IFM mnalazimisha kila course mfundishe hesabu!

Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,915
2,000
Chuo cha Usimamizi wa Fedha kinatoa Course nzuri sana, inaitwa Social Protection. Taaluma hii ni muhimu kwa Dunia ya sasa, na hapa Tanzania kuna gap sana.

Sasa cha ajabu ndani ya hiyo Course kumewekwa Hesabu, tena ngumu ngumu.

Lengo lenu nini?

Mnatukwaza Manguin'
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
4,639
2,000
Hesabu ni basic skill, ni kama akili za kuvukia barabara ukiwa unafanya masuala ya uchumi, au nasema uongo ndugu zangu ?
download (2).jpeg
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
23,256
2,000
Chuo cha Usimamizi wa Fedha kinatoa Course nzuri sana, inaitwa Social Protection. Taaluma hii ni muhimu kwa Dunia ya sasa, na hapa Tanzania kuna gap sana.

Sasa cha ajabu ndani ya hiyo Course kumewekwa Hesabu, tena ngumu ngumu.

Lengo lenu nini?

Mnatukwaza Manguin'
hama chuo
 
miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,459
2,000
Hivi unajielewa kweli dogo?
Unajua hata unachosomea kweli? Ama kwasababu imeitwa SOCIAL PROTECTION basi ndo ukajua ni ilivyo kama jina lake?

Unajua kama hapo ni CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA?

Unajua kama ni chuo kilichopo chini ya Wizara Ya Fedha?

Unajua hasa core perspective ya hiyo course?

Very arrogant aisee... Social protection is wide. Unadeal na financing, uchumi kiujumla. Unadeal na bima let it be ya maisha ya watu ama properties. Ulifikiri unaenda kusoma SOCIALOGY ama? Mbona hata yenyewe wana hesabu?

Unataka ukafanye kazi kwenye mashirika ya bima hujui hesabu? Kuw ana adabu na course zetu dogo. Na nikuambie tuu, ya hapo IFM imelegea hesabu. Wenzako walienda Masters nje kidogo wakimbie kwa hayo mahesabu. How are u gonna be an ACTUAREE? Mbona hujalalamika kusoma Course ya Law ama CS?

Hamaa kama pamekushindaaa.....
 
Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
726
1,000

hahahah jamaa labda alijua no security guard
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom