huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Steve Nyerere kathibitisha umuhimu wa Tume huru ya Uchaguzi

    Leo katika press conference yake Steve Nyerere ambaye ni kada wa CCM alijadili mambo mawili ya msingi na kudhibitisha kwamba Tume Huru ya ya uchaguzi haipingiki. 1. Kwanza kahoji kama Mbunge wa Muheza kupitia chama cha CCM, Mh Mwinjuma alishinda kihalali. Hili ni muhimu, ina maana kuna Wana...
  2. JamiiForums Tanzania Kama kweli tunahitaji kufanyia marekebisho Katiba Mpya, tuanze na tume Huru ya Uchaguzi na kupunguza madaraka ya Rais

    Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa. Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani. Mahakama ziwe huru na...
  3. JamiiForums Tanzania Kama tumemuacha huru aliyesababisha vifo pale Moshi huyu 'Mfalme' wa Mwanza tunamtesa kwa lipi?.

    Mimi ni miongoni mwa wapingaji wakubwa wa hizi shughuli za kiroho zinazofanywa na Wajanja wachache na kunufaika kwa migongo ya Wengine...na nilitamani sana kuona lile lililotokea pale Moshi wakati ule likifikia kutoa haki kwa wale Wahanga. Hivi karibuni kumetokea tukio pale Mwanza na sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Mjadala huru! Ni sekta ipi inayoendeshwa na Serikali inafanya vizuri?

    1. Mradi wa mwendokasi Dar. Huku mabasi hayafanyiwi maintainance, yanaharibika watu hawajali, kila siku watu zaidi ya laki 1 wanatumia mabasi haya na fedha zinakusanywa na mamlaka husika Ila kila siku mradi uko hovyo! Vituo vyake vinazidi kuchakaa na mabasi yanazidi kuchakaa. Haieleweki...
  5. JamiiForums Tanzania Kabla ya tume huru ya Uchaguzi, Tanzania twende kujifunza Demokrasia Nchi ya Mauritius

    Salaam, Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa kama nchi pekee barani Afrika yenye demokrasia kamili. Kulingana mchakato wa uchaguzi, kazi za...
  6. JamiiForums Tanzania Kama bado tuna ushirikiano thabiti wa kidiplomasia na China na Urusi Basi kuwa mpinzani ni uhaini na upinzani hautakuwa huru kamwe

    Demokrasia ya kupokezana madaraka kwa wajamaa ni kitu kisichoeleweka kabisa. Ingawa kwa shinikizo za kimataifa angalau China mwaka 1980 waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili. Na Russia 1992 vilevile. Lakini anayeyapokea lazima atokee chama tawala na mtiifu kwa Rais aliyepita. Angalau...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameupiga mwingi kuachiwa huru Mbowe

    Chuki huzaa chuki, heri huzaa heri na kicheko huzaa kicheko. Kwenye sakata hili la Mbowe kuachiwa huru wa kushukuriwa hapa ni Rais Samia full stop. Kama Rais JPM angekuwa bado Yuko kwenye kiti jambo hili la kuachiwa Mbowe kwa namna hii lisingewezekana. Ndugu zangu Tanzania imepata kiongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Ni nini hasa tafsiri ya kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe? Tuangazie mizania hizi

    Habarini wana JF, Naomba nichokoze maada, je nini kiwe tafsiri ya kuachiwa huru kwa F. Mbowe. Je ni 1. Win-win situation? 2. Win-loose situation? 3. Loose-win situation? 5. Loose-loose situation? Na je, ni tafsiri ipi ioanishishwe sambamba na mtazamo wa nyakati za sasa, za kati na za...
  9. JamiiForums Tanzania Kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe na wenzake hakuna sababu nyingine isipokuwa ushahidi wa Jamhuri kutothibitisha mashitaka

    ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake eti ni kwa sababu zingine zozote zile bali ilikuwa ni suala la muda tu siku hii ifike...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli ya kwanza ya Mbowe baada ya kuachiwa huru

  11. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mbowe ametoka Gerezani lakini hayupo huru

    Na Baba Askofu Bagonza Kalikawe HAYUKO HURU; YUKO NJE YA GEREZA Niwakumbushe? Mwezi Februari 1990, Nelson Mandela akatolewa jela. Akaja Tanzania kushukuru. Tukajipanga na mabango na kushangilia MANDELA IS FREE! Akasimama Kambarage, akasema MANDELA IS NOT FREE, HE IS OUT OF PRISON. Kwa nini...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wahusika kwenye kadhia ya Mbowe Wawajibishwe

    Chereko chereko zinapoendelea kufuatia kuachiwa huru Mh. Freeman Mbowe, kadhia hii isiishe bila fidia wala watu fulani fulani kuwajibika au hata kuwajibishwa. Kwenye kadhia hii kuna watu wamepotezwa, watu wameteswa, utaratibu wa sheria umekiukwa, watu wamedhulumiwa, nk. Yote haya ikiwa ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha miradi wala mikataba, Tume Huru ya Uchaguzi ndio muhimu

    Tunawasikia CCM wakisifia mikataba ,ambayo Raisi wao anatiliana huko anapokwenda kutembea ,sio mbaya ,mkae mkijua Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi na sasa wananchi wanahemea mlo mmoja kwa siku. hayo matembezi na mikataba haina faida kama ndani ya nchi hakuna utedaji wa haki,kuchagua kiongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters. Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru. Majimbo haya mawili yaliyo upande wa Mashariki mwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Soko huru lenye ushindani kamili

    PERFECT COMPETITION (Ushindani kamili) Hili soko lina sifa zifuatazo: 1.Wauzaji wote wanauza bidhaa sawa au zinazofanana. 2. Wanunuaji wote wanajua bei ya bidhaa na wapi zinapopatikana. 3. Hamna viziuzi kuwa muuzaji au mnunuzi. 4. Wauzaji ni wengi. 5. Uzalishaji ni sawa na uhitaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa miaka zaidi ya mia moja mahakama imekuwa ni chombo huru. Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imesisitiza

    Mtu yoyote awe Rais au nani hawezi kuishinikiza mahakama kufanya maamuzi kwa matakwa yake. Mahakama inapofanya maamuzi inatakiwa kuzingatia katiba ya JMT na sheria za nchi. Presha na ngojera hazimshurutishi Jaji au hakimu kutoa maamuzi.
  17. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Salaam Wakuu, Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu? Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bila Upelelezi kukamilika hakuna kukamata, ukiachiwa na Mahakama hakuna kukamatwa tena

    Tunaposema kila Mtanzania amuunge mkono Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan tunamaanisha mambo kama haya, Niwe mkweli tu tangu Uhuru Mama huyu ni watofauti sana hebu ona alichofanya kwenye magazeti na hii, === Bunge limepitisha Mabadiliko muhimu ya Sheria kupitia muswada wa mabadiliko...
  19. JamiiForums Tanzania Chanting:- Moja ya funguo za kufungua ulimwengu wa roho (Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru)

    Nawasalimu wote. Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho. Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni chanting. UTANGULIZI Kwanza kabisa chanting ni nini!? Nikutamka au kuimba maneno kwa kurudia...
  20. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake Jan 27, 2022...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…