huruma

Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usikubali kuonewa huruma, unastahili heshima

    Happy Sabbath wanajamvi. Si rahisi kugundua ni Kwa kiwango gani unapendwa,ni ngumu mno,ila bahati mbaya wanaume Tunajikuta si wapembuzi wa mambo.mtu anajikuta anaingia kwenye mtego wa SUBIRA na UVUMILIVU. Leo ni siku nzuri ya jumamosi,siku ya mapumziko Kwa wahangaikaji ,wengi.nitumie fursa hii...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said, amesema mafanikio ya Serikali katika ukusanyaji wa mapato yanaonyesha kuwa Tanzania ipo katika mwelekeo sahihi wa kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akichangia mjadala wa Bajeti ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hata kama ni umaskini lakini jamani tuwe na Ubinadamu

    Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika. Ni hivi huyu bwana mara ya mwisho kutoka hapa kwenda huko kwao kwenye kilimo Kwa maelezo...
  4. JamiiForums Tanzania Be The First To Know: Habari Njema Toka Vatican, Litania ya Bikira Maria: Imeongezwa Vifungu Vitatu vya : Huruma! Matumaini na Faraja!.

    Wanabodi, Hii ni ile the JF Advantage of "Be The First To Know", kuna habari njema kutoka Vatican City, ile sala ya Litania ya Bikira Maria ambayo huwa inasomwa kwenye Jumuiya Ndogo Ndogo zote za Katoliki kwa mwezi mzima wa May na October, imeongezwa vifungu vipya vitatu vya Huruma! Matumaini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi, Tumuoneeni huruma kiongozi wetu

    Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi— "Tumuoneeni huruma kiongozi wetu" Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje, jana Mei 26, 2026, Balozi Mahmod Kombo amewataka Wabunge kumlinda Rais dhidi ya mashambulizi ya shutuma mbalimbali hasa kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025. “Anayepitia...
  6. JamiiForums Tanzania Somesheni watoto wenu Skills za Gas na mafuta ,sio kutafuta huruma za kujengewa Refinery..

    Eti Digrii ya histori ,au Digrii ya biashara hata kusimamia genge hawawezi hawa watoto wenu
  7. JamiiForums Tanzania Safari ya Trump china kwenda kuomba huruma ya vita

    Je unahisi hapa Raisi Jinping anafikiria nini hapa baada ya kutembelewa na Trump
  8. L

    JamiiForums Tanzania Upendo na Moyo Wa Huruma: Rais Samia Amsaidia Profesa J Million 30. Asema anafuatilia Kwa Karibu maendeleo yake kiafya. CHADEMA wao ni Majungu tu

    Ndugu zangu Watanzania , Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais Samia hapa Duniani ni Kwa ajili ya Kugusa watu. Anaishi kwa ajili ya kusaidia watu. Amefanyika Baraka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sina shida na kina mama wanaoenda kwa maamuzi yao makanisa ya fake pastors, nawaonea huruma sana watoto wanaopelekwa huko

    Sina shida na kina mama wanaofanya maamuzi yao kwenda kwenye makanisa ya fake pastors, ila nawaonea huruma sana watoto wanaopelekwa huko. Mtaji mkubwa wa makanisa mengi ya aina hii ni akili changa za watoto ambao bado hawajajua mengi kuhusu maisha na imani, hivyo huwa rahisi sana kuwajaza...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama siyo huruma ya Rais Samia, Lissu atakaa sana mahabusu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  13. JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito raia walale kwenye vituo vya Umeme na Madaraja ili kuvilinda

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo. Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko...
  14. JamiiForums Tanzania Tafakari ya Pasaka

    [Zab130:3] BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu, nani angesimama? [Zab51:3] Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima [Zab51:4]Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. [Zab51:5]Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; Mama yangu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kubanangwa, kubagazwa na kutinganywa bila huruma maana yake nini?

    Habari? Leo nimetoa haya maneno ! Nikaamka usingizini fasta! Lakini sijaelewa maana yake .Naomba anayeweza kunisaidia tafsiri yake. Uzi tayari.
  16. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria. Akitoa kauli hiyo...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Je una huruma kiasi gani ?

    Huyu panya ungemuua au ungemuhurumia kwaajili ya watoto wake ? Mimi binafsi ninamuacha ila tutakuja kupambana hapo baadae watoto wakishakua wakubwa, na watoto wakiwa wakubwa na kuanza usumbufu hapo ndipo nitaanza kudeal nao kwasababu sasa hivi hawajui chochote bado sababu nyingine ya...
  18. JamiiForums Tanzania Namuonea huruma Abbas Aradgchi

    Namuonea huruma sana huyu waziri wa mambo ya nje ya Irani,mtu mpole,mtu mwema na aliyeelimika vizuri sana,maana atauawa hivi karibuni,natamani atoroke Iran
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu. Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
  20. JamiiForums Tanzania Umeua ili kutamalaki, hongera sana. Baada ya kichambo sinagogini ndio unajidai unatenda matendo ya huruma?

    Kuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa. Hekima imefanana sana busara lakini ni vitu viwili tofauti. Hekima ni karma ya Roho Mtakatifu, inatoka kwa Mungu. Busara ni akili ya kibinadamu iliyojaa maneno matamu na ya kilaghai ili kuufarahisha umma, busara haina suluhisho la kudumu Bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…