Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).
TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
afrika
afrika mashariki
amri
hudumahuduma za intaneti
intaneti
kurejesha
kutotoka nje
mashariki
mtandao
nje
serikali
serikali ya tanzania
tanzania
uchaguzi
waangalizi
Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu.
Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa...
Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1.
Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha idadi ya...
Habari wanajukwaa.
Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas.
Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket ya ndege kupitia kampuni ya uwakala ya ndege. Baada ya kutengeneza hiyo kadi nikafanya malipo, hela...
02 October 2025
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
Habari Tanzania !
Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza.
Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu wanateseka kwa usafiri maana mwendo kasi vyombo vya usafiri ni mdogo na vyombo vingi ni chakavu sana.
Wenye...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema huduma za Water Taxi zimeanza rasmi visiwani Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kuboresha usafiri wa baharini, kuvutia watalii na kuongeza ajira kwa wananchi.
Akizungumza alipowasili katika Bustani ya...
Jana nimefikisha Threads 100 humu JF.
Zote zikiwa ni educational contents nikielezea namna unaweza kusajili biashara, Kampuni, kupata Leseni au kusajili trademark.
Na wewe msomaji wangu umekua supportive sana.
Sasa Leo Nina OFA kwa ajili yako
Kama unataka kusajili
-Business name pamoja na...
Wasalaam nyote.
Wakuu sipo kwa ajili ya kuharibu biashara au brand ya kampuni yoyote ile, kwani mie sina ubiya wala ushindani na yeyote.
Ila Wallah, leo hii katika kutoa pesa zangu katika benki ya CRDB kiasi kilichokuwepo na kile nachopaswa toa kuna shilingi 24,000/= imemegwa
Kwanza hakukuwa...
Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao.
Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA.
Niliwahi kuandika humu...
Wakuu habari za weekend,
Kutokana na yanayoendelea kwenye huduma za kibenki naomba kuuliza wenye uzoefu na huduma za NBC, makato yao, huduma kwa wateja na ufanisi wao wa mtandao.
Baada ya kushuhudia huduma mbovu za CRDB na wafanyakazi wa NMB kutokuwa sharp kwenye kutoa huduma nafikiria...
Habari wakuu.
Bila kuwapotezea muda, kwa kila ambaye amewahi kutumia huduma za kibenki hapa Nchini kwetu Tanzania kuna tabia ya uchelewevu wa huduma na upotevu wa muda sana hasa ukifika Matawini na ATM.
Leo nataka tuangazie hili la huduma za kwenye matawi hasa zile za kufuata ndani ambazo kwa...
Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME
KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MBAGALA NA KIGAMBONI
Jumatatu, 08 Septemba 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Mbagala na Kigamboni kuwa kumetokea hitilafu ya umeme leo tarehe 08 Septemba 2025 katika njia ya...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.