Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma.
Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke wake.
Ingawa mkewe ni mtata, lakini asipuuzwe moja kwa moja!!