Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 571 Reaction score 610 Aug 2, 2024 #1 Nimepiga nakuambiwa simu inaunganishwa na watoa huduma zaidi ya dk 10. Hii ina maanisha wahudumu wao wamezidiwa au ndo anapokea anapojisikia!!
Nimepiga nakuambiwa simu inaunganishwa na watoa huduma zaidi ya dk 10. Hii ina maanisha wahudumu wao wamezidiwa au ndo anapokea anapojisikia!!
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 977 Reaction score 1,835 Aug 2, 2024 #2 Mkuu hao hawapokeagi simu..ipo ile namba yao nyingine ya dharura ipo ktk ATM zote unaweza piga simu mpaka ukaishiwa chaji na isipokelewe
Mkuu hao hawapokeagi simu..ipo ile namba yao nyingine ya dharura ipo ktk ATM zote unaweza piga simu mpaka ukaishiwa chaji na isipokelewe