huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii screenshot ya huyu dada imekaaje ?!

    maamuzi mengine kumpa mtu magumu.... Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia.. BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni ( kwanini azime )red flag sign 2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu referee siyo Mmoroko kweli? Anyway Senegal nanyi mtumie na akili si nguvu peke yake

    1. Referee sijajua ana tatizo gani na Senegal. Wakiangushwa ni kama haoni kabisa anasonga mbele tu.au anataka mpaka mtu avunjwe shingo ndo iwe foul? 2. Senegal nanyi mpira ni pamoja na akili siyo nguvu tu. Tulieni muwafunge wafaransa hao.
  3. JamiiForums Tanzania Huyu mrembo kusema ukweli nampenda sana . Sema ndio hivyo

    Hata mimi ni binadamu na nna moyo wa nyama nyama. 😫😫 Kusema ukweli ndiye mrembo niliyewahi kumuelewa baada ya kuicheki filamu moja inaitwa DOA(Dead or Alive) ya mwaka 2006. Nadhani Kuna filamu ya jet li nimesahau jina yumo huyu mrembo...dah sema ndio hivyo🥹🥹💔💔💔. Binti wa zamani utatia neno...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Binti naoa wiki hii hii sitaki nimeshindwa vumilia

    IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi. Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika. Mimi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Huyu si Mwandambo Clemence, mbona kakengeuka! Jela imemkegeula au alikuwa "agent". Kumbe ni minyama tu!

    Huyu si alikuwa mtetezi wa haki za binadamu! Jela imemnyioosha. Kumbe likuwa ni minyama tu, kichwani ni funza! Labda ni AI😳😳😳
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utamjua vipi kama huyu mzanzibar upande wa Tanganyika?

    1. Kuongea? 2. Kuvaa? 3. Rangi? Kwa upande wa Zanzibar kuna zanId ambayo mzanzibar anapewa na asiekuwa mzanzibar hapewi Au waislam ndio watakuwa walengwa?
  7. JamiiForums Tanzania Muafrika mwenzetu huyu anatueleza haya

  8. JamiiForums Tanzania Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

    Guys hope mko Salama. Kwenye pitapita zangu za utafutaji kuna omba omba mmoja ni mlemavu wa miguu. Yani ni wale mikono ni miguu na miguu imelegea kabisa haina kazi...anatembelea wheelchair kwa kusukumwa na ndugu yake. Sasa huyu mhitaji alikuwa anafika kila siku kupata huduma maeneo...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu mchaga ni level ya juu sana

    Wachaga ni wasomi sana lakini mbona siwaoni katika nafasi kubwa za uongozi?
  10. JamiiForums Tanzania Ujinga ni kitu hatari. Huyu mama ntilie anawalisha watu kinyesi cha binadamu

    Kaambiwa na mganga eti ndiyo atavuta wateja. Sijui na kwa mama ntilie wa bongo tunakula vya ajabu vingapi? https://youtube.com/shorts/63gg9mJ6Qug?si=qo837u5581p7h0-q
  11. JamiiForums Tanzania Huyu Simai katumwa?-The Zanzibari Collusion

    Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yuda na msaliti. Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote. Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake. Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

    Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani. Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana. Kabla ya uchaguzi. johnthebaptist
  13. O

    JamiiForums Tanzania Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

    Jonee mwenyewe https://youtu.be/WTiIWW6QQ_0?si=SOtRb7rbD0YDPMma
  14. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, Huyu hakustahili kubeba EPL

    Yaan8 ni kipofu Hata mashabiki wake ni vilaza
  15. JamiiForums Tanzania Huyu Kamera Man wa Chato katuharibia picha yetu ya karne

    Guys Kwani huyo mzee.wa mwisho kulia angemkata tu asionekane maana kaharibu kila.kitu tunashindwa kucoment.
  16. JamiiForums Tanzania Huyu nae amekazia. Pgo ya polisi ina kifungu kinachoruhu kuua . Na walifanya kazi iliyotukuka

    Polisi wamepongezwa tena na CCM👇
  17. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

    Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Edition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clips za rushwa kweli...
  18. JamiiForums Tanzania Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu mdada msomali nimesoma nae Kenya, leo naona picha ya marekani kwa kujipatia pesa kitapeli, aisee dunia ni ndogo😁

    AIsee fahima what happened😬 👇
  20. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa akishavuta ganja akipanda on the stage ni balaa tupu😂

    smoking On the stage
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…