huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

    Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru na katiba mpya ni visingizio. Fahamu sababu inayowazuia wapinzani kuingia Ikulu

    Je hii ndiyo sababu pekee?
  3. JamiiForums Tanzania Dahlia Majid: Kufanyike Uchunguzi huru kuongezeka mauaji yanayohusisha Polisi

    Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka uchunguzi wa Kamati ya Kibunge juu ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi na magereza. Kimetaja vitendo vya utekaji, uteswaji wa watuhumiwa na ushirika wa Jeshi la Polisi kwenye matukio ya mauaji ya rai vimerudi kwa kasi...
  4. JamiiForums Tanzania Mawazo huru: Muungano wetu Upige hatua 1 mbele

    Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu. Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi. Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais...
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Mwaka 2024 na Katiba inachosema kipi ni sahihi?

    Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je, ni kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

    Humu unaweza kujitoa mwenyewe sadaka au kumtoa mwingine wa Karibu. Ila kikubwa ni kiapo Cha damu kisha unakabidhi nafsi.
  7. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Timu za mpira wa miguu ziwe huru kibiashara

    TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA. Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema wakoloni walileta maendeleo kwa sababu walijenga barabara, Treni, Shule hadi baadhi ya wapigania uhuru...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari bila Uhuru wa Kiuchumi wa Waandishi wa Habari

    Wanabodi, Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama yakubali ombi la DPP kuondoa rufaa dhidi ya Sabaya, sasa yupo huru na hana rekodi ya uhalifu

    Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Silvester Mwakitalu, Leo amewasilisha katika Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Arusha ombi la kuiondoa Rufaa No.155 ya Mwaka 2022 Aliyokua ameikata dhidi ya Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya Na wenzake. Rufaa hiyo ilikatwa na Jamhuri baada...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema na CCM msituhamishie kwenye Muungano Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi

    Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran. Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye bandari sasa dira inaonyesha mnatupekecha kwenye Muungano. Uchaguzi umebakia miezi tu ,hatuoni fununu...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iunde Tume huru ya kuchunguza kifo cha Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G

    Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake. Katika tume hiyo,polisi isihusishwe Wala wasishiriki. Pili kijana huyo asizikwe hadi uchunguzi utakapo malizika.
  12. JamiiForums Tanzania Mawazo Huru

    Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo. Na kila Serikali inapochukua...
  13. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Mwanaharakati huru Musiba ni role model wa vijana wa CHADEMA?

    Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe mwanaharakati huru alikuwa akitukana yeyote aliyehisi ni kikwazo kwenye utawala wa awamu ya 5. Tumeona...
  15. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

    Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla. --- Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young Africans Sports Club. Tumejiridhisha kuwa Young Africans Sports Club haikupewa nafasi ya kujibu hoja...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Australia kuitambua Palestina kama taifa huru

    1. Pigo jingine kwa Benjamin Natenyahu; ushindi mwingine kwa wapalestina na HAMAS. 2. Wapigania katiba wa kwetu hawatambui haki hupiganiwa kwa jasho na damu ikibidi. Wamekaa kitako, kuilaumu CCM. 3. Viva HAMAS, viva Palestina; mlidhamiria na kwa hakika ushindi unanukia sasa kuliko wakati...
  18. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba atamani uchaguzi huru na wa Haki , Hataki uchafu wa 2019/2020 ujirudie

    Mzee Warioba ameyasema hayo alipohojiwa na Gazeti la Mwananchi . Wakati Warioba akiyasema haya , mwenyekiti wa Chama chake Samia Suluhu amekwisha saini sheria kandamizi za uchaguzi huo Sheria zenyewe hizi hapa
  19. K

    JamiiForums Tanzania Natamani Tanzania Bara tungekuwa na Mahakama iliyo huru na yenye maamuzi thabiti kama iliyopo Zanzibar

    Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa na Jaji George Kazi katika hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa Kupata Tume Huru ya Uchaguzi Uanze Sasa

    MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wajiuzulu ili mchakato wa kuundwa kwa Tume mpya ya Uchaguzi uanze kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…