huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Ndege huwa wanafia wapi vifo vya kawaida? (Normal Dearth) huwa sioni mizoga yao chini

    Asalaam aleykhum.. Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao? Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu? Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani Au wanazikana 🤣?
  3. JamiiForums Tanzania Huwa ni warranty au gerentii

    Naomba ufafanuzi kidogo au gerentii ndo kiswahili?
  4. JamiiForums Tanzania Kila January huwa napata ajali

    Hii imenishangaza sana. Ni miaka minne mfukulizo. Pengine inaweza kuwa zaidi kwa kuwa sikufuatilia kabla. Natumia usafiri wa pikipiki. Sasa nikishapata ajali au kuanguka na pikipiki, basi sipati tena ajali mwaka wote. Au kuanguka. Sasa mwaka ulivyoanza hii hali au kumbukumbu ikanijia. Na mara...
  5. JamiiForums Tanzania Nikipenda huwa nakaba hadi penati hakuna kupumua

    Nilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano. Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai ni Wana TU wengine ni kaka zake, nothing else, Jamaa hicho kitu kinamkera sana mpaka wanagombana...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
  7. JamiiForums Tanzania Huwa unaweka malengo kabla ya kuanza mwaka, au baada ya mwaka mpya?

    Watu wengi hutofautiana katika namna ya kujiwekea malengo—wapo wanaoanza kupanga kabla mwaka haujaisha, wakitumia muda kutafakari yaliyopita na kujipanga mapema, na wapo wanaosubiri Mwaka Mpya uanze ndipo waanze kuandika malengo yao. Wewe uko upande upi, na ni nini kinakusaidia zaidi kufanikisha...
  8. JamiiForums Tanzania Usaliti na uzalendo huwa sielewi niwelewesheni tafadhali

    Wanaotetea nchi yao wanaitwa majina, wachochezi, waliohongwa, wanaotumiwa na mabeberu, wahaini na kadhalika. Ajabu wanaiibiana kuiuza nchi wanajiita wazalendo,walinzi wa amani, na majina mengine mengi mazuri. Walioko nje wakilalamika wanaitwa mawakala wa mabwana zao. Serikali zikiishi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania JE, HUWA UNAZINGATIA NINI UKITAKA KUNUNUA SUBWOOFER(SABUFA)

    VITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO) Je, huwa unazingatia nini ukitaka kununua sabufa? leo nimekuja na elimu bora ya kuwajuza vitu vya kuzingatia ukitaka kununua radio. wengi wenu hudhani kuwa radio yenye watt kubwa ndo radio bora. ukweli ni kwamba Watt peke yake haitoshi...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna muda nikiwatafakari Walinzi wa karibu wa baadhi ya Marais, huwa nawakosea majibu

    Leo nilikuwa napekua historia ya dunia huko mtandaoni katika kuilisha ubongo chochote kitu , nikajikuta nawatafakari sana Marais ambao mwisho wao ulikuwa mbaya sana. Tukianza na Gaddafi , Huyu alikutwa kwenye Calvert peke yake hana mlinzi wake wa karibu ambaye tuseme angesimama naye hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

    Wadau nime experience hiki kitu baadhi ya wanawake tena kwa idadi kubwa hasa wanaotokea kwenye familia za kawaida wakijipata hujenga dharau na kuona watu wengine hawana thamani. At least wadada wanaotokea kwenye familia za kishua kidogo huwa na heshima kuliko hawa waliojipata na walitokea...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaotaka huwa hawaogopi!

    KAMA MNATAKA MALI Wanaotaka hawaogopi. Kama mnataka mali, basi kwanza mtambue kuwa utajiri si dhahabu iliyo ardhini, bali ni dhahabu iliyo akilini. Mali haianzi kwenye miguu ya wanaokimbia, huanza kwenye fikra za wanaotulia, walioshiba dhamira zao kabla ya kutafuta malipo yao. Kama mnataka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hawa matapeli huwa mbinu zao ni zilezile?

    Meseji hii kanitumia INBOX: Hello darling. How're you doing?, my love i must tell you, I'm no longer happy here . My life has been miserable here for the last 3 years. I am a beautiful woman but I am not married and every day I get older. Please, my love, I want you to help me finish my...
  14. JamiiForums Tanzania Watu, hasa waandishi wa habari huwa wanachanganya maneno 'muhanga' na 'mwathirika'. Twende kazi!

    1. Muhanga. Huyu ni mtu aliyejitoa/aliyetolewa sadaka au aliyepitia mateso kwa Kwa ajili ya jambo fulani lenye thamani kama imani, taifa n.k. Mfano, alikuwa 'muhanga' wa vita kwa kuwa alikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano. 2. Mwathirika. Huyu ni mtu aliyepata madhara, maumivu au hasara...
  15. JamiiForums Tanzania Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

    Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi. Makaisari wa Roma walikuwa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ikulu ilikuwa Madrassa zamani hizo, Ndiyo kuna shida gani? It is not making sense, Waziri huyo na baba yake huwa siwaelewagi. Wapo kwa shari shari tu.

    Huyo aliyesema kuwa ikulu ilikuwa madrassa zamani mara baada ya kujengwa na wajerumani. Kama waingereza walitumia kuwapo watu kufundishia watoto "Ilim Duniya na Ilim Akhera" kuna shida gani? Hiyo ni historia ya nchi yetu....Siyo jambo la ajabu! Waingereza waliitoa nyumba ya Governor kufundishia...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe mama huwa anamfuatilia Mange! Sasa huwa anavumilia vipi yale matusi

    Juzi kwenye hotuba yake alitudhihirishia ni kwa namna gani yeye humfuatilia Mange, sasa sijui huwa anayavumilaje yale matusi makali ya mange. Manage hupendelea kusema "... Mafy ya...yanagonga...". Kwa kweli Kuna watu Wana roho ngumu kama jiwe. Ni hayo tu 😎.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kwenye mikusanyiko ya familia, wewe huwa unajukumu gani?

    Tunajua kipindi cha Desemba ndo kipindi cha kukusanyika na familia na kufurahi kwa pamoja kipindi hiki cha likizo. Lakini niwe mkweli natamani sana mwaka huu nisherekee mwenyewe au tutoke out na marafiki. Kwa sababu kila nikienda mimi ndo nakuwa mpishi wa familia, jiko naachiwa mwenyewe...
  19. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa huyu amesilimu. Sisi huwa tunapenda sana kujidanganya

    FaizaFoxy sheikh gani alikuambia Ronaldo amesilimu? Maana masheikh wengi shule hamna. Na msingi wa imani yetu umejengwa kwenye ulaghai, udanganyifu kwa umma.
  20. JamiiForums Tanzania Kitu ninachowakubali TEC huwa wanapiga kwenye mshono halafu kimya

    Yaani unapigwa waraka mmoja takatifu halafu wao kimya. Kimbembe ni kujifanya unajaribu kuujibu. Mimi nilishangaa sana wale jamaa wanatoka Frontline kuupinga na kuanza kuingiza mambo ya emotions kwenye maswala nyeti ya kitaifa. Uzuri ujumbe wao uliwalenga wahusika na ukawaingia haswa. Kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…