ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Shetani yupo kazini: Nyumba za ibada Imarisheni ulinzi/msirushe LIVE (YouTube) wakati wa kutoa sadaka

    1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe. NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

    Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa. Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri, mwaka 2016 Vaticn ilikataza wanaume wenye tabia kama hizo kuwa viongozi au mapadri...
  4. JamiiForums Tanzania Ngono ni tendo la kubadilishana nishati na DNA

    KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAFUNDISHO YA SIRI. ngono ni ibada takatifu ngono ni tendo la kubadilishana nishati na DNA. dna inashikilia habari zote kuhusu mtu huyo ikiwa ni pamoja na kiwewe, matatizo ya akili na kila kitukuhusu mtu huyo. kila mtu ambaye umewahi kumbusu au kufanya naye ngono...
  5. JamiiForums Tanzania Watu hawana aibu wala haya kabisa yaani kwenye nyumba za ibada watu wanaombana namba na kutongozana? Nimechukia aisee

    Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha wanaanza kuombaba namba na kuanza kutongoza eti usiku mida ya saa mbili tukutane element daaa nimechukia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Rais wa Zanzibar kumuapisha kadhi? Kwani serikali inasimamia ibada?

    Nimeona kwenye taarifa ya habari Rais wa Zanzibar anamuapisha kadhi mkuu wa Zanzibar kwani serikali inasimamia ibada za watu!?
  8. JamiiForums Tanzania Hivi, Mafuta wanayokunywa Waumini katika baadhi ya 'Nyumba za Ibada' ni salama kwa Afya?

    Nafahamu kwamba suala la uumini au dini ni pana, kuna baadhi ya mambo kulingana na Katiba yetu na miongozo mbalimbali Serikali inaweza kufungwa mikono kuyaingilia moja kwa moja, lakini kuna uwezekano kwenye baadhi ya vitu Serikali haifungwi mikono kuviingilia hususani suala la usalama wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwamposa awasili Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga Muigizaji Grace Mapunda (Tessa)

    Mtumishi wa Mungu Boniface Bulldozer Mwamposa alivyowasili viwanja vya Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu Grace Mapunda #RIPGraceMapunda Soma: Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia
  10. JamiiForums Tanzania Huyu nabii GeorDavie achunguzwe, anagawa Hela Kama karanga

    Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa. Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili (...
  11. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinatakiwa kuwa kiwango cha chini kabisa cha imani ya mtu ambaye bado anaingia nyumba za Ibada

    Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake. Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani. Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
  12. JamiiForums Tanzania Misikitini waanza kutumia mafuta ya Upako, Sheikh aonekana akinywesha watu mafuta katika ibada

    Sheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Vita ni mbaya, leo Ayatollah Khamenei ameongoza Ibada akiwa bunduki

  14. K

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuwaambatanisha watoto na Ibadan si ushamba!

    Habari Wana JF, Namshukuru sana Mungu kwa kumuweka hai,Katika hii Dunia kuna mambo mengi sana mazuri na mabaya, Moto huzaliwa na wazazi wake yaani Baba na mama,haijalishi atalelewa na Nani. Kumetokea matukio mengi ya ajabu na yenye kutisha yanayotendwa na binadamu wenzetu,asilimia kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania MSAJILI MSITOE USAJILI WA KANISA WALA SEHEMU YA IBADA KWA BW C.GODLOVE..MSSISEME AYUJAWAMBIA YA BUZA MLIYASIKIA MKAYAONA

    KWAKO MH MSAJILI NIMEONA CLIP MOJA YA KIJANA MMOJA MPENDA MTANDAO KAMA NDUGUYETU YULE KIBOKO YA WACHAWI HUYU BWANA ANASEMA HANA MPANGO WA KUFUNGUA KANISA ANAFUNGUA SEHEMU YA KUABUDIA MWENYE DINI YOYOTE AJE NA AJALAZIMISHA MTU KUJA AMESEMA YUKO KWENYE PROXESS ZA KUOMBA USAJILI NAOMBA KABLA...
  16. JamiiForums Tanzania Israel iendelee na safishasafisha tukafanye ibada mji mtakatifu Yerusalem, December hii

    Shalom, Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa Waislam huko Mecca na Madina Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New dehri Basi Israel iendelee na safisha safisha mpaka miji ile muhimu ambayo magaidi wanajitapa ipo...
  17. JamiiForums Tanzania DC Meatu asitisha shughuli za Ibada Makanisa yasiyo na vyoo

    Mkuu wa Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Mhe.Faudhia Ngatumbura amesitisha shughuli za ibada katika baadhi ya makanisa Wilayani Meatu mpaka Makanisa hayo yatapokuwa yamejenga vyoo ili kuwanusuru Wananchi kuugua ugonjwa hatari wa Kipindupindu. Amezitaka Taasisi Dini Wilayani Meatu kuwa Mfano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kati ya ibada na uwepo wa mishumaa?

    Wengi wetu tumekuzwa tukishuhudia mara kadhaa mishumaa ikiwekwa moto katika vipindi mbali mbali vya ibada. Jambo hili limekuwa likifanyika katika ibada za imani tofauti tofauti duniani tangu enzi na enzi. Lakini, si wote wanaweza kujua ni nini hasa maana yake, na wengine wamezoea kufanya hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  20. JamiiForums Tanzania Ndoto mbili za kweli (ndoto za kichawi) - unashauriwa kufanya sana ibada

    💼MHADHARA WA 7 Wakati mwingine ndoto tunazoota usiku wakati wa kulala zinatokana na uchovu, mawazo, n.k. Lakini ndoto zifuatazo zinakuwa ni ndoto zinazoeleza matokeo ya kweli yanayotarajia kukutokea baadae. 1. NDOTO YA KWANZA Kuota mara kwa mara umekufa. Au kama umeoa/umeolewa unaota mara mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…