idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idadi ya waanzilishi wazaliwa wa kigeni ambao walianzisha makampuni ya Marekani yenye thamani ya dola bilioni

    ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India - 66 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Israel - 54 ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง United Kingdon - 27 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada - 22 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China - 21 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France - 18 ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany - 15 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia - 11 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ Ukraine - 10 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran - 8 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia - 7 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italy - 6 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria - 6 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ Poland - 6 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด Romania - 6 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Argentina - 5 ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil - 5 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ New Zealand - 5 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Pakistan - 5...
  2. Idadi ya wanajeshi wa Urusi wanaojitoa uhai yazidi kuongezeka

    Wengi wanaamua hamna haja ya kuhangaika, bora wajifie... The number of suicides among Russian officers has increased significantly since the Russian full-scale invasion of Ukraine began. Source: Ukrinform news agency, citing Andrii Yusov, Spokesman for Ukraine's Defence Intelligence, on air...
  3. Idadi ya Watalii Wanaoshuka "KIA" Yazidi Kuongezeka

    Idadi ya wageni wanaoshuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), imeongezeka kutoka 300 hadi kufikia 2000. Ongezeko hilo limechangiwa na Filamu ya The Royal Tour iliyoigizwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan. Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uendeshaji...
  4. T

    Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

    Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha. Waziri mkuu anasema idadi hiyo inaongezeka siku hadi siku na hivyo hajui nini kitatokea kama hii hali ikiendelea. Tukumbuke hivi karibuni kumekua na...
  5. Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

    TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara. ORODHA 1. Vodacom - 19,116,166 2. Airtel - 17,505,139 3. Tigo - 17,484,387 4. Halotel - 8,410,029 5. TTCL - 1,559,090 6. Smile - 13,840
  6. SI KWELI World Economic Forums, Bill Gates na Albert Bourla wana mipango ya kupunguza idadi ya watu duniani

    Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazohusisha taasisi na watu maarufu duniani kuwa na mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani. Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na Bill Gates kuelezwa kuandika katika mitandao wa kijamii akimshauri kiongozi wa World Economic Forums (WEF), Klaus Schwab juu ya...
  7. SoC03 Uanzishwaji wa Viwanda vijijini Sera mojawapo ya kupunguza idadi ya watu na vijana wasio kuwa na Ajira katika Miji mikubwa

    Kwa nchi kama Tanzania ambayo ipo katika nchi zinazoendelea duniani inahitajika jitihada kubwa kutoka kwa viongozi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu hasa kupitia katika nyanja kuu ya uchumi ambayo ni kilimo Imo na viwanda . ๏ฟผEndapo sera hii ikitumika vyema Na Serikali basi manufaa...
  8. Ripoti TCRA: Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa huduma za Simu Tanzania

    Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi Watu Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watumiaji wa Huduma za Simu Tanzania Bara ni Dar es Salaam...
  9. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  10. N

    Idadi ya bia kunywa kwa siku yawa gumzo

    Dar es Salaam. Kauli ya watalaamu wa afya kuhusu kiwango cha bia kinachoshauriwa kutumiwa na mtu kwa siku, imezidi kuibua maoni tofauti, safari hii wachambuzi wakijikita katika ujazo wa chupa, wingi wa kileo, afya ya mnywaji na mchanganyiko wa kinywaji chenyewe. Akizungumza na Mwananchi jana...
  11. Siku ya Idadi ya Watu: Je, wajua idadi ya watu duniani ilitoka Bilioni 7 - 8 kwa miaka 12, ila inakadiriwa itachukua miaka 15 kufikia Bilioni 9?

    Ilichukua mamia ya maelfu ya miaka kwa idadi ya watu duniani kukua hadi bilioni 1, kisha katika miaka 200 tu au zaidi, iliongezeka mara saba. Mnamo 2011, idadi ya watu Ulimwenguni ilifikia bilioni 7, ilikuwa karibu bilioni 7.9 mnamo 2021, na inatarajiwa kukua hadi karibu bilioni 8.5 mnamo 2030...
  12. Hali ni tete sana, nini kifanyike?

    Kama humu ndani kuna walimu kuanzia ngazi ya awali mpaka university mtakubaliana nami katika Idadi ya watoto wa kike katika shule za awali hadi Msingi ni kubwa kuliko watoto wa kiume,nenda shule yoyote ya msingi, sekondari au chuo kikuu utagundua hilo. Mfano kwa sasa hapa University of Dar es...
  13. M

    Idadi ya wataalamu wa kilimo Tanzania

    Jamani Tanzania ina wataalamu wa kilimo wangapi na ni kwa mujibu wa bajeti ya mwaka gani
  14. Dkt. Mwigulu: Idadi ya Benki imepungua nchini, zimebaki 45

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi Desemba 2022 kulikuwa na benki 45 ikilinganishwa na benki 46 katika kipindi kama hicho mwaka 2021. Amesema Kupungua kwa idadi ya benki kulitokana na Exim Bank Limited kuinunua benki ya First National Bank Tanzania. Hata hivyo, amesema...
  15. Senegal: Idadi ya Waliofariki kutokana na maandamano yafika 15

    Hali ya wasiwasi imeendelea baada ya mapigano mapya ya muda wote wa usiku ndani ya siku mbili tangu Mahakama imhukumu kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko (48) ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili. Sakata hilo la Sonko limesababisha Nchi Washirika kutuma ujumbe wa kusikitishwa na...
  16. Dkt. Slaa: Msimamo wangu ni ule ule, wananchi wasipangiwe idadi ya watoto

    NI nadra kusikia jambo hili likizingumzwa na wanasiasa na hata viongozi wa serikali, lakini ni kweli kwamba miaka 1980, Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alipendekeza kuwe na Sera ya Watu. Katika sera hiyo, Mwalimu Nyerere alitaka kuwekwe masharti kwamba kila familia isiwe na zaidi...
  17. Ripoti: Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufikia Bilioni 8.5 Mwaka 2030

    Kwa Mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) kufikia Novemba 2022, idadi ya Watu Duniani inakadiriwa kuwa Bilioni 8. Ongezeko la Watu katika Nchi nyingi zenye Uchumi wa Chini linakadiriwa kuongezeka mara mbili zaidi kati ya Mwaka 2022 na 2050 Kufikia Mwaka 2022, idadi ya Wanaume Duniani...
  18. M

    Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

    Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) na taasisi nyingine za utafiti, idadi ya Waislamu duniani inakadiriwa kufikia zaidi ya bilioni 2. Kwa sababu ya kiwango cha juu cha uzazi na kasi ya kuenea kwa dini hiyo kwenye maeneo mengi duniani, inatarajiwa kuwa...
  19. Swali fikirishi: Je, tunahitaji idadi kubwa ya watu ili kujikwamua kiuchumi au tunahitaji watu wenye tija kwenye uchumi wetu?

    Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini. Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu. Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
  20. Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

    Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