huduma za afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Hospitali Ya Rufaa Ya Kanda Mbeya Na Hospitali Ya Aga Khan Tanzania Za Saini Makubaliano Ya Kushirikiana Kutoa Huduma Za Afya Kwa Kwa Wananchi

    Ikiwa ni jitihada za kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa Kushirikiana na hospitali ya Aga Khan Tanzania zimesaini makubaliano ya kushirikiana katika utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi. Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkurugenzi...
  2. McLaren

    Kansa yaendelea kuwa tishio Tanzania. Kilimanjaro na Dar Es Salaam yaongoza kuwa na wagonjwa wengi zaidi

    Idadi ya wagonjwa wa saratani nchini Tanzania imeripotiwa kuongezeka kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha. Ripoti mpya inaonyesha kuwa jumla ya wagonjwa 16,516 walirekodiwa kati ya mwaka 2019 hadi 2023. Kwa wanaume saratani ya tezi dume ndio inayoongoza, wakati kwa wanawake saratani ya...
  3. L

    Huduma baada ya upasuaji iliyotolewa na madaktari wa China yamwezesha mgonjwa nchini Sudan Kusini kuondokana na maumivu makali

    Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umedumu kwa miongo kadhaa, na kugusa maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na elimu, uchumi na biashara, kilimo, na maeneo mengine mengi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa makubwa kwa pande zote mbili, na kubadili maisha ya watu katika nchi nyingi za...
  4. S

    KERO Kituo Cha afya Cha WAKOREA DODOMA hakuna faragha kwa mgonjwa

    Mambo vipi wakuu mbalimbali . Nimekuja Leo baada ya salamu ni juu ya kero hii. Katika kituo kidogo Cha matibabu kinachomilikiwa na wakorea pale Karibu na soko la majengo kumekuwa hakuna faragha kati ya mgonjwa na wagonjwa wengine ama kati ya wagonjwa na watu wengine mbalimbali wanaofika...
  5. McLaren

    Nimesikitishwa na speech ya Dr Mpango pale UN. Hivi umeme, maji na huduma za afya ni kitu cha kujisifia mbele ya wazungu?

    Wakuu Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya...
  6. veyra

    GE2025 Huduma za afya BUre mkinichagua-Mgombea Urais CUF

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amesema akichaguliwa kuwa Rais, mara baada tu ya kuapishwa siku hiyo hiyo atatangaza huduma za afya nchini kuanza kutolewa bure kwa watu wote bila malipo wala kutumia bima. "Nikimaliza...
  7. funaku

    Katika jambo litakalokumbukwa ni uamuzi wa kutumia fedha za covid kujenga madarasa na majengo ya huduma za afya!

    Katika hili nitsimama na Rais Samia na kumpongeza sana. Fedha za covid zililengwa kutumika katika ununuzi na utekekezaji wa mambo yasiyoonekana kwa wananchi. Nchi nyingi zilitumia fedha hii kulipa perdiems ,utafiti usioeleweka,harakati za chanjo au ununuzi wa medical supplies ambapo leo hii...
  8. BigTall

    GE2025 Rahma Mwita wa ACT achukua fomu ya kuwania Ubunge - Kinondoni atoa ahadi ya kuboresha huduma za afya kwa Mama na mtoto

    Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika Jimbo la Kinondoni, Rahma Mwita ameahidi kuwekeza nguvu zake katika kuboresha huduma za kijamii na miundombinu endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwaongoza. Hayo ameyabainisha Agosti 24, 2025 mara baada ya kuchukua fomu katika Ofisi za...
  9. L

    Timu ya matibabu ya China yapeleka huduma za afya bila malipo katika wilaya ya mpakani ya Uganda

    Wakati jua lilipochomoza kwenye eneo la Bonde la Ufa katika wilaya ya mbali ya Magharibi ya Kikuube, Jennifer Nyangoma mwenye umri wa miaka 45 alienda kwenye kambi ya matibabu ya bure iliyokuwa ikisubiriwa na watu wengi. Kwa wiki kadhaa, wanakijiji katika eneo hili linalopakana na mashariki mwa...
  10. Investigation Unit

