huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CPR: Huduma muhimu inayookoa uhai wa watu walio kifoni

    CPR, ama Cardiopulmonary Resuscitation ni njia ya dharura na haraka, inayotolewa kwa mtu aliyepatwa na changamoto ya mshtuko wa moyo (Cardiac arrest). Huhusisha kubonyeza kifua pamoja na kutoa hewa mbadala kwa mhusika ili kutunza mzunguko wa damu kwenye viungo muhimu vya mwili ikiwemo ubongo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Huduma za afya nchini China zaboreshwa kwa kiwango kikubwa

    Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya taifa inayoangukia...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watanzania wana hofu ya kukosa huduma za kijamii wakimchagua kiongozi wa upinzani

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo wa Repoa walioufanya kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung ya nchini Ujerumani, mwaka 2021...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu unatoaje huduma ya gesti bila kondomu?

    Unapokea wageni mbalimbali kuwapa huduma ya gest. Wengine unapokea usiku kama huu. Halafu unaombwa kondomu huna. Si utaua watu? Hii sio sawa
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri na Huduma za Usajili Kimtandao

    Express and Quick Business Solution ni kampuni yenye uzoefu wa utoaji ushauri na huduma za usajili kimtandao kwa ufanisi na haraka. Usajili wa Kampuni Usajili wa log/Nembo ya biashara/Trademark Usajili wa NGO's Maombi yote ya vibali na leseni za biashara, leseni za viwanda, leseni za makazi...
  6. JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa wote kuja na “kibano” cha upatikanaji wa baadhi ya huduma

    Muswada wa sheria ya bima ya afya kwa wote umesomwa bungeni kwa mara ya kwanza mwezi Septemba, 2022. Kwa mujibu wa kifungu cha 32, muswada huo umeweka zuio la upatikaji wa baadhi ya huduma muhimu kwa wananchi pasipo kuwa na bima ya afya. Inasomeka Zulo la kupata haadhi ya huduma pasipo kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Zungu ataka huduma njia za intaneti zitumike kuongeza pato la Taifa

    Naibu Spika, Mussa Hazzan Zungu ameishauri Serikali kuona umuhimu wa kuzifanya huduma za njia za ‘internet’ (internet gateway) zichangie pato la Taifa (GDP). Zungu amesema hayo kwenye mahojiano maalumu na Mwananchi kuhusiana na hoja zake alizozitoa bungeni wiki hii. Miongoni mwa hoja hizo ni...
  8. JamiiForums Tanzania DAWASA: Matengenezo ya bomba la Maji yanaendelea, huduma kurejea baada ya kumaliza

    DAWASA YAWAHAKIKISHIA WAKAZI HUDUMA BAADA YA MATENGENEZO Na Crispin Gerald Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa Ruvu chini kuwa huduma ya maji itarejea ndani ya muda uliopangwa kufuatia matengenezo ya bomba kubwa la inch 54...
  9. JamiiForums Tanzania META yapigwa faini Tsh. Milioni 406.9 kwa kuiba huduma ya 'Live Streaming'

    Uamuzi huo umetolewa na Mahakama baada ya kampuni hiyo kubainika kutumia huduma ya Utiririshaji wa Moja kwa Moja (Live Streaming) iliyoanzishwa na Mwanajeshi Mstaafu aliyekuwa na lengo la kurekebisha matatizo ya mawasiliano ya kivita. Meta walituhumiwa kutumia huduma hiyo kwenye Instagram na...
  10. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar watadharishwa kukosa huduma ya Maji Septemba 23

    TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU CHINI 20.9.2022 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa Mtambo utazimwa siku ya ijumaa tarehe 23/9/2022 kuanzia...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani: Muuguzi Mkenya akiri makosa ya ulaghai wa mabilioni katika huduma za afya

    Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani. ======= A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Waliotumia M-Gas au huduma kama hiyo walete mrejesho

    Habari wakuu, Kuna hawa jamaa wa M-gas wanakopesha gesi kwa elf 30 tu kisha unakuwa unajinunulia gesi kwa matumizi yako. Wanasema hata ukiwa na buku tu unapata gesi. Waliotumia tunaomba kujua faida na changamoto zake. Mfano, hiyo gesi ya buku unaweza kufanyia chochote? Je, unaweza kununua hata...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Ipo haja ya kuja na mfumo unaowezesha kupata huduma za pesa za mitandao ya simu mbalimbali kwa pamoja

    Huduma za pesa mtandao kupitia simu za mkononi ni eeneo ambalo katika sekta ya uchumi linatajwa kukua kwa kasi sana kwenye huduma za kifadha kwa njia ya mtandao. Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na tasisi ya kimataifa ya GSMA Intelligence ilionyesha kuwa Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa utoaji huduma za afya uanzie kwenye ngazi ya familia ili kupunguza vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyo ambukizwa

    Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hayana vimelea vinavyohusiana na magonjwa hayo, magonjwa hayo ni Kisukari, Pumu, Selimundu, Saratani, Magonjwa ya Akili, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya Moyo mfano shinikizo la damu na kiharusi. Kutokana...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto

    Huduma ya kwanza ni huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha ya...
  16. JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwanini huduma ya taarifa za pesa kuingia au kutolewa kwe bank account imeondolewa

    Ile huduma imetolewa huenda sababu ikawa makato na tozo za wizi kwenye account zetu yaani ukichukua bank statement ndio utajua serikali hii imeamua kuchukua pesa za wananchi kwenye account zao isivyo halali Ili kuficha hilo waibe kiwepesi wameamua kuondoa huduma ile haipo sasa, hivyo kwa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kuepuka vifo vya ghafla vya watoto wachanga

    Huduma ya kwanza inamaanisha huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa. Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
  19. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

    Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
  20. JamiiForums Tanzania Uber, Bolt kurejesha huduma Tanzania

    Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo wakati akizungumza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…