watching movies
Senior Member
- Jul 18, 2025
- 148
- 166
Hili dude huwa naliona sehemu mbalimbali mitaani.
Watu wanapataje faida na hasara kwa biashara ya hili dude maana sijawahi kulielewa naona watu wanalichezeachezea tu wengine wanatoka wamefurahi wengine wanatoka wamenuna,
Anayefahamu A,B,C kuhusu hili dude aseme uelewa wake anitoe ushamba.
NB:baadhi ya watu mitaani hawajanipa majibu ya kueleweka.