Wafanyakazi wa Ikulu ya White House wameagizwa kuvaa barakoa wakati wanapoingia jengo la ofisi zake zinazofahamika kama -West Wing, baada ya wasaidizi wawili kupatwa na virusi vya corona.
Wafanyakazi wa White House wamesema kuwa wahudumu wote lazima wavae barakoa wakati wote isipokua wanapokua...