hospitali ya rufaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kitengo cha Mapokezi Hospitali ya Rufaa Mbeya hakina huduma nzuri, kuna mtumishi anaongea sana na simu, hajali wagonjwa

    Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo. Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa. Mbali...
  2. Hospitali Ya Rufaa Ya Kanda Mbeya Na Hospitali Ya Aga Khan Tanzania Za Saini Makubaliano Ya Kushirikiana Kutoa Huduma Za Afya Kwa Kwa Wananchi

    Ikiwa ni jitihada za kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa Kushirikiana na hospitali ya Aga Khan Tanzania zimesaini makubaliano ya kushirikiana katika utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi. Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkurugenzi...
  3. A

    KERO Watumishi Ajira Mpya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH) hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa. Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
  4. M

    RC Mboni: Tunamshukuru Rais Samia kutujengea hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa TZS10bn wagonjwa wengi wa rufaa kwenda Mwanza Bugando walifia njiani

    == Akiongea na Wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anasema, Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya...
  5. Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyoko Eldoret imethibitisha kisa kimoja cha ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga

    Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyoko Eldoret imethibitisha kisa kimoja cha ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga; imewashauri wafanyakazi wake kuwa waangalifu ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo. =================== Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret confirms one case of mpox from...
  6. GE2025 Mwanza haikuwa na Hospitali ya Rufaa ya Serikali kabla ya Rais Samia kutoa TZS25bn

    Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini ya Serikali yake ya Awamu ya Sita ametekeleza miradi yenye thamani ya...
  7. A

    KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  8. DOKEZO Wagonjwa wengi wanadaiwa kupoteza maisha pindi wanapofanyiwa operation katika Hospitali ya Rufaa kanda ya Shinyanga

    Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
  9. R

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi yapewa vifaa tiba thamani ya Millioni 217 kuwanusuru watoto wachanga

    Wakati Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi ikikabiliwa na ongezeko kubwa la watoto wachanga, hasa wale wanaozaliwa kabla ya kufikia muda kamili wa ujauzito (njiti), Mpango wa NEST360 kwa kushirikiana na Wizara ya Afya umekabidhi vifaa tiba na wodi maalumu zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 217...
  10. PreGE2025 Mbunge Mavunde akabidhi Jengo la kupumzika Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI JENGO LA KUPUMZIKIA WANANCHI HOSPITAL YA RUFAA YA DODOMA ▪️RC Senyamule ampongeza kwa jengo na uanzishwaji wa ujenzi wa uzio ▪️Rais Samia apongezwa kwa maboresho makubwa ya huduma ya Afya ▪️Wananchi wamshukuru Mbunge Mavunde kwa utatuzi wa changamoto ya muda mrefu...
  11. L

    DOKEZO Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana; Inasemekana mtambo wa kuchemshia vifaa vya Upasuaji umekufa

    Nasikia ni muda sasa umepita mtambo wa kuchemshia vifaa vya upasuaji hapo hospitali ya mkoa Amana umekufa,ili upasuaji ufanyike vifaa vinaendea kuchemshwa sehemu nyingine nje ya hospitali. Kwa ukubwa wa hopitali ya Amana,nadhani suluhisho lingetafutwa kwa haraka.Inasemekana Mashine iliyopo...
  12. N

    Yas Yakabidhi Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
  13. R

    PreGE2025 Billioni 19.8 Zawekezwa Hospitali ya Rufaa Simiyu

    Waziri wa Afya Jenista Mhagama amezitaka hospitali zote nchini kusimamia na kulinda miundombinu iliyopo, kwa kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya kwa kuboresha miundombinu na vifaa tiba. Waziri Mhagama amesema hayo alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simuyu kwa...
  14. H

    DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  15. Dr.Bahati Msacky Mganga mfawidhi hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza Sekou Toure awe kioo kwa waganga Wafawidhi wote nchini. Wajifunze kwake

    Wakuu hivi katika hospitali zote za rufaa nchini Kuna hospitali yenye mganga Mfawidhi mchapa kazi asiye na makuu kama huyu mama wa kichagga? Binafsi natamani sana kuona serikali ikiwakutanisha waganga wafawidhi nchi nzima wakutane na kupigwa semina elekezi namna ya kuboresha utoaji wa huduma...
  16. Jimbo la Namtumbo: Bilioni 3.3 Zatumika Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma

    JIMBO LA NAMTUMBO: BILIONI 3.3 ZATUMIKA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA RUVUMA Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, unaendelea kutekelezwa kwa awamu ambapo hadi sasa, kiasi cha Shilingi Bilioni 3.3 kimetumika katika ujenzi pamoja na kukamilisha jengo la huduma za mionzi pamoja...
  17. Mbunge Aysharose Mattembe Aibana Serikali Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Singida

    MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AIBANA SERIKALI UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SINGIDA Serikali imeeleza kuwa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida inatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2027, ikiwa ni baada ya utekelezwaji kwa awamu tatu za mradi huo muhimu kwa huduma za afya mkoani...
  18. Lindi: Kisa kukosa kitanda, Hospitali ya Sokoine yadaiwa kukataa kupokea mwili marehemu, wanyeshewa na mvua

    Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said akikadiliwa kuwa na umri wa miaka 25-30 amekutwa na umauti ndani ya basi la abiria akisafirishwa kutoka Kilwa Pande kuelekea Hospitali ya Rufaa mkoani Lindi - Sokoine kwa lengo la kupatiwa matibabu. Katika Hali isiyo ya kawaida mwili wa marehemu...
  19. PreGE2025 Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo)

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za uzazi mama na mtoto na kuwa katika muonekano mpya. Kauli hiyo...
  20. Mhe. Ndumbaro Akabidhi Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa Songea

    MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao kwa uongozi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, iliyopo Manispaa ya Songea mjini. Mhe. Ndumbaro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…