huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Huduma kwa mwananchi si hisani, ni haki kwa kuwa amelipa kodi

    Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa Kutoa huduma kwa wananchi si kitendo cha hisani, ni Haki kwakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda kupambana na Upotoshaji na Vurugu, UCC yazuia baadhi ya huduma Intaneti kwa muda

    Kufuatia mapendekezo mazito kutoka Kamati ya Usalama ya Taasisi za Serikali (Inter-Agency Security Committee), Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) siku ya Jumanne ilitoa maelekezo kwa waendeshaji wote wenye leseni wa mitandao ya simu (MNOs) na watoa huduma za intaneti (ISPs) kusitisha kwa muda...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye uhitaji huduma za kodi TRA, barua kutoka TRA na mambo yote ya Kodi

    Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️ Huduma zetu ⚖️ 1. Ushauri WA kodi ✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March) ✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December) ✓ Ukaguzi WA kodi ✓ kufanya mapingamizi ya KODI ✓ kusajili VAT 2. Huduma nyinginezo ✓ leseni za biashara...
  4. JamiiForums Tanzania TEMESA: Kivuko MV Kazi kuanza kutoa huduma leo Januari 13, 2026 baada ya ukarabati kukamilika

    Serikali imetangaza kuwa Kivuko cha MV Kazi kitaanza rasmi kutoa huduma mchana wa leo Januari 13, 2026 baada ya kukamilika kwa ukarabati wake, hatua inayolenga kurejesha usafiri wa uhakika kwa Wananchi wanaotumia feri ya Kigamboni na Kivukoni. Akizungumza jijini Dar es Salaam, jana Januari 12...
  5. JamiiForums Tanzania Je unachangamoto meno yako kuoza au Kutoboka na hujui Wapi Utapata Suluhisho!? .

    Meno yaliyooza au kuvunjika yanaweza pata tiba ya kuziba ( kujaza dawa/ kofia jino ) ili kuondoa harufu mbaya kinywani, Maumivu, uvimbe ili kukuwezesha kutafuna chakula vizuri , kuondokana na maumivu , pia uweze kuwa na afya bora ya kinywa na meno Baadhi Ya kazi Za Kuziba meno na kofia...
  6. JamiiForums Tanzania Huduma za Kofia Ya Jino ( Dental crown)

    Kuweka jino dental crown ni muhimu hasa Kwa meno ambayo yameoza zaidi ya asilimia 50% ya kiasi Cha ukubwa wa jino. Vile vile hata ambayo yapo chini ya asilimia 50 % unaweza shauriwa pia kuvisha kofia ya jino Bandia . Hii husaidia kuongeza uimara na matokeo ya muda mrefu. Hapa Kabla Na Baada Ya...
  7. JamiiForums Tanzania BASATA na Vibali: Uongozi wa Ada Kwanza, Huduma Baadaye

    Kwa hakika, Tanzania tunaendeshwa na aina mpya ya uongozi—uongozi wa “ada kwanza, fikiria baadaye.” Tanzania tuna viongozi vichwa maji kupita maelezo. Barua ya BASATA inayotaka MC wa sherehe na MaDJ wote kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo Januari 31, 2026 imepokelewa kwa mshangao mkubwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?

    Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu? Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa. Simu: 0753786858 Email...
  9. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, Leseni za Biashara na mengineyo?

    Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo? Jibu ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗦𝗼𝗹𝘂𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu sana upate...
  10. JamiiForums Tanzania Kama unataka kumuona Mungu haraka, kosa pesa kwenye huduma za hospital za serikali

    Watu wanakufa sio kwa kusingizia sijui mungu kapanga ni uwongo. Wanaopanga vifo mfe ni hizi hospital zetu za serikali asilimia kubwa. Yani mtu unaumwa na pesa umekosa au ujatoa kidogo wakuokoea ,Wanaweza kukuacha hapo unajiona. Kuna mzee mmoja alinyimwa kifaa cha kupumulia kisa pesa ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Huduma za treni ya SGR kwa abiria wa daraja la biashara hazina viwango

    Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa. Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa. Kuna muda abiria wanajazana na hata AC haziwashwi viti vimekaa ovyo kiufupi mazingira hayakidhi kuitwa daraja la...
  13. JamiiForums Tanzania Pata gb za Vodacom kwa gharama nafuu zaidi. Huduma ni buree

    Mtanzania, Vodacom Tanzania imekusogezea huduma ya vifurushi vya SME BUNDLES kwa gharama nafuu kulinganisha na vifurushi vya kawaida. Nipigie 0795790411 niweze kuiwezesha line ili kupata access ya hvifurushi hivi. Hakuna gharama ya kuiwezesha line, kuhusu kujiunga ni mteja mwenyewe utajiunga...
  14. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 MV Kazi yasitisha kutoa huduma leo Desemba 9

    Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December 09 kutokana na Kupata hitilafu kwenye mifumo yake ya Uendeshaji. TAMESA imeshauri watumia wa kivuko...
  16. JamiiForums Tanzania PATA HUDUMA YA BULK SMS kwa sh. 9/=

    Ni huduma muhimu inayopatikana kwa gharama nafuu mno. Bulk sms inakufaa sana wewe mfanyabiashara, Kampuni/ Taasisi hata mtu binafsi. Gharama zetu ni kuanzia shilingi 9 hadi shilingi 15 kwa kila msg. Kwetu sisi mteja atawekewa mfumo wa Bulk sms buree pamoja na training ya kiwango cha kuridhisha...
  17. JamiiForums Tanzania Huduma za Mwendokasi zarejea kubeba abiria Mbagala-Gerezani

    Baada ya siku 21 tangu kusitishwa kwa huduma ya mabasi yaendayo haraka katika barabara ya Mbagala kuelekea Gerezani na Kivukoni kufuatia uharibifu uliotokea wakati wa maandamano ya Oktoba 29, huduma hiyo imeanza rasmi kurejea leo kwa kubeba abiria. Katika baadhi ya vituo vya Kilwa Road, mabasi...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za elimu binafsi (Private Coaching)

    Unahitaji kujifunza ujuzi mpya au kuboresha uwezo wako binafsi? Sasa ni wakati wako! Tunatoa MAFUNZO BINAFSI (One-on-One) kwa: 🌍 Lugha za Kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kichina, Kihispania n.k. 💻 Kompyuta – MS Office, Internet Skills, Typing, Coding, Graphic Design n.k. 🚗...
  19. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa huduma ya mtandao (Internet service) umekosesha nchi mapato makubwa ya ndani na nje

    Wasalaam Aleykhum, Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya Allah (S.A.W) Nimeumizwa na vifo nilivyoshughudia huko bara kwasababu kikazi mi n maranyingi nakuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi wa Uchaguzi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika: Serikali ya Tanzania isitishe amri ya kutotoka nje na kurejesha huduma za Intaneti

    TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…