    GE2025 Mwanza haikuwa na Hospitali ya Rufaa ya Serikali kabla ya Rais Samia kutoa TZS25bn

    Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini ya Serikali yake ya Awamu ya Sita ametekeleza miradi yenye thamani ya...
  11. Waufukweni

    GE2025 MNEC, Muhsin Ussi: Zanzibar huduma za afya ni bure, hakuna malipo

    Muhsin Ussi (MNEC) — Kiongozi wa Kitaifa wa Vijana kutoka Zanzibar (CCM). "Wakati Rais Dkt Hussein Mwinyi anaingia madarakani Zanzibar tulikuwa na hospital kubwa Moja tu inaitwa Mnazi Mmoja na kwa Pemba tulikuwa na hospital inaitwa Abdallah Mzee. "Unaweza kwenda hospital Saa 11 Alfajiri...
  12. Nipe Maji

    GE2025 Shilingi bilioni 161.3 kutumika kuimarisha huduma za afya msingi nchini

    Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba na kupunguza vifo vya watoto vitokanavyo na uzazi na kuimarisha huduma za bima ya afya kwa wote...
  13. J

    DIRA2050: Ifikapo 2050 huduma za afya zitapatikana kilometa sifuri toka kilometa tano za sasa | Hii itasaidia kuondoa vifo vya mama na mtoto

    == Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia. Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
  14. DuaZaMama

    GE2025 Kiza Mayeye: Huduma ya Afya Tanzania zinatolewa kwa matabaka

    Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia hakuna, wazee wanatozwa hela, lakini tunashangaa wenzetu wa Chama Cha Mapinduzi wanajisifia eti nchi...
  15. W

    PreGE2025 Kwanini wabunge wasikatwe posho zao kusaidia huduma za afya?

    Mchambuzi Skawa Jr. amehoji baada ya Mbunge wa Iramba Mashariki, Francis Mtinga, akichangia Mjadala wa bajeti ya Wizara ya Afya jana Juni 2, 2025 kuomba Watanzania kukatwa kiasi cha Tsh 100 kwenye kila vocha ya 1000 atakayonunua ili kuchangia huduma za afya.
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Mary Chatanda: Tanzania nzima, Wanawake wamshukuru Rais Samia kwa Huduma za Afya

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Pius Chatanda, amesema wanawake nchini wanamshukuru kwa dhati Rais Samia kwa juhudi zake kubwa katika kuboresha huduma za afya kupitia ujenzi wa Zahanati, Vituo vya afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa na Kanda. Amesema kuwa kabla ya maboresho hayo, wanawake –...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 RC Sendiga achukia kukuta zahanati haitumiki, atoa agizo hili

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  18. upupu255

    PreGE2025 Modewji Foundation yagusa maisha Kivule, Wananchi waomba Huduma za Afya bure ziendelezwe

    Umati wa wananchi wa Kata ya Kivule wa Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi kupata matibabu ya macho na kupimwa magonjwa ya wanawake bure, kisha kutoa ombi kwa taasisi zenye uwezo kuwa na utamaduni wa kutoa huduma za afya kwa wananchi wasio kuwa na uwezo. Kupata taarifa...
  19. Ojuolegbha

    Makusanyo vituo vya kutolea huduma za afya yaongezeka

    MAKUSANYO VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA YAMEONGEZEKA Makusanyo ya fedha kutoka kwenye vituo vya kutolea huduma za afya yameendelea kuongezeka katika kipindi cha Serikali cha awamu ya sita ambapo makusanyo yameongezeka kutoka shilingi bilioni 54.2 mwaka 2021/2022 hadi kufikia shilingi...
  20. Damaso

    Tanzania na Japani kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.

    Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini. Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
Back
Top Bottom