE tunawaomba kwa heshima zote wafanyeni hivyo, ikumbukwe kuna kupata na kukosa nafasi au kuomba chuo zaidi ya kimoja, tupate muda wa kuthibitisha chuo kimoja wapo.
 
Ombi letu, Vyuo ambavyo hadi leo hawajatuma matokeo kwenda NACTE tunawaomba kwa heshima zote wafanyeni hivyo, ikumbukwe kuna kupata na kukosa nafasi au kuomba chuo zaidi ya kimoja, tupate muda wa kuthibitisha chuo kimoja wap

Sio IFM pekee ambao hawajatuma matokeo NACTE vipo baadhi ya Vyuo ambavyo kwasababu wanazozijuwa wao pia na vyenyewe hawajatuma, ukweli kuna mgagaziko kwa wenye Diploma kuomba kujiunga na vyuo ikumbukwe tarehe 14 (Jumatano) nimeshindwa sikukuu wakati TCU imefunguwa dirisha toka 12 hadi 18 mwezi huu.

Ombi letu, Vyuo ambavyo hadi leo hawajatuma matokeo kwenda NACTE tunawaomba kwa heshima zote wafanyeni hivyo, ikumbukwe kuna kupata na kukosa nafasi au kuomba chuo zaidi ya kimoja, tupate muda wa kuthibitisha chuo kimoja wapo.
Eeh nasikia wanafanya hivi ili uendelee hapohapo yaan muda wa udahili ukiisha wanakwambia uendelee chuon humohumo kwahy wanakulazimisha usome hapo wanazingua kwel yaan
 
Sio IFM pekee ambao hawajatuma matokeo NACTE vipo baadhi ya Vyuo ambavyo kwasababu wanazozijuwa wao pia na vyenyewe hawajatuma, ukweli kuna mgagaziko kwa wenye Diploma kuomba kujiunga na vyuo ikumbukwe tarehe 14 (Jumatano) nimeshindwa sikukuu wakati TCU imefunguwa dirisha toka 12 hadi 18 mwezi huu.

Ombi letu, Vyuo ambavyo hadi leo hawajatuma matokeo kwenda NACTE tunawaomba kwa heshima zote wafanyeni hivyo, ikumbukwe kuna kupata na kukosa nafasi au kuomba chuo zaidi ya kimoja, tupate muda wa kuthibitisha chuo kimoja wapo.
Wana Jf, AVN imepatikana, kipengele sasa ni hapo dirishani... wakati mwingine ndio wakati mwingine hapana..

Ushauri ninao soma hapa jukwaani ni jaribu usiku mkali....
 
IFM mpaka leo bado hawajapeleka majibu ya Diploma kwa waliopata sap na matokeo yametoka toka tarehe 3 mwezi huu wa kumi sijajua sababu nini lakini ukiwauliza wanasema watapeleka wakat dirisha la awamu ya Pili inakalibia kufungwa kwahiyo hawatawez kuanza chuo kwa mwaka huu kitu ambacho si kizuri.

Wanazingua
Bora huo mfumo wauondoe tu maana hauna msaada wowote Ni maudhi Sana!!!
 
avn imenitesa sana mpaka kupata.,hii kitu inatia hasira sana.
Naskia uchungu nnapoona mwenzangu anahangaikia avn....bora warudishe mfumo wa zamani tu.
 
Ulipata baada ya kufika Nacte ofisini au uliomba na ukapata kupitia system yao...!
nilianz kuomb kweny system...wakazngua,nkawafata zaid ya mara 3...naona wananizngua tu mpaka nkakata tamaa ya kuwafata....ila nkakaa nikawa nachunguliachngulia kila sku kweny system nkaona control number imkuja nkalipia 20,000 chap nkapata.
 
IFM mpaka leo bado hawajapeleka majibu ya Diploma kwa waliopata sap na matokeo yametoka toka tarehe 3 mwezi huu wa kumi sijajua sababu nini lakini ukiwauliza wanasema watapeleka wakat dirisha la awamu ya Pili inakalibia kufungwa kwahiyo hawatawez kuanza chuo kwa mwaka huu kitu ambacho si kizuri.

Wanazingua

MATI UYOLE NAO WANAFUNZI WANALALAMIKA HAKUNA MATOKEO YALOENDA NECTA MPAKA SASA

HIZI NI HUJUMA
 
Mimi nishalipia but sipati mafanikio kwa kweli nikechukia maana nishaomba mkopo kila kitu.
nilianz kuomb kweny system...wakazngua,nkawafata zaid ya mara 3...naona wananizngua tu mpaka nkakata tamaa ya kuwafata....ila nkakaa nikawa nachunguliachngulia kila sku kweny system nkaona control number imkuja nkalipia 20,000 chap nkapata.
Li
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom