hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Msemaji wa Azam ni mtu wa hovyo

    Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

    Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania? Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya. Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenye nia njema na taifa na uwezo wa kuwa marais, wekeni nia mapema 2025 mliokoe taifa lenu

    Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa. Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi. Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
  4. JamiiForums Tanzania Soda za twist za ovyo sana, sitakunywa tena. Wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza

    Hii soda ilipendwa sana tena baada ya Mo kupunguza uzalishaji wa soda zake. Ila nimekereka kitu kidogo sana, wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza, yaani chini haina balansi ukiweka mezani vibaya unaweza kumwaga soda yako.
  5. JamiiForums Tanzania Ndugai shughulika na Tanesco Wanakata umeme hovyo pasipo ratiba Kibaigwa achana na malumbano ya mikopo ya nchi

    Wanabodi salaam, Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini. Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
  6. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amesema kuna upotoshaji mwingi unaendelea nchini, adai kuna wakati sheria za hovyo zinapitishwa bungeni

    Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini. Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Makocha wa 'hovyo' kama Zubeiry Katwila wa Ihefu FC kwanini Soka la Tanzania lisiwe 'bovu' na la Simba na Yanga 24/7 tu?

    "Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila. Nami GENTAMYCINE nina...
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

    Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana. Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Mtani wangu Kocha Minziro wa Geita Gold FC acha Kuzurura hovyo Usiku huu, kalale Kesho Unafungwa tu hata 'mroge' vipi

    Halafu hiyo Gari aina ya Harrier Nyeusi kila mara tu inakuja hapo Hotelini Kwenu inajulikana ni ya GSM inafuata nini ikiwa na hao Wazee Watatu na huyo Mmoja ana Mguu mbovu anaishi Mbagala Charambe? Kocha Minziro endelea tu Kudanganywa na hao Watu wako wa Yanga SC ila nikuonye mapema Simba SC...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ina habari juu ya upandaji hovyo ya bei ya vitu?

    Nina masikitiko sana kuhusu kupanda hovyo kwa bei ya bidhaa mbalimbali hapa nchini. Nitoe tu mifano michache niliyoyaona. Kwa siku za karibuni nilikuwa nanunua gesi ya kupikia kilo 15 kwa Tshs.51,000 leo gesi ilipoisha nikaenda kununua na nikaambiwa bei ya gesi ya kilo 15 ni Tshs.59,000...
  11. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

    N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza. ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu...
  12. JamiiForums Tanzania Mkija huku Mmelewa, Mnatongoza hovyo, mnatubambikia Bili za Maji na Kutuomba Rushwa mtang'atwa sana tu na Mbwa wetu Wakali

    Wasoma mita wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wamelalamikia kitendo cha baadhi ya watu kuwanyanyasa kwa kuwafungulia mbwa na kuwafukuza wakati wakitekeleza majukumu yao ya kuandaa ankara za maji. Chanzo: ITV Tanzania Na nimeshanunua Mbwa wengine jana.
  13. JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aliwaonya CCM kuwa ukosefu wa ajira ni bomu la petrol linalosubiri kulipuka, leo hii wamachinga waliojiajiri wanafurushwa hovyo

    Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi? Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna? Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa. Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika...
  14. JamiiForums Tanzania Tangu awamu hii imeingia madarakani umeme unakatika ovyo

    Tangu awamu ya pili iingie madarakani nchi hii imekuwa na changamoto mbalimbali za umeme kiasi kwamba umeme umekuwa kama anasa vile kama bia na sigara. Yani kila siku nchi yetu inafanya juhudi mbalimbali kuhakikisha kwamba anasa hii ya umeme haiwafikii wananchi kwa wakati. Kila kukicha ni...
  15. JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa wa Dar ashangazwa na jinsi watu wanavyojipa Uaskofu hovyo hovyo mitaani

    "Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
  16. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba, shughulikia suala la umeme kukatikakatika ovyo, hili ni tatizo

    Sasa hivi TANESCO wanakata umeme, hawatoi taarifa, biashara na shughuli zetu zinasimama. Huu ujinga utaisha lini nchi hii? Mmeturushia zigo la sisi watumiaji umeme kulipa kodi ya majengo, halafu mnatuambia sisi tumalizane na wenye nyumba HALAFU bado hata umeme huo mnaukatakata. Hivi nyie...
  17. JamiiForums Tanzania Geita inaongoza kuwa na madini lakini ina stendi mbovu

    Geita ndio mkoa unao ongoza kuwa na madini Tanzania. Lakini pia ndio mkoa wenye Stendi mbaya sijawahi kuona. Hiyo chini hapo ndio stendi ya mkoa wa Geita. Wabunge wao kazi ni kugonga meza tu bungeni. Madini yakwao lakini hayawanufaishi.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Sheria ngowi aishukia Yanga utumiaji hovyo wa jezi

    Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni genius hatari Kwa mujibu wa mbunifu wa jezi za Young Africans Sports Club Sheria Ngowi alisema...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kupeleka azimio la kumwondoa Spika Ndugai; analidhalilisha Bunge kwa maamuzi ya ovyo

    Bunge limekuwa dhaifu. Aliwahi kuyasema haya Prof. Assad. Bunge limekuwa kibogoyo. Aliwahi kuyasema haya mwandishi na mchambuzi mkongwe wa masuala ya kisiasa Pascal Mayalla. Maneno ya nguli hawa yanajidhihirisha sasa. Nitatoa mifano michache tu. Moja. Yeye mwenyewe amewahi kukiri kwa kinywa...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kweli Kabisa watoto wa ovyo wapo. Sirro Hajakosea

    Kumekucha! Binadamu wanapenda kupewa maneno laini, hawapendi ukweli, wanapenda sifa hata wasizozistahili. Yapo Matoto ya hovyo, Wapo wazazi wa hovyo bila kujali ni wanani, Hayo Matoto yakikua ndio yanaleta kizazi cha hovyo hovyo, Unakuta kiongozi hovyo, Mchungaji hovyo, Sheikhe Hovyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…