Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza.
Familia hiyo inasema ilipata wakati mgumu kumpata kijana wao tangu...
Rais William Ruto amempigia simu Mkurugenzi Mtendaji wa Karen Hospital, Juliet Gikonyo, kutaka kujua iwapo hospitali hiyo inapokea malipo kutoka kwa Social Health Authority (SHA).
Katika mazungumzo hayo, Gikonyo alithibitisha kuwa hospitali hiyo inapokea fedha kutoka SHA na kueleza kuwa, kwa...
MATHARE, NAIROBI — Wakazi wa Mathare Number 10, Mabatini Ward, pamoja na Hospital Ward, Mathare 4B, wanakabiliwa na changamoto inayofanana ya mifereji ya majitaka inayopita karibu na makazi yao.
Picha kutoka maeneo hayo zinaonyesha maji machafu na taka zikikusanyika katika maeneo yanayozungukwa...
Soroti City Woman Representative, Joan Acom Alobo, has issued a strong appeal to the Minister of Health, urging immediate intervention to rehabilitate Soroti Regional Referral Hospital. In her remarks, Alobo described the facility as “more of a mortuary than a hospital,” citing the dire state of...
Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa.
Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea...
Anonymous
Thread
hii
hospital
kufanya
mbili
mwanza
nje
serikali
uongozi
utaratibu
wafanyakazi
Malalamiko kuhusu utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba
Wananchi tunalalamikia hali ya utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba, kwa kuwepo kwa vitendo vinavyoashiria udanganyifu, hususan kwa akina mama wajawazito na watoto wenye umri wa...
Anonymous
Thread
dawa
halmashauri
hospitalhospitali
huduma
malalamiko
tandahimba
wilaya
Tunachokijua
Claim
A Circulating post by Mawejje Media (Mawejje TV) claims that Gen. Muhoozi Kainerugaba questioned why Mulago National Referral Hospital, a government facility, charges parking fees, allegedly citing rates of UGX 1,000 for bicycles, UGX 3,000 for motorcycles, and UGX 10,000...
Watumishi wa Idara ya Radiology ni idara pekee hawalipi extra duty, unapangiwa roaster unasoma extra duty asubuhi hadi saa mbili usiku lakini haulipwi. Kinachouma ni kwamba muda wako wote wa kujishughulisha mtaani unaishia kazini.
Lakini humo ndani kuna taasisi kama MOI na JKCI wao wanalipwa...
Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua:
1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi
Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya muda wa ziada (overtime) tangu mwezi Novemba hadi sasa. Wanapouliza uongozi, wamekuwa wakielezwa kuwa...
A six-week investigation by the State House Health Monitoring Unit (HMU) has uncovered financial and administrative challenges at Mbarara Regional Referral Hospital (MRRH), including failure to account for Shs4.1 billion, ghost utility payments, fraudulent fuel claims and high staff absenteeism...
Two female health workers at Luwero Hospital have been arrested over allegations of extorting money from a patient’s family.
Rebecca Nakiwala, an orthopaedic officer, and Margaret Nabikolo were arrested by police following an incident involving a woman who was admitted to the hospital’s...
Health Minister Dr. Chris Baryomunsi has ordered a full investigation into Mbarara Regional Referral Hospital after a surprise midnight inspection exposed severe staff shortages, overcrowded wards and a lack of essential medicines.
During the visit, the minister found that the hospital's wards...
Mwanachama wa JamiiForums, Jakamageta amesema Elimu yetu inaharibiwa na siasa, siku hizi tutashindwa kupata Madaktari wanaofanya right diagnosis and treatment.
"Hospital wamejaa Incompetent Doctors and other medical practitioners kwa sababu ya mfumo wa elimu yetu ni mbovu."
Wenye pesa...
IKONDA HOSPITAL VS HOSPITAL YA RUFAA (ZONAL) MBEYA
Habari ya wakati huu watubwa Mungu!!
Ni tumaini langu mko poa sana.
Naleta uzii huu kuuliza juu ya nini kinafanya hospitali hizi zinazopatika nyanda za juu kusini.
Ikonda kwa jina maaru ila inaitwa CONSOLATA HOSPITAL IKONDA,ipo huko mkoani...
Habari
Hii siyo kero ni pongezi
Kwa madaktari wa Hospital ya RUFAA MBEYA.
Nimekuwa nikifanya Checkup mara kwa mara hospital ya rufaa Mbeya ,nimekutana na
1.watunza Kumbukumbu wanaosikiliza mtu vizuri na kumuelekeza kwa upendo wa hali ya juu ase wabarikiwe sana.
2.Madaktari wanajitoa vizuri...
Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu.
Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa mengine.
Naomba kujuzwa hospital nzuri ya meno kwa Dodoma yenye gharama nafuu