icc

The ICC Champions Trophy is a One-Day International (ODI) cricket tournament organised by the International Cricket Council. The 2013 tournament was intended to be the final edition of the Champions Trophy, but it was extended to 2017 due to its widespread popularity. In 2018, the ICC decided to replace the tournament with the World Twenty20 championship to be held every two years, and no Champions Trophy was contested in 2021. However, as part of the 2021 Future Tour Programme, the event was reinstated for the 2025 cycle onwards. In November 2021, the ICC confirmed the tournament would next take place in 2025 in Pakistan, with India hosting the tournament in 2029.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ngoma inogile. Baada ya Vyombo vya Kimataifa kumwaga ukweli, Wahutumiwa wa Mauaji wanaweza kushtakiwa popote sio lazima ICC

    Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu. Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa cha habari duniani CNN kime confirm kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama kuua raia kipindi na baada...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

    Heko CNN Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa. Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu. Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Yafuatayo; 1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Muhaho wa Samia: alitaja taasisi zote zitakazomtembeza na viatu kichwani akashindwa kuitaja ICC

    Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo. Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika namna ya kihalifu kabisa. Yan huyu ni mhalifu sugu. Na mimi swali moja najiuliza kwanini alilenga kuua...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatari ya kushitakiwa ICC: Waliogiza raia wauawe ovyo ovyo, watarudia kosa hilo Desemba 9 ?

    Hili ndio swali ambalo binafsi najiuliza hasa ikitokea raia wanaandama kwa wingi na kwa amani huku media za kimataifa zikiwa zinafuatilia kwa karibu (zinakusanya ushahidi) kwa njia mbalimbali ikiwemo kutumia picha za satellite . Mtazamo wangu: Kwasababu limeshafanyika kosa na kuna juhudi za...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe

    Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Ikitokea mtu akapelekwa ICC, je Makamu wake anapona?

    Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice? Kama Mods will spare this let us educate each other
  7. kyagata

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

    Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo. Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji? Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu? ==== Majibu kutoka kwa wadau
  8. Poker

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachunguzi wa ICC tayari wapo Kenya kwaajili uchunguzi

    Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao. Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio waliofungua mashitaka huko ICC. Pia mwanamfalme huyo anaunga mkono maandamano ya 9/12/2025 akisema tayari...
  9. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  10. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Mzee Malisa yupo salama? Tarehe 29.10.2025 nchi iliingia gizani, tunafahamu umefungua kesi ICC, toa neno tujue kama upo

    Wote tunafahamu mzee huyo alipinga mchakato mzima ulivyofanyika wa kupata mgombea kitu cha Rais ndani ya CCM hadi kupelekea kufungua kesi ya kupinga mchakato huo mahakama kuu kanda ya Dodoma Pamoja na juhudi zake lakini hakupata alichotarajia, shauri lake lilitupiliwa mbali kama mnavyofahamu...
  11. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kilio cha watanzania kwenye account ya ICC huko Instagram kimeniliza

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kilio chao kinaumiza kuliko hata mauwaji yenyewe Nimelia Mmoja anasema Samia anamaliza watoto wetu tusaidien Ni majonzi ndugu zangu Account ni hiyo hapo chini
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC leo Novemba 5, 2025

    Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC asubuhi ya leo juu ya kile kinachoendelea Tanzania, waandamanaji wanaitaka mahakama ya ICC kuchukuwa hatua kali juu ya Mauaji ya Tanzania.
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mimi nimeshawataarifu ICC juu ya unyama wa Samuya. Wewe unasubiri nini!

    Tayari hili janamke nishalitolea taarifa huko ICC. Nimeambatanisha picha za kawaida pamoja na video za ushahidi wa unyama wake kwa kadri ya kiasi kinachoruhusiwa. Wewe mdau kama umeumizwa na yaliyotokea, basi fanya hima ili uwe katika upande sahihi wa kihistoria. Kokote kule unakoweza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa Usalama

    Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa usalama Ni muda tu tutajua lakini kama mimi ni kiongozi wa ulinzi na usalama Tanzania mambo si mazuri
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania GE2025 JUST NEW: ICC Launches Preliminary Examination into Post-Election Deaths in Tanzania

    I saw this earl story from outside the country media reports about our issues. Niliona na kusoma humu mkililia mahakama hiyo iingilie kati suala hili, basi hali ndo kama hivi... Hizo ni sehemu ya chapisho nililoliona...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla ya Uchaguzi tuhuma za Utekaji na kuua Wapinzani wakati wa Uchaguzi Kuua Waandamanaji. Hana pa kuponea

    Kabla ya Uchaguzi Media zote za Kimataifa zilimsema kwa tuhuma ya kuua, kuteka na kupoteza Wapinzani wake huku wengine akiwafungulia kesi za uongo ili wasishiriki uchaguzi Wakati wa Uchaguzi dunia nzima inazungumzia alivyoua Watanzania zaidi ya 1000 huku akijitangaza kushinda kwa asilimia 98 na...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

    Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least. Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee. Kwa dhambi kama hii hapa chini kwenye picha, huyu mtu anapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya Plato. Nategemea ICC...
  18. canular

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC

    Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ICC: Godfrey Malisa chukua tahadhali, usije kuwa kama Humphrey Polepole. Please and please take note of this

    Chukua tahadhali, huyu Mama ameshavua nguo zote za ubinadamu. Usifanye mzaha,usalama wako uko on test, tena test kubwa. Chukua tahadhali! Umemshika masharubu simba mla watu. Take care please.
Back
Top Bottom